USHAHIDI WA RISITI YA ZITTO KABWE KUWA BADO ALIKUWA ANACHUKUA POSHO MPAKA 2011 YAANIKWA MTANDAONI




Kwa mjibu wa stakabadhi hii...zitto alikuwa napokea sitting allowance hadi 2011,kinyume nan alivyo mjibu muheshimiwa lema kwamba ameacha kupokea sitting allowance tangu 2009 hata zile za vikao vya madiwani...tujadili.

Chanzo: Jamii Forums
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je hii ni dalili ya mwisho wa Chadema au mnatufanya tusahau uchakachuaji wenu wa katiba ili mdumu madarakani?

    ReplyDelete
  2. Hii ni vita ya Panzi-furaha ya kunguru(CCM)

    ReplyDelete
  3. LEMA NA CHADEMA WANA AGENDA YA SIRI......WENGINE WAKILETA ISSUE ZA CHADEMA WASALITI...LEMA KIMYA....

    ReplyDelete
  4. Manina zako lema c 2nataka mambo aliyofumua mwigamba ya ufisadi ndan ya chama yafanyiwe kaz una2miwa kuyazma haya kwa kuanzisha mjadala wa posho!!! Sasa ndani ya chama 2 ufsad viongoz wanachakachua 2kishnda nch cjui itakuaje...??

    ReplyDelete
  5. Hakuna mwisho wa chadema wewe hapa tulipo, chadema sio zitto, chadema itasonga mbele cku zote. Chadema imeruka vihunzi vilivyokuwa vigumu zaidi ya hilo la Lema na Zitto. Yatapita hayo, vyama vyote vinayo matatizo, zitto hajaanza juzi kutaka kuleta mafarakano ktk chama. Aache tamaa, tunamtaka abadilike la sivyo waanzishe chama chao na shibuda. God bless chadema!

    ReplyDelete
  6. Hakuna mwisho wa chadema wewe hapa tulipo, chadema sio zitto, chadema itasonga mbele cku zote. Chadema imeruka vihunzi vilivyokuwa vigumu zaidi ya hilo la Lema na Zitto. Yatapita hayo, vyama vyote vinayo matatizo, zitto hajaanza juzi kutaka kuleta mafarakano ktk chama. Aache tamaa, tunamtaka abadilike la sivyo waanzishe chama chao na shibuda. God bless chadema!

    ReplyDelete
  7. Wakishnda uchaguz wachaga wote TRA ,BOT MINISTRY OF FINANCE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo neno tena la ukwel na ukizingati mbowe kiongozi wa milele na wajinga wengi hawaoni hilo wanaimba chadema.u know kuwa chadema chama cha kanda ya kaskazini?sie wengine tunaingia kwani hatuipendi ccm,tusubili wapate madaraka tuisome picha

      Delete
    2. Acheni ukabila mmeanza iga wakenya!

      Delete
  8. Wachagga hadi ikulu sio huko tu kwani nchi si ni ya wachagga we vipi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tupeni madaraka wachaga muone maendeleo ya kiuchumi.

      Delete
    2. acheni ukabila wenu, karne hii mnaongea ukabila shame on you?

      Delete
  9. Wapi? hivi tu mnata kuuana kwa cheo cha mwenyekiti je urais itakuwaje?chama chenu chenyewe cha kifalme,kikabila.labda nchi hii haina watu wa kutawala.nyie kaeni fanyen biashara na kuuza maduka na kula machalari ,nyinyi ni wabinafsi hamwezi kupewa nchi.

    ReplyDelete
  10. Chadema co zitto...mctutishe........

    ReplyDelete
  11. Nchi haiwezi kutawaliwa na waoza meno hii

    ReplyDelete
  12. Wewe msenge uliyecomment 7.33 kuma kweli chama akijengwi kwa majungu.na kama kuna sera hamuafikiani watu wanaongea siyo kutumia vijana kumuadhibu mzee wa watu kwa makonde na kumnyanganya laptop yake.Chadema bado sana watu wanadanganywa na kauli za uwongo za viongozi wao.huwezi kumshambulia Zitto sababu hachukui posho nyie wanachadema hamuoni kuna something wrong there chama kimoja mumshambulie hivi.Lema na wenzake wanajaribu kumnyamazisha Zitto sababu kataja baadhi ya mazambi yao na wanamuona ni tishio kwao.watanzania muamke hawa wachaga wana lao jambo

    ReplyDelete
  13. Wewe msenge uliyecomment 7.33 kuma kweli chama akijengwi kwa majungu.na kama kuna sera hamuafikiani watu wanaongea siyo kutumia vijana kumuadhibu mzee wa watu kwa makonde na kumnyanganya laptop yake.Chadema bado sana watu wanadanganywa na kauli za uwongo za viongozi wao.huwezi kumshambulia Zitto sababu hachukui posho nyie wanachadema hamuoni kuna something wrong there chama kimoja mumshambulie hivi.Lema na wenzake wanajaribu kumnyamazisha Zitto sababu kataja baadhi ya mazambi yao na wanamuona ni tishio kwao.watanzania muamke hawa wachaga wana lao jambo

    ReplyDelete
    Replies
    1. yani wanataka kwenye chadema awepo lema, mrema ,mushi, kimaro,kirita nimekichukia sana hiki chama na tunawasiwasi hata tukiwapa urais tutapata tabu sana. wamuache zitto afanye kazi tuliyomtuma na sio kugombania sitting allowance, wanamshambulia ili atete maslahi yao. na hawamuwezi zitto yuko juuu

      Delete
  14. Ni kweli hapo juu hawa wana lao jambo hata CCM wanampigia kampeni Lowassa wakikosa chadema CCM wanachukua mtu wao

    ReplyDelete
  15. Ushauri wangu viongozi wa chadema nawapenda sana ila ,achene malumbano,ambayo hayana maana kwa sasa elewaneni,pia mtoke kidogo muje ulaya,na amerika itasaidia kubadilika mnavyo waza,mko timu moja na hamuelewani.

    ReplyDelete
  16. Lema ni mpumbavu, hoja ni mbunge kutokupewa posho ya vikao kwa vile ndio kazi yake. sasa mtu kulala au kupokea posho kwa kazi nyingine nje ya bunge inahusikaje?
    Zitto alichofanya ni kuonesha kuwa madai ya chadema hayakuwa ni kwa ajili ya chama kupata umaarufu ila aliacha kupokea posho ili kumaanisha alichokisema.
    uwezo wa lema wa kufikiri ni mdogo ila anaweza kulopoka sana.Ila lema huwezi kuwa mwanasiasa kama zitto maana wewe umeingia bungeni kutengeneza PESA. wewe ni mpumbavu kuliko maana utaharibu chama...no hekima.

    ReplyDelete
  17. Hata mkichukia wachaga haitawasaidia, na hata kama wachaga wakiondolewa kwenye uongozi bado watabaki kuwa watu wanaopenda maendeleo na sio kwa maneno ila kwa vitendo, hivyo kuwachukia nikujitafutia vidonda vya tumbo tu. Nina uhakika huwezi kukuta makabila ya mbeya na bukoba yakiwasema vibaya wachaga au kuwachukiwa kwakuwa nao niwapambanaji na wapenda maendeleo kwa vitendo na wanapenda kupaendeleza makwao; sasa nyie mnaochukia ndio wale unakuta umesoma kijijini kwenu kuanzi msingi hadi sekondari the ukaenda chuo na ukapata kazi mfano Dar kinachotokea huna muda tena na kwenu, tena hupapendi na labda umeoa sehemu nyingine basi hata watoto wako hutawapeleka kwenu, HADI UNASTAAFU KAZI UTAKUTA KWENU UMEACHA NYUMBA ILEILE YA BABU YAKO. Mtu yeyote anayependa kwao nakupathamini hata mungu atamuongezea. Acheni chuki za majungu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad