Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama.
Waliovuliwa vyeo ni Zitto Kabwe, ambaye amevuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa chama pamoja na nafasi ya Naibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Dr. Kitila Mkumbo yeye amevuliwa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu.
Kamati Kuu imewaandikia barua Zitto na Kitila, wajieleze ndani ya siku 14 kwanini wasifukuzwe uanachama.
CHANZO: JAMII FORUM
well done chadema
ReplyDeleteHongera kwa zitto kuvuliwa cheo,hakka nawaambien wadau hata huku kgoma kazkazn wananch tumemchoka hana chake tena labda aende jmbo jngne.Maana hakna alchokifanya ndan ya miaka 8 wiz m2pu.Akja hku anazga anakja na gar ya thaman ndogo wakat anatembelea Range Rover
ReplyDeletemi ni CHADEMA but kiukwel simuelewi elewi Zito! km kapandikizwa flani? na nyie viongoz jiwekeni sawa chama kisimame tunajua migogoro popote ipo ila isiwe ya muda mrefu ili 2015 kieleweke.
ReplyDeleteHIzo nafasi apewe LEMA wa nyumbani chama kitazidi kuimarika.
ReplyDeleteMwisho wa chama cha wachaga.!
ReplyDeleteMshamba ww na mkabila
DeleteAAHAAA.. CHAEZEA WACHAGA WEYE,, HAFI MTU APA.. M 4 C
ReplyDeleteChaga democratic movement association..... chadema
ReplyDeleteMkalale mutuachie chama chetu wachagp
ReplyDeleteTusiwe wepesi wa kuhukumu kila tukio linalotokea,
ReplyDelete