TUSIMLAUMU RAY:WEMA ALIKUWA HAJITOI KWA MISIBA YA WENZAKE..STEVE NYERERE

Msanii wa filamu, Steve Nyerere amesema Wema Sepetu alikuwa hajitoi kwenye matatazo ya wasanii wenzake wa filamu na ndio maana wasanii wengi wa filamu wakashindwa kuhudhuria katika mazishi ya baba yake, Balozi Isaac Abraham Sepetu mwishoni mwa mwezi uliopita.



Akizungumza  leo Steve,amesema anawataka watu waache kumtupia lawama Vicent Kigosi aka ‘Ray’ wakati mwanadada huyo alikuwa hahudhurii katika matatizo ya wenzake.



“Mnamlaumu bure Ray jambo ambalo hajafanya kwakuwa Ray ni jalala basi kila kitu mnamtupia,jamani mwacheni apumzike,” amesema Steve.



“Sisi katika Bongo Movie Unity tuna uongozi, tuna mwenyekiti,tuna mwenyekiti wa mipango ambaye ndio mimi, na tuna makamu wa mwenyekiti ambaye ndio mimi na tuna makamu mwenyekiti ambaye ni Irene Uwoya. Lakini sisi taratibu zetu kwenye misiba kama unaona kwenye misiba yetu tunajitoa,lakini linavyotufika tunaangalia ni mwanachama gani naye anakua anajitoa katika misiba ya wenzake

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mbona ameshadadia hii issue? Kwani wote mlishakuwa na misiba? Sasa wale hawajafiwa hamkwenda kwa nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Steve Nyerere kaka yangu punguza chuki binafsi haitakufikisha popote, lazima inakuuma sana kuona mwanadada amefanikiwa sana katika fani yenu na anamaisha mazuri sana kukuzidi ushauri wangu kwako na wewe chapa kazi utafanikiwa tu kumuwekea vikwazo sijui joto hasira haisaidii Steve unajiaibisha bure ndio kwanza Wema anazidi kusonga mbele na wewe unazidi kurudi nyuma kwenye chumba cha kupanga kuliko kumaliza nguvu nyingi kumponda tumia nguvu hizo hizo kujiimarisha na kazi labda utamfikia yule mrembo. Pole sana na maumivu Steve dunia ndio hivyo kila siku lazima atakuwepo aliekuzidi kimaisha

      Delete
    2. mwee kaishadadia mpaka anaudhi kaa kimya tuone matendo tu longolongo ya nini? bia zake kule Serena ulienda kunywa maharage ya msibani hutaki kwenda kula?

      Delete
  2. Ngoma ishamchanganya akili huyo hajui asemalo

    ReplyDelete
  3. Mbona mulivoalikwa kwenye uzinduzi wa filamu yake serena wewe ndo ulikuwa wa mwanzo kwenda kunywa vinywaji vya bure na suti ukavaa juu. Tatizo lenu nyie wasanii mnataka kwenda sehemu mutakayo abudiwa na kule kwa muheshimiwa mlikuwa hamna bao

    ReplyDelete
  4. Huyo kibaraka mavi yake hana lolote kaishiwa kachoka akagange njaa huko

    ReplyDelete
  5. Kwanza sioni anachoigiza huyu kaone ndomaana mfupi kama nukta

    ReplyDelete
  6. shida ni moja hamna upendo,upendo husamehe na uvumilia.Hivi nyie mlishawah kumuita wema na kumwambia tabia anayofanya ya kutofika misiban si nzur?mlishawah kuzungumza nae??msipende kujitolea hukumu angal ninyi pia mna sehemu ambapo nanyi hamuenendi vizuri!Hayo mambo wanafanya watu wasio na utu na waliokosa upendo kama wamelelewa na wanyama na si binadamu.Na mnajiita kioo cha jamii?kweli??Mnamtenga mwenzenu kipindi ambacho alihitaji faraja ya hali ya juu?kwanini bas msingeenda halafu msiba ungeisha mngekaa nae kumwambia kuhusu tabia yake.Nae kwa kuwa yamemkuta tayr angewaelewa tu!Yan honestly Bongo movies waliosusa kwenda msiban wameact lyk watu ambao hawana utu.Well wewe steve nyerere ndo mana hunenepi kumbe sababu una roho mbaya ka korosho iliyoungua.Nimekuchukia sana kwa hili.Na huyo Ray mwanamme mzima unawaza visasi.Takataka

    ReplyDelete
  7. HUYU RAY KWANZA NI MZULUMATI MKUBWA DAMU NA MACHOZI YA JOHARI YAKO JUU YAKE.WALIVYOKUWA WAPENZI ALIMRUBUNI JOHARI WAJENGE KAMPUNI YAO ILE YA R&J NYUMBANI KWAKINA RAY,WAKAJENGA.SASA HIVI MAPENZI YAMEKWUSHA YUPO KWA CHUCHU MKE WA MTU ANATAKA KUMDHULUMU JOHARI HIYO KAMPUNI.KOMAA JOHARI NENDA KAZINI MAANA ILE KAMPUNI NI JASHO LAKO.KUSANYA HELA MGAWANE PASU KWA PASU UFUNGUE KAMPUNI YAKO BINAFSI UACHANE NA MAPENZI YA MAHABA NIUE.RAY ANAKUDHALILISHA SANA.

    ReplyDelete
  8. HUYU RAY KWANZA NI MZULUMATI MKUBWA DAMU NA MACHOZI YA JOHARI YAKO JUU YAKE.WALIVYOKUWA WAPENZI ALIMRUBUNI JOHARI WAJENGE KAMPUNI YAO ILE YA R&J NYUMBANI KWAKINA RAY,WAKAJENGA.SASA HIVI MAPENZI YAMEKWUSHA YUPO KWA CHUCHU MKE WA MTU ANATAKA KUMDHULUMU JOHARI HIYO KAMPUNI.KOMAA JOHARI NENDA KAZINI MAANA ILE KAMPUNI NI JASHO LAKO.KUSANYA HELA MGAWANE PASU KWA PASU UFUNGUE KAMPUNI YAKO BINAFSI UACHANE NA MAPENZI YA MAHABA NIUE.RAY ANAKUDHALILISHA SANA.

    ReplyDelete
  9. Wewe na ray wote wasenge 2,,,kaosheni kuma zenu,,,,kwanza

    ReplyDelete
  10. Huyu nae haeleweki, ni mzee ama kijana? Hivi ni kilema wa akili?? Kipaji chake kimeisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni mzee mwenye kilema cha akili

      Delete
  11. Wema kapata shule tosha. huji kwangu siji kwako. lawama za nini

    ReplyDelete
  12. Mnapoteza muda wenu bure kudisscus kuhusu ray na uyu steve for me nawaona jst nosense and fools + zero boys..na huu ni mfano tosha kuamini ninachowaambia kama uyu steve sasa kitu gani anachomtetea uyo zero boy mwenzake..let me tell u zero boys..kama mnajiona nyie ni wasanii wakubwa basi labda ni majumbani kwenu but fact is amjafikia ata iyo level ya marehemu kanumba alafu mnajifanya mastaa..anyway siwalaumu cause u all ZERO BOYS.

    ReplyDelete
  13. Kama aendagi misiba ya wenzie OK, am aye asingefika ni Wastara maana ndo alie fiwa. WEngine je?

    ReplyDelete
  14. Wema kapata shule tosha. huji kwangu siji kwako. lawama za nini

    ILA KWENYE UBWABWA WANGU NA KUFUTURISHA KWANGU MNAJAAA, HEHEHEHEEH HAMJIELEWI NYIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. umesahau na bia za Serena alienda kunywa kakenua meno utasema kaona pepo kwii kwii waswahili wana tabu kwii kwii

      Delete
  15. BABA YAKE WEMA ALIKUWA MTU WA SERIKALI , AFADHALI BONGO MUVI HAMKWENDA MAANA MNGEKWENDA KUWATEGA VIONGOZI WA SERIKALI TU , SI MNAONA SERIKALI ILIVYOJAA PALE ? AIBU KWENU

    ReplyDelete
  16. Wema angekuwa kama Mimi Mtoto wa kwanza na Familia ya Kimasikini kweli hapo Tungesema amekoma , But Wema ni Mtoto wa Mwisho kwenye Familia ya Watoto kama 12, Mliwaona KAKA zake wakubwa , Dada zake kutoka Nje , Wema hakuwa na Jukumu lolote pale zaidi ya Kulia , kwi kwi kwi TAJIRI ASUSIWI BANDUGU,

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwii kwii umenigusa sana mdau ungekua karibu ningekununulia Mirinda uliona wapi duniani Tajiri akasusiwa mnajichosha tena wamepoteza bahati ya kukutana na wakubwa pale wangeomba misaada kuna ndugu zake Wema wanaishi majuu wangepata connection kibao kwii kwii umegusa point nzuri sana unaakili sana wewe mdau

      Delete
    2. wanaleta za uswazi mahali pa wazungu hamsomeki hata kidogo muangaliege na pa kususa halafu mwenyewe hata habari na nyinyi hana wala hajui kama mlisusa wahusika wake wakuu wote walikuwepo Diamond alikuwepo, Kajala alienda mpaka Joketi alienda nyie vidampa wenzangu wa kwa Mtogole eti mmesusa khaa shombo lenu kaeni nalo huko huko uswahilini kwenu mnachekesha

      Delete
  17. Fuuuu manina zenu,mafutari na mibia mipumbu meupeee,ss mmezuia nn,no love,haterz wakubwa nyie,I happy she ddnt even notice uwiii,

    ReplyDelete
  18. Yani aka Kasteve nika nafiki sana afu kapokapo2 mi ckaelewi ujue,embu ona kakiwa kakionana na Wema katamsifia weee!!.Afu eti leo kanampondea jamani mbona wewe umekula hela za mcba wa Kanumba na ha2jacma,msenge wewe tako mwili mzima

    ReplyDelete
  19. Kwa uongozi huo na mahamuzi hayo nashauri mjiudhuru, wapisheni wengine waongoze kwa busara na weledi,utetezi wenu ni wa kitoto sana.Mahamuzi hatari sana hayo je ikiwa ishu kubwa itakuwaje?

    ReplyDelete
  20. nyie ni watoto mchemchelee? kuanziya leo uyo RAY na fupi wasifiki uku ZANZIBAR watakiona cha moto

    ReplyDelete
  21. Eti hashiriki kwenye matatizo ya wengine....milioni 13 fine ya kumtoa kajala ulitoa wewe? Mxeeeew ndo maana mfupi kama dimba la asubuhi...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad