UMESOMA ALICHOKIANDIKA FACEBOOK ZITTO KABWE LEO?

Ni post ya facebook kwenye page ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini saa nne asubuhi.
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Kwahyo kama kafilia?fanya yako kama inakukera.

      Delete
    2. Kuandka kwnyew hujui alaf unajifanya una panic....ooooooooi

      Delete
  2. Kwa hiyo kama kafulia?fanya yako kama inakukera

    ReplyDelete
  3. So wat?kama imekukera kajinyonge

    ReplyDelete
  4. Zito upo juu chadema cha kanisa tulitangaziwa kanisan ndo chama chetu

    ReplyDelete
  5. So what Mr Zitto, hio nayo ni habari? mbona kawaida sana. Weka ujasiri wa Mwl Nyerere, Magufuli au Mwakyembe nitakuelewa , Amina was just another bitch ndio mana akafika hapo alipofika huwezi kumcompare hata na Halima Mdee.

    ReplyDelete
  6. Mtaje m2 ,unatuletea habar za miaka 8 nyuma ili iweje,Amina chifupa tumeshamsahau kawa mbolea

    ReplyDelete
  7. Mtaje m2 ,unatuletea habar za miaka 8 nyuma ili iweje,Amina chifupa tumeshamsahau kawa mbolea

    ReplyDelete
  8. Replies
    1. hahahaha umeona ee kuhain chama na amina chipa wapi na wapi mwacha marehemu apumzike kwa amani huko aliko, jibu hoja zako 11 ndio zinakusubiri

      Delete
  9. Jaman tuwena heshima.pumzika kwa a man chifup

    ReplyDelete
  10. MIE NA CCM DAMU ILA KWA USHINDANI WA SIASA NILIKUKUBARI KM MESSI WA BAR,ILA HAO WAKNA LISU NA MNYIKA WAACHE WAWE CHAMBO,KWANI NDG YAO KIMNYA KM ANA MAWAZO ZAIDI YA UNAFIKI NA KICHANGA CHAO,

    "HYO NI LAANA YAO JUU YA KUSUSIA BUNGE"

    ReplyDelete
  11. Pole mheshimiwa kwa misukosuko ya siasa nI imani yangu yatapita tu manake hata bahari hukumbwa na dhoruba ila swali langu vipi ile issue ya Mabilion ya uswiss manake kule Tabora ulituacha na maswali mengi kuliko majibu tupe majina

    ReplyDelete
  12. Nyie munaotukana marehemu sio poa haipendezi kabisa imagine angekuwa ndg yako how would u feel shame on you who ever u r

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona ee marehemu wa nn saa hizi badala ya kumumbea apumzike kwa amani ajibu tuhuma za chadema na ndo watu watamuamini kapewa 14 days tunasubiri

      Delete
  13. Read between the lines. Msisome kwa tafsir sss. Msg ya zito ni kubwa hapo. Akimaanisha si kila mbunge ana uwezo wa kuongoza na kufikiri. Actually ni dongo kwa fellow wabunges hasa wa cdm

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nadhani huko shule ulielewa vizuri,ila mandezi hapo juu yamesoma mistari kama ilivyo bila kutafisiri maana ya hayo maneno

      Delete
  14. ametumia falsafa ambayo wengi hatuna na hatujui kutumia falsafa.wengi wanatumia siasa ya maneno,ubishi na kushindana bila akili.hivyo kwa mtu ambaye amesoma mstari baada ya mstari atakuwa na maswali mengi ya kujiuliza anamaanisha nini Zitto!Watanzania elimu ndiyo mkomboz wetu,Tuwe na utamaduni wa kusoma vitabu pia

    ReplyDelete
  15. mwenye masikio na asikie na mwenye macho haambiwi tazama,asiye jua maana....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad