UKWELI WA ISHU YA SNURA NA MRISHO NGASSA

Ni picha ambazo zimekua zikizungumziwa kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mitandao mingine ya habari nchini Tanzania zikimwonyesha mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa akiwa mapenzini na mwimbaji Snura wa bongofleva.

Snura anasema mwanzo wa hizi picha kusambaa ni baada ya kupoteza simu yake, namnukuu akisema ‘Millard hizo picha hazina uhusiano wowote unaounganishwa kimapenzi kati yangu na Ngassa ila ni sehemu ya vipande vya movie yangu inaitwa ‘Majanga’ ambayo nimeanza kuifanya na Ngassa amecheza ndani yake kwenye scene za mapenzi, yani Snura kwenye movie amecheza kama binti mrembo anaerukiarukia Wanaume’

‘Simu yangu ilipotea ndio maana wamezipata hizo picha, wakati tunashoot tulikua tunapigapiga tu hayo mapicha, mi sikuwa nataka kuzitoa kabisa manake movie yenyewe bado naifanya nusunusu kutokana na kukosa muda, hii ishu imeniletea sana matatizo manake mwingine anakua haamini unachokiongea na hakuna kitu kinauma kama kuongea ukweli alafu mtu anasema unadanganya’ – Snura

Kwa kumalizia Snura anasema ‘Ngassa alinipiga muda mfupi tu baada ya picha kuanza kusambaa akauliza mbona hizi picha zinasambaa hivi Snura? nikamwambia usinielewe tofauti babaangu kwa sababu mimi mwenyewe sikutaka zitoke, picha nilizopiga nyinginyingi tu wakati tunatengeneza movie ila naona watu wameona hizi ndio nzuri kwa skendo’

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kasahau jna la muvi ni TEMPTATION bhsna bwahahahaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. TEMPTATION ni ya wema sepetu na diamond wakiwa china ,,na movie inatoka ivi karibu ,na ni mimi kama director wao ,, mutaiona soon .

      Delete
  2. Movie bongo siku hizi mna shoot kwenye simu kweli digital aaaaaah basi tunasubiri hiyo movie sijui itaitwaje? Aaaaaah

    ReplyDelete
  3. Mdamu hapo juu itaitwa temptation. Part 2

    ReplyDelete
  4. Wabongo bwana, wadakuuu, sasa hawa wakitiana kuna tatizo gani jamani c wana nyege kama nyinyi, hii sio habari ni usenge tu

    ReplyDelete
  5. Mmh http://bitly.com/shorten/

    ReplyDelete
  6. Kwani hata akitombana na ngasa nyie kinawawasha nini unataka atombane na baba yako? Achen ujinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau umepotea hapa n UDAKU.COM meeen

      Delete
  7. wabongo bwana, hawana habari za kuandika, watoto yatima wamejaa kibao, madawati hakuna mashuleni, elimu tz inashuka kwa nn msiandike hayo shwain nyinyi mnaleta habari sio ndio

    ReplyDelete
  8. Noma kweli yani mnaduuuuuuuu live afu unasema mnasingiziwa au ndo kutafuta umaarufu acheni hizo swaga,afu mngekuwa bata ningesha wachinjilia mbaliiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  9. Snura mzee kwa ngasa bwana! Hovyooo!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad