TUKIO LA RISASI ILALA MTU WA TATU AFARIKI NI YULE KIJANA DEREVA AMBAYE NI RUBANI

MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam jana amefariki dunia jana asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu.

Kufariki kwa Francis kunafanya idadi ya watu waliofariki katika tukio hilo kuwa watatu hadi hivi sasa huku ikiacha majeruhi wawili mmoja Christina Alfred Newa Mwanafunzi wa masuala ya
Mawasiliano visiwa vya Syprus na mama mzazi wa Christina, Hellen Elieza Newa.Aidha mipango ya mazishi ya mtumishi wa Benki ya Barclays ya jijini Dar es Salaam, Alfa Alfred Newa inafanyika nyumbani kwao Ilala karibu na Kablu ya wazee huku maziko

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuwa makini na habari zako, Franciss sio Rubani!!! get your facts straights before publishing, mnatuumiza marafiki zake wa karibu kwa habari zenu za uongo!!

    ReplyDelete
  2. So confusing,try 2 prove your news b4 u publish,2meckia frm clouds leo tena na power breakfast,ni tofauti frm what u published y'day. We realy love your news but prove them b4.

    ReplyDelete
  3. Dawa yao waki saliti shaba

    ReplyDelete
  4. eti dawa ya wasaliti shaba?!mbona nyie huwa mnatuacha na full kutafuta vimada.
    ameacha ye kawa wa kwanza?kwa temper hiyo mwananke gani angemkubali?

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mwehu unaambiwa hat osama alikuwa mtu poa kabisa ila alibadilika akawa simba baada ya kutendewa mabaya

      Delete
    2. Hahahahahahaha yani mbavu zita chakaa hata kama si mazoea yake

      Delete
    3. Hahahahahahaha yani mbavu zita chakaa hata kama si mazoea yake

      Delete
    4. wanawake sasa hivi kama wanaume, yaan huyu dada nimempenda, ukiona limwanaume halieleweki alafu opportunity inakuja na wala hauna ndoa unapiga chini

      Delete
  5. haloo haloo nini kuumizana wanaume bwerereee wanawake bwereree hakutki tupa kuleee sajili mchezaj mpya maisha yanaendelea

    ReplyDelete
  6. RIP bro franco we wll miss u always.

    ReplyDelete
  7. Piga shaba tu wasaliti ndo faida ya haki sawa Hahahaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona wewe unamsaliti huyo chabunene wako,
      kama hauna hela niwe nawewe ili iweje?

      Delete
  8. RIP Francis.....sikujui ila imeniuma sana.

    ReplyDelete
  9. mamae zeke,aolewe basi na hiyo maiti

    ReplyDelete
    Replies
    1. ona povu linavyokutoka, mnapendaga kuacha tu.
      mwaka huu mtakoma kama haueleweki piga chini

      Delete
  10. yan hapo roho yangu nyeupeeee,mamae

    ReplyDelete
  11. fresh,maana hawa wanatuchukulia wachumba afu wanaanza kutuletea dharau,angepona huyu jamaa ningeumia sana,

    ReplyDelete
    Replies
    1. kunganganiana kumeshapitwa na wakati.
      una haya mbona wewe una nyumba ndogo na haujauliwa?
      kumpa mschana wako vichenj ndio full kumganda

      Delete
  12. Christina tulia sasa mama, Wambura alikushindwa na una bahati na wanaume wenye faranga. sasa kaa chini utafakari maisha yako unataka kuwa na nani ulee watoto wako

    ReplyDelete
  13. huyu mdada kawa malaya muda mrefu sana nakimbuka aliwahi kupigania mwanaume na Rukia Mtingwa

    ReplyDelete
  14. wanawake sasa hivi kama wanaume, yaan huyu dada nimempenda, ukiona limwanaume halieleweki alafu opportunity inakuja na wala hauna ndoa unapiga chini.
    kugandana na limtu kisa alikununulia pichu ya mtumba eti ukimuacha atakuua, umasikini unawasubua

    ReplyDelete
  15. mtaendela kutukosa kosa hivyo hivyo, na mnatuacha tunapata wa hadhi yetu na kuendelea kula maisha.
    kama una on kimshahara chako cha laki 3 ni mali nenda kale kwenu na wazazi wako na your family.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad