UJANJA WA DIAMOND NA UZEMBE WA ALI KIBA

Hata kama sio shabiki wa diamond ila kuna kitu lazima uwe kinakuvutia kutoka kwake.Unaweza kujitahidi kumchukia labda kutokana na skendo zake za nje ya muziki wake ila ukirudi kwenye muziki wake nadhani anastahili kuwa pale alipo.
Kuanzia muonekane wake mpaka anavyoweza kuji-brand kimataifa na anavyojua kucheza na akili za mashabiki.

Wasanii wengi wa bongo flava wana tabia ya kurithika kwa mafanikio yao ila Diamond toka atoke na Kamwambie mwaka 2009 mpaka 2013 amezidi kwenda juu bila kuonyesha kusuasua wala kutetereka.
Angalia video ya number 1.Wimbo unaweza sema ni wa kawaida kabisa ukilinganisha na mbagala, kamwambie au nitarejea ila akili ya kwenda kufanya video cape town,south africa kumeifanya nyimbo iwe number 1 kama jina lake lilivyo.

Ushawahi kujiuliza Ali kiba yupo wapi pamoja na kuwa kila mtu anajua ni mkali kuliko diamond?Ali kiba toka atoe my everything mwisho wa mwaka jana amepotea hata video ajatoa.Tukaja kumuona kwenye kidela na Abdu kiba bila kurefusha maneno Ali anashindwa kuufanya mziki wake kama mashabiki wake wanavyotarajia labda pengine angekuwa anafukuzana na diamond ila matokeo yake vijana wake kama Rich mavoko na Dimpoz ndio wapo nyuma ya Diamond huku Ali akibaki msanii mkali ambae ameshindwa kuendelea kutuonyesha ukali wake sijui anawaza nini!

Ushawahi kujiuliza kama ule wimbo wa airtel hands across the world waliopiga wakina r.kelly,fall ipupa,2 face kama nafac ile angeipata diamond leo angekuwa wapi?
Diamond leo anatuletea remix ya number 1 f.t Davido kila mtu anaisubiri kwa hamu ila Ali alishindwa hata kutuletea remix ya Dushelele f.t Fally ipupa pamoja kukaa nae wiki nzima wakifanya wimbo pamoja.
Diamond ni mjanja anaejua biashara ya mziki ilivyo labda pengine ni management yake inayomsimamia.Diamond kaweza kuubadilia mziki wetu kwa kiasi chake leo ndio msanii anaelipwa pesa nyingi kwa show.

Nampenda ali kiba,naipenda sauti yake,anajua mziki kuliko Diamond ila Ali ameshindwa kubadilika na kukubali soko la mziki linataka nini.

Amka Ali huyu Diamond hakuwezi ila usipokuwa makini utajikuta nyuma ya rich,barnaba,dimpoz na ben pol maana mziki sio kuimba peke yake mziki ni biashara pia
--------
Click Like Below
Tags

Post a Comment

31 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo Umeongea ukweli halisi na nakumupa asilimia mia kabaisa koz ata mimi nilikuwa nafikiria ivo ivo pia...Hakuna artist wowote wa kibongo anaeweza kumpa challenge diamond zaidi ya Ali Kiba but si wewe tu watu na mashabiki wengi wa bongo fleva wanajiuliza kunami ali kiba anavyokaa kimya ndio jamaa anamkandamiza tu na atapotea kabisa..ali kiba u have talent wake up and do something for ur fans and bongo fleva..

    ReplyDelete
  2. hakuna sehemu umenigusa na nkamuona aly kiba fala kama ulivosema angetoa rmx na fally ipupa tena ingekuwa kali kuliko hata hiii anayotaka kutoa diamond lakin yeye hakujua ilo.....diamond japokuwa sio kivile ila nimeona akili yake jinsi anavyofight

    ReplyDelete
  3. Hapo Umeongea ukweli halisi na nakumupa asilimia mia kabaisa koz ata mimi nilikuwa nafikiria ivo ivo pia...Hakuna artist wowote wa kibongo anaeweza kumpa challenge diamond zaidi ya Ali Kiba but si wewe tu watu na mashabiki wengi wa bongo fleva wanajiuliza kunami ali kiba anavyokaa kimya ndio jamaa anamkandamiza tu na atapotea kabisa..ali kiba u have talent wake up and do something for ur fans and bongo fleva..

    ReplyDelete
  4. Alikiba namkubali sana kama anaweza muzk .Me pia namuomba afanye kaz na asiridhike na sifa chache haya maisha

    ReplyDelete
  5. Alikiba namkubali sana kama anaweza muzk .Me pia namuomba afanye kaz na asiridhike na sifa chache haya maisha

    ReplyDelete
  6. Alikiba namkubali sana kama anaweza muzk .Me pia namuomba afanye kaz na asiridhike na sifa chache haya maisha

    ReplyDelete
  7. Ila sijawahi kusikia Ali Kiba kaiba nyimbo lakini Diamond nishasikia mara kibao 2 Diamond ni mkali tatizo mwizi wa mashairi na biti za wenzake.......Ali Kiba yupo juu2.

    ReplyDelete
  8. Ali Kiba ni mwanamuziki mzuri sana ila siyo marketer mzuri. Kwa upande wake kweli Diamond ni marketer mzuri sana anayejua kutafuta attention inayomsaidia hata katika kupata masoko. Unfortunately muziki wa Diamond siyo mzuri wa kiwango watu wanavyoushabikia, ila tu amejua kujiwekeza kwenye mawazo ya mashabiki. Kiba atafute mtaalamu wa kumtangazia shughuli

    ReplyDelete
  9. kiba analoa masifaaaaa sema ni msanii wa kiwango sauti nzuri kuliko dai ,,,,, dai yeye ni mtoto wa uswaz anajua kujitafutia toka kinda kula anajitafutia

    ReplyDelete
  10. ali kiba alishawahi kuwa na skendo ya kuiba mashair ya wimbo wa sindelela.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa maana wengine wanakomment kimajungu bila kujua vizuri historia za wasanii ahsante kwa kuwakumbusha

      Delete
  11. Tátizo la waxanii wa kibongo usishangae ally kiba ataanza kukudiss kwa hili.., lakini kama Ana akili ya kufikiri nadhani umemsaidia xana kuzinduka maana kajixahau kabisa..!

    ReplyDelete
  12. ILLUMINATI...AENDELEE TU..AKIFA TUTAMZIKA

    ReplyDelete
  13. Utasemaje Ali anajua huku Diamond akishika chat?! Ali anaweza ila Diamond anajua nn maana ya muziki..yaan hyo ndo kule Morogoro wanasema "Baba Mwenda kajitahidi kweli yaan kafukuzwa na Simba toka shamba kaja kuliwa mlangoni" 'kichwa hiki hapa muone' km umekufa umekufa tu hakuna kujitahidi..Ali amefeli shortly siyo kusema kwa huruma kwa kuwa hana maskendo km Diamond..Waislam twasema "Yassin ni dawa ila nawe Ugangamale"

    ReplyDelete
  14. Diamond mchawi.kamloga ally kiba.upepo tu lakini utapita kama alivyopita jide anacoisi.

    ReplyDelete
  15. Tatizo la Ali Kiba anachukulia poa kila kitu kuanzia uvaaji,maisha ya kitaa, kwa lugha ya kisasa ameridhika afadhali hataki zaida

    ReplyDelete
  16. Tatizo la Ali Kiba anachukulia poa kila kitu kuanzia uvaaji maisha ya kitaa kwa lugha ya kisasa ameridhika na afadhali hataki zaidi.namfananisha na Haruna Boban ni mgodi usiojitambua kabisa

    ReplyDelete
  17. Hope ally ameona yaliyoandikwa na wadau, amka bro. Tunakukubali xana

    ReplyDelete
  18. INA SADIKIKA KWAMBA DIAMOND KAMLOGA ALLY KIBA..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Achen iman finyu mambxm yakurogana ni ya kizaman diamond anahitaj pongez sana

      Delete
  19. Leo tu tulikuwa tunadiscuss kuhs kiba na dai...tulikuwa na ticha wetu tena si mtanzani na wa nje na ai africa...ila anawajua wasanii vibaya tena mok tim za mpira za hapa...akawa anasema kiba ni muimbaj mzur kuliko daimond ila dai ana kismati tu...mi nkabisha sana nakasema kiba bi mkali kuliko daimind ila tu hayuko serious...na wote class walikubalina na mm kuwa kiba ni mkal tena sana ila sijui anakosea wap maskini....kiba embu amka basi mpnz

    ReplyDelete
  20. Hata kama , K ni mkali tu na anafanya mzik kaz ila huyu D anaxaka micfa, pa1 na kuwa na juhud ya kuimba nyimbo nzur anatafuta sifa tena kwa mademu.
    Jizi 2 ... Ah!

    ReplyDelete
  21. simpendi diamondi jamani,yote ni kwasababu ya umalaya wake..ptuuuuu.Mwanaume hailali,unaitembeza hiyo kengele yako utafikiri uko kwenye mashindano.Na unasema uko safi kiafya siamini hilo.Wewe mgonjwa wewe na unausambaza.Ungekuwa si mgonjwa ungekuwa na staha na umalaya wako huo..shame on you.

    ReplyDelete
    Replies
    1. vp alikua mtuwako amekubwaga nn!!! mbona umekuja kwa hasira ivyo?

      Delete
  22. KULINGANA NA YOTE AYOOOOOO YALIYOZUNGUMZWA LAKINI IELEWEKE NA KUTAMBULIKA KUWA KWISHA KUPOOOOOOOO.BUT INATAMBULIKA KABISA KUWA KIBA ALIKUA GUMZO SANA KATIKA KIPINDI CHAKE LAKINI KWA SASA SI WAKATI WAKE TENA

    ReplyDelete
  23. Ally Kiba kamrudia ya Kareem wake, kagundua mziki haramu haswa haswa kwenye dini yake, wanaoendelea kum-aswi- ya Kareem kama akina -Nasibu- waendelee tu! mwanadani inawasubiri tena kwa hamu!! big up Ally Kiba, kaa kimya hivyo hivyo usimfaidishe shetani na hawa wote "mashetani watu" wanaokulaumu!!!

    ReplyDelete
  24. kiba mipango duni,ila ni mtunzi na mwimbaji bora tazania ila diamond anamashairi yanayoigusa na yenye mvuto zaidi kuliko kiba na he always improve and think music as work,kwa steji ni mkali.

    ReplyDelete
  25. kila mtu na wakat wake apa duniani, unataka uwike maisha yote kwani dunia yako hii? Muacheni platnum ndo muda wake hu, na yeye c atapita tuu? Naeza nkafata ata mm mcshangae:

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad