SINTAH AMCHANA KIANA AIANA RAFIKI YAKE LEMUTUZ


Lemutuz
usijikakamue halafu ukitoka hapo
unaenda kula Chips kuku
maana utakuwa unapoteza muda wako



Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu baby eeeh,sasa Papaa William aamua kujifua tena kwa sana tuu, hebu tumpeni pongezi kidogoo, bora hilo tumbo ulisawazishe but ze purobulemu is ataweza? maana katika  bday ya Jackiee mzee aliagiza Chips na T born steak sasa unafanya mazoezi na huku unafukia kwa sana inakuwa work done is equal to zero lolest....
Sintah

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad