KWANINI UPIGE PICHA ZA UTUPU UKIWA NA MPENZI WAKO..UMEFIKIRIA MADAHARA YAKE?


Nilikuwa naperuz na kudadis mtandaonii, nikatutana na huyu kaka anaitwa Manaiki Sanga..! eti ni msanii na mwanamuziki sijui! nways..
Ametiwa mbaroni kwa kosa la kupiga picha chafu ZAIDI YA 400 na picha zake kuvuja!khaaa!nimejisikia vibaya kuona mmoja wa mdogo wangu kishuleshule wa primary kapozi kajibinua hana habari! na kalikuwa kapoleee..heshima tele kwa dada zake!kanashape na ni kazuri ila kamekomazwa na maisha ya ngono(ukiwa mfanyaji sana ujue esp mdada unachoka!haunawiri! lol) tuache hayo..
KWANINI MTU UJIWEKE CHEAP KIHIVYO? WHY?MKAKA MWENYEWE KIMEO...MVUTO 0!hatakama ni kitandani hiyo sio sababu ya kujidhalilisha!

Hata kama ni
kitandani..come on babes...why msimalizane bila picha jamani! at the end unaolewa na mwingine! Ona sasa at the end anaonekana kidume we unaonekana malaya tuu!
na huyu kaka hivi ndo kusema ibilisi hajakuachia hata akili moja ya utu?
Nadhani hii habari ya muda mtanisamehe,me nmeiona leo.

Kwanini upige picha uchi?tena na Boyfriend sijuw girlfried! why?kama mmeshindwa mapepo yenu yanakazania mpige...ok do it then BUT dont show ur face for crying out loud..just show ur ugly b>>>ts and let people guess!
Mdau Swts Kutoka JF

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umesema kweli hii mitandao ya kijamii imeanzishwa ili kupanua akili zetu kwenye habari za maendeleo sio mnakojoleana ndio muweke picha uchafu mtupu tubadilike acheni tabia zisizoendana na matumizi ya binadamu

    ReplyDelete
  2. wenzetu wa nchi zilizoendelea hizi skendo za picha za uchi zinawakumba watoto wa secondary kifupi matenaja ambao ndio kwanza wanaanza kujifunza masuala ya uroda wakishavuka huo umri wanaacha sasa bongo utakuta watu wazima wamepiga picha za utupu

    ReplyDelete
  3. makahaba tu hayo,msichana anayefahamu thamani ya kipipi chake hawezi kupiga picha kama hizo hata ck 1

    ReplyDelete
  4. Achen ulimbuken, mbona cijaona picha mbaya hapo au mnablame picha tofauti na hii ya kwenye post, huenda la civyo cijui,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  5. Achen ulimbuken, mbona cijaona picha mbaya hapo au mnablame picha tofauti na hii ya kwenye post, huenda la civyo cijui,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  6. Achen ulimbuken, mbona cijaona picha mbaya hapo au mnablame picha tofauti na hii ya kwenye post, huenda la civyo cijui,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  7. kwnza hyo mmbo inabd mkome kbsa mana inakua dharau inamaanisha wngne hawawez we ndyo zaid au cyo bwg nn...??

    ReplyDelete
  8. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia anwani yake ya barua pepe: drizayaomosolution@gmail.com au kumwita moja kwa moja kwenye [+12098373537]. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad