MAKOCHA WA SIMBA ABDALLAH KIBADENI NA MSAIDIZI WAKE JAMHURI KIHWELU WATIMULIWA

Kocha mkuu wa Simba Abdala Kibadeni pamoja na Msaidizi wake Julio Wametimuliwa kazi katika timu ya Simba kwa Kile kinachosemekana ni utendaji wa kazi Mbovu...Simba inatarajia kumleta kocha mpya Mzungu Anaitwa Bobby Williamson...Ambaye alikuwa kocha wa Gori Mahia ya kenya...
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnatuletea hbr za uongo na kamameishiwa kaeni kimya kocha katoka korea nyie mnasema kenya msiwe mnalueupuka na story za vjiweni ambazo hazina uhakika.

    ReplyDelete
  2. Mzee kibaden sasa iwe nwisho kaa uachane na hawa wezi ili kulinda heshima yako tunajua unaunwa na simba.

    ReplyDelete
  3. Siku walipopata ule ushindi wa kipindi cha pili mliwaona wazuri na kuwasifia sana, kulikoni leo ikiwa waliendeleza ile rekodi ya ushindi kwa mechi zote zilifuata?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad