SHILOLE AAMBULIA MATUSI MARA MAADA YA KUANDIKA KIINGEREZA CHA UGOKO MTANDAONI

Shilole aliamua kutandika yai kwenye Instagram, ili kuzipa uzito shukrani zake za dhati kwa muongozaji wa video yake ya ‘Nakomaa na Jiji’ itakayotoka Jumamosi hii, Nisher.
Bahati mbaya, yai lake lilivunjika mapema wakati lilipokuwa likiufikisha ujumbe huo na kuwafanya watu waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha hiyo, ni kwamba Shilole aliandika Kiingereza kilichokosewa sarufi aka Broken English.

Shilole aliandika: I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director @nisherbybee.

Baada ya hapo, haya ndio yaliyosemwa:
    [ @ ] nicrac1914 Lugha za majahazi!! Ongea Kiswahili tu utaeleweka vzr

    [ @ ] lisammbando Speaking English is not a joke Hahahahah 

    [ @ ] clararobinso Me cjaelewa hiyo lugha mpz, kwan ulitaka kuandika nn hapo?

    [ @ ] pinnadelicious Jmn mbona mnapenda kumcritisize hvo mwenzenu sa amekosea nn nyie mnaojua, duh dis is too much 

    [ @ ] teddybebe Jaman all in all si mmemuelewa.hata mbuyu ulianza kama mchicha kila kitu kinaitaji mazoezi na usione aibu hata wakikucheka mpenz jitahid tu utaelewa. @shilolekiuno 

    [ @ ] teddybebe Kumbukeni hata nyie mlitoka huko hata kama mlisoma za kishuaa. Vizur kumsahihisha na sio kumbeza  4h

[ @ ] m_bongo her message sent, delivered, read and understood hicks. By the way english isn't her first language.

    [ @ ] tutupahamidu Did or didnt?!!thank you or thanks to my director?!

    [ @ ] raqey_unique Yeah her English is not gud but a bet u all understood wat she meant so stop hating

      [ @ ] pinnadelicious Kiswahili every one anajua so mdada wawatu anajitahidi awe internationally so km tumeelewa wat she mean mbona hakuna tatizo, sema bongo tumemeza!!!!

    [ @ ] eshyleta bora washushuliwe tu, coz baadae wanaleta nyodo za kiswanglish, et kiswahili hawezi baadhi ya maneno, km huwezi kithungu tumia lugha yako ya taifa

    [ @ ] makavlive @shilolekiuno mwisho wa ujuaji ni aibu...ona sasa, ungeandika kiswahili isingekua shida, kutaka ung'eng'ee shule yenye hujaenda...acha kuiga paka la baa wee ongea kinyamwezi unachokijua!

    [ @ ] auma_bebe we al knw dat english iz not our mothertongue n tz nxma mnaijua histry yke shilole ss y mnamponda hvyo bdala hta ya kumrekebisha? sio fair bna...
 

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. daah! Rudi English Course Shilole

    ReplyDelete
  2. mkorogo ukija kufulia utajuta

    ReplyDelete
  3. Hehehe n she claims she want a collabo with JLO. Masnura

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eehhhh, Wacha we, sasa JLO, atamfungulia mashtaka, atamtukana bure

      Delete
  4. Kuna wengi sana wanakosea katika kuitumia lugha yetu ya Kiswahili lakini hatuwakosoi wala hatuwacheki. Jamani kujua English siyo ujanja wa mwisho!

    ReplyDelete
  5. I dnt c any mistakes mde by dis chick she's much ok nd further more it's bttr her dan some of you who would never give it a try..........bravo Shilole u wil soon gget to knw it bttr

    ReplyDelete
  6. Those are common grammatical mistakes which are the biggest problems especially for those people who use English as the second language,so huyo dada tusimponde bali tumrekebishe na next time she will repeat the same miatakes,vilevile kama kiingereza hakipandi why ujitese wakati lugha ya madafu ipo? By Malanga A N

    ReplyDelete
  7. Those are common grammatical mistakes which are the biggest problems especially for those people who use English as the second language,so huyo dada tusimponde bali tumrekebishe na next time she will repeat the same miatakes,vilevile kama kiingereza hakipandi why ujitese wakati lugha ya madafu ipo? By Malanga A N

    ReplyDelete
  8. jamani tatizo did hapo, good try , watu wengi wanakosea jamani sio yeye tu tukianza kusooma status a watu whatapp na fb majanga sema hao sio maarufu, mnapita kimya kimya

    ReplyDelete
  9. Afande nasema wote kimya, nitayonena hapa yamguse mwenye hekima, kulazimisha lugha ni sawa na kutoa zawadi kwa shabiki akushike anapotaka, Boya stay back.

    ReplyDelete
  10. English can be so Trick sometimes. So is Ok to try Mnyamwezi mwenzangu ila usichanganye verb mbili katika sentence moja bila kuwa na connecter nina maaana neno la kuunganisha sentenci, mfano ni neno "AND" Hili neno ndio linakuruhusu kutumia verb zaidi ya moja kwenye sentenci. Maana umetumia Did halafu think zote hizo ni verb! Mnyamwezi mwenzangu kazana mama kama unavyokazana na uswezi wako stajini mwanawane.Ngoja nikurekebishe mie Mnyamwezi mwenzio maana wanyamwezi tunadharaulika sana sasa mie najitutumua kwa ajili yako Shilole, Ungeandika hivi" I didnt think I would ever do such a Nice Video like that! Alot of Thanks to you my Director! Nafikiri hivi ndivyo ulivyokusudia kuandika ila ulichanganya kila aina ya viungo kama uonavyo nimetumia maneno yako yote ila nimeyapanga tu vingine jirani yangu.

    ReplyDelete
  11. Mmh jaman wa bongo tuna kazi tena c ndogo

    ReplyDelete
  12. Nyoo kilikuingiza nini humu kama sio mmoja wetu kaa utulie wewe Khamisa Missy Ushuzi mama fatuma wa matope, wewe English ndio Zero bora Shilole anajua hata cha kuanzia.

    ReplyDelete
  13. Hiyo collabo na J.Lo itakuwaje sasa?

    ReplyDelete
  14. Na kwanini, asitembee na dictionary, afanye tu, kama yuko na bible kumbe, kitabu, ha ha ha ha

    ReplyDelete
  15. Wdwe umeongea point hilo kolabo na j.lo litafanyika vp na ngeli hajui c matatizo bin aibu jamani halafu ndo kioo cha jamii huyo, jamaniiiii!!!

    ReplyDelete
  16. Mbwa nyie atembee nayo ya nini? English ya kuongea na yakusoma nitofauti mwacheni ajifunze Jirani yangu

    ReplyDelete
  17. ndio tatizo la kukimbia shule hilo!

    ReplyDelete
  18. Ushauri wa bure kwa mtani wangu Shilole ni kwamba kwanza, una ujasiri wa kuthubutu,pili,mdada mtafutaji,mbunifu n.kk,upokuwa unataka kufanya kitu ambacho kinahusisha
    jamii pata ushauri na maelekeazo kwa watu ambazo kwa upeo wako unajua wanakifahamu fika hicho kitu.Jifunze kwa diam....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad