HATIMAYE PETER OKEYO WA P-SQUARE AFUNGA NDOA-HII NDIO PICHA YA KWANZA KUTOKA KATIKA HARUSI HIYO
2
November 17, 2013
Baada ya mahusiano yao kuongelewa sana Kwenye Mitandao hatimaye Peter Okoye wa P-Square Amefunga ndoa na mchumba wake wa muda Mrefu anayejulikana kwa jina la Lola....Congrats Bro.....
Tags
Kashawawekea linda ikeji nyingine mbona kazicopy km kawa kaka
ReplyDeletehongera peter kwa kujichukulia kimwna
ReplyDelete