MWILI WA ALIEZIKWA HAI WAANZA KUONEKANA |
MSAMARIA MWEMA ALIYEJITOLEA KUUTOA MWILI BAADA YA KUUKUTA |
MWILI WA MAREHEMU MWAIKASU AMBAYE ALIZIKWA AKIWA HAI UKIENDELEA KUIBULIWA KABURINI |
KATIKATI MJANE WA ALIYEZIKWA HAI |
MWILI UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA UPYA |
NDUGU WAKIWA NA SIMANZI. |
MOJA YA WANAUSALAMA AKIWASHUKURU NDUGU KWA UVUMILIVU WALIYOUONYESHA KATIKA MSIBA HUU MZITO. |
ULITOKA KWA UDONGO UTARUDI KWA UDONGO NDIYO NDUGU WA MAREHEMU WALIVYOKUWA WAKISEMA. |
SHUGHULI YA KUZIKA UPYA IKIENDELEA. |
SHUGHULI YA MAZISHI IMEKAMILIKA KWA AMANI NA UTULIVU LAKINI HAKUNA WANAKIJIJI WALIYOJITOKEZA KATIKA MSIBA HUU HOFU KUKAMATWA NA DOLA. Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
jamani muogopeni mungu
ReplyDeletewatu siku hizi mbona wanazidi ukatili zaidi ya wanyama jamani khaaaaaa
ReplyDeleteWajaalana nyie,mnamzika mtu hai? Nyie ni jehanam tu,wanywa viroba vya kinye
ReplyDeletesi vya nchi jirani
Mliowahi kusoma hiyo habari kwani ilikuaje mpaka wakamzika hai.
ReplyDeleteadmin ungeanza kuelezea ilikuwaje akazikwa hai
ReplyDeleteMaskini watu wamekuwa wanyama sana mungu anashangaa...Tunda la msimu
ReplyDelete