"This goes out to my ladies ambao ni glues heee kama superglue yaani wanajifanya wenyewe tutabanana hapa hapa, jamani kama mwanamme hakupendi muache maana kuna other potentials out there unakazana na asie wako ili iweje??
jamani penny hausiki ktk hili maana anaishi na dimondo so naombeni kwa heshima mumuache apumzike tuendelee na yetu" Sintah
Nyoooo we mbona ulimng'ang'ania okwi mpaka akakuna kwenye fb hakuna aliyekusema?huyo peni nae king'ang'anizi ndo mana kahamia kwa mwanaume kabla hata hajaolewa,kwahiyo anza kumshauri yeye arudi kwao
ReplyDeletemhh umejibu nini wewe? ndio maana mnafeli mitihani kichwa na habari kingine unaropoka mengine tuondokee hapa
DeleteSintah wape wape wadada mbadilike mnatia aibu
DeleteMnafiki
ReplyDeleteacha unafiki ww dada utakua lini?? uwongo uwomgo tu...ndy maana govinda kakufira naligovi lake kakuacha muone miguu km fimbo ya pool table...i dnt hate yu but i dnt like the way unavyowatreat unaowaita marafiki.
ReplyDeleteKwanza ngoja nikwambie.....ukweli wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake mnao2mia karolight....ndo maana mnamegwa mnaachwa.......wanawake km nyie mtabaki kuwa wanawake wa starehe 2.. mtaolewa na washamba washamba 2 .Tena uzeeni.
ReplyDeleteKaka inaelekea una hamu ya kuingia kitchen party? subiri nikuletee sare wakiitwa wanaume na wewe unatoka? hiyo karolight alikua anapaka mamako update mawazo yako mgando pumbaff
DeleteYamekugusa,pole kama na wewe unapaka
DeleteTena yamemgusa mno...usikute ngozi yake km imebabuka kwa mkorogo mpk leyer tatu zote kushney...:
DeleteFanny yako ishakutupa mkono, we ni kibibi, ungefanya ukalime,
ReplyDeleteAlishaolewa.Wanawake wenye Akili timamu hawaolewi
DeleteBi kizee olewa nawe utafika menopause soon. Huyo penny wako komo ka mabasi ya london
ReplyDeleteMUKE wa MUZUNGU Ana share gari na bwana .gari lake like linepaki ofisini Hakai Beverly hills wala nini.saa zingine anabaki na gari anamshusha.Duh Mie naendaga kumuona wifi yangu hapo
ReplyDeletewape wape hana gari huyo full kuchafua watu na kopo lake la mate loh
Deleteacha upumbavu,mbona yeye domo kachaguliwa mke na mamaake?pumbav
ReplyDeleteMwanaume mwenye pesa aachagwi,ila pencil Ana moyooo,pesa pesa pesa ndio sabuni ya roho,hapo nasibu anapendwa Kwa kitu Fulani no pure love.mi ningekuwa naseeb ningewapotezea woote penny na wema.
ReplyDeleteKipindu pindu kikianza mtafutano,kungangania mapenzi kisa majumba na magari na hela,hata Mimi ningengangania nani anapenda dhiki
ReplyDeleteSema wewe ndugu yng hata wangekua wao uking'ang'anizi ungewahusu...huyo mpenda dhiki na anyooshe dole juu mxiuuu"
Delete