Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu.
Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana kama mapacha vile.
-------------
Please Click Like Button Below
RAY C NA RECHO HAWAFANANI SAUTI TU, WANAFANANA SURA PIA
15
November 05, 2013
Tags
Ila ray c kajichubua zaidi ya rechol
ReplyDeleteKweli tu,ila Recho epuka unga
ReplyDeletembona anatumia inga tayari huyo recho
ReplyDeleteHaihusu hayo yote wameuliza kufanana kwao naco mabaya yao hivikwa nn tunapeda kuweka mbele mabaya ya mtu na co mazuri yake?hapo kinacho ongelewa ni ufanano na co kingine.
ReplyDeleteNdege wanaofanana huruka pamoja jamani,,,wabwia unga wote hao.
ReplyDeleteWw hapo juu acha utaahira kwani wao wa kwanza kufanana,mpaka waonyeshwe kama n hivyo wangeanzisha topic ya wanaofanana,msituzingue na hao mateja.
ReplyDeleteDuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Me napita tu wadau
ReplyDeleteHuyu mwingine c mtaja au,? Sasa watafnana vp
ReplyDeleteLi Ray C limekuwa lichangu papa hapa mjini, linatafuta pesa kwa nguvu, linaparamia kila bwana hapa mjini, sijui linasambaza virusi?
ReplyDeleteYaani mara ya kwanza kuskia nyimbo ya Recho ya UPEPO nilifikiri ni Ray to the C ! Pia yes wamefanana kiana ila kuimba wamefanana sana! Love them
ReplyDeleteWe mdau hapo juu wivu unakusumbua.. au nä ww kakuchukulia bwana???? Acha ushamba manyoko ww lione ka joni mxcheeew.... tunawapenda sana mungu awasaidie wapendane hivyo hvyo
DeleteSasa badala yakureply kwa huyo mdau alie waponda una reply kwenye comment yangu nilio wasifia! Sasa mitusi yako kwenye comment yangu nzuri imefuata nini!?? Kweli uAfrica kazi
DeleteWawili hao wamependeza so tuwaombe wasibwie unga kwani.wanahitaji faraja kutoka kwetu
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteRay C mzuri jamani sema hajitambui kabisaaaaaaaa
ReplyDelete