Baadhi ya watu maarufu nchini akiwemo mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti.
Zitto alivuliwa uongozi wa Naibu Katibu Mkuu Taifa na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho.
Haya ni maoni ya Ridhiwani Kikwete aliyoiweka katika ukurasa wake wa facebook na twitter kuhusiana na sakata hilo:
Naendelea kujifunza matunda ya Siasa za Chuki na Ukanda zinavyoumiza siasa za Tanzania. Mungu anatuasa kupitia vitabu vitakatifu kuwa ” ili kuepusha balaa dogo kutokea, basi liwe balaa kubwa zaidi ya hilo.”. Imani kuwa aliloandika limetimia…
Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari kesho Jumapili kuzungumzia hatua hiyo
Hizo ni siasa za kifalme.wanahitaji wao kama wao na sio kwa maslahi ya wananchi zito ni mzaliwa wa kigoma na sio wa kaskazini wale wanahimiza ukabila wala sio siasa.wao Target yao ni kuwadanganya wananchi kuwa wanaweza kumbe ovyooo.wao kwa wao hawaelewani shida ni unafiki ukabila kuhamasisha vurugu na uigwena.chadema sera za vita na ubaguzi ukifuatilia sakata la zito ni kusema kweli tu basi hafai sasa kuna demokrasia gani hapo.cheo cha uwenyekiti ni cha igwena mbowe peke yake na hataki kusikia mtu anagombea.hawa ni wasanii wanadandia fani kwa kukosa ajira sio wanasiasa.waache kuwatapeli wananchi hamna kitu hapo.kilimanjaro oyeeee!
ReplyDeleteChadema hiyooo kwisha kazi imeshakufa tena
ReplyDeleteKimenuka chadema
ReplyDeleteMM YANGU MACHO.
ReplyDeleteWewe ridhiwani jaribu kuwashawishi hao wajinga hapo juu waliotoa comments na kama sio wajinga basi kuna manufaa wanayapata ya kuingandamiza tanganyika kwa miaka hamsini, shughulikieni serikali yenu iliooza badala ya kushabikia mambo yasiyokuhusu, kama mtu anata kuiadaa ccm mtamwogopa kumfukuza sababu ya dini yake au ukabila? Acheni kuleta chuki za udini na ukabila kwa manufaa yenu mkiwaacha watanganyika kibao wanateseka sana vijijini, yaani nyie nia yenu muachiane madaraka kifalme? Watanganyika wameaamka na kusoma siyo wale wazamani.
ReplyDeletenilikua namwonea huruma zito lakini sasa naanza kuamini zito ni ccm maana ccm wamekua.wakali.sana na kutetea zito arudishwe sijawai ona hiii sasa wam hukue wampe urahisi mwakaniii ccm kae kimya kabisa haya hayawahusu ni ya chademaaa mwamxhieni zitto na chadema yake sio kuipigia kelele chadema mchujue nyie basiiii ridhiwani mwe una ngoja ubunge wakubebwa na baba hhahha ccm uozooo mtupu.mlimpandikiza zitto sasa anatolewa uman laumuuu
ReplyDeleteChadema ni mihuni.
ReplyDeleteNadhan hata wakipata hii nch wachaga CAG atakua si lazma tena.
ReplyDeleteMi mwenyewe ni chadema ila unafk cpend kw haya yanayoendelea m2 akipasua uozo ambao hata mtt mdogo anauona mnamwita ni msalit!!! Kwanza mmejaa ukabila na udini na sasa hv ndo limejidhihilisha .
ReplyDeleteEeeeh! Mbona kuna uozo mwingi tu' wanaficha! Kama mambo anaoyafanya viti maalum Arusha Ni Aibu kwa hiki chama! Ni Aibu kubwa! Kama kuitwa Mhe Mbunge Ni simple hv' bc!'
ReplyDeleteOoh! Nimekupenda mdau! Nitakupataje!
Deletekwenye hili mtoto wa dokta msafiri kanena, "Naendelea kujifunza matunda ya Siasa za Chuki na Ukanda zinavyoumiza siasa za Tanzania". bila kujali itikadi za vyama umenena jambo la msingi sana.
ReplyDeletePEACE WE NEED...THUS ALL...
ReplyDeletechama cha magamba imewauma eehh,kipandikizi kenu kametimuliwaa,,,,
ReplyDeletetanzania 2taendelea kuwa maskin mpaka lin?
ridhwan jibu ili c maswala ya zito ayakuusu