WANAWAKE WA SIKU HIZI WANA TABIA SAWA SAWA NA WANAUME KASORO HAWAWEZI BADILI JINSIA

Wanawake wa siku hizi wana tabia sawasawa na wanaume kasoro tu hawawezi kubadili jinsia ili wote tukojoe tumesimama...
Ukicheat na yeye anatafuta wa kwake anakomoa...Usipompa hela anatafuta danga linampa hela utashangaa tu wewe unafanya kazi una Nokia Asha,yeye anasoma Diploma ya Record Management pale Magogoni na babake ni Mchuuzi wa Samaki Feri lakini ana Samsung Galaxy Note3 mpya na kumuuliza huwezi...Ukidhani unamtumia kama Kipoozeo chake kumbe mwenzio na yeye anakutumia wewe kama Feni yake Joto likiwa kali..Ngoma Droo...We unalewa Bia ye anajidunga Shots za Tequila...Na mademu wa namna hii huwezi kusikia eti Baby nna mimba yako,hawapatagi mimba hawa hata ule rosti miaka 8,ukimwaga ugali wanamwaga mboga...wanaopata mimba hawa ujue wamekuja mjini na mbio za Mwenge...
Kuwa makini sana,Mapenzi ya siku hizi ni Timing za kumchinja Kobe,ukidhani umewahi kumbe umewahiwa,True Love ni ngumu sana kupata kama kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber inapigwa chati za Billboard...
Kwa Hisani ya Mwanaume aliyeko dimbwini na Binti wa Kichaga
By Seth De Jesus

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ha ha ha, kweli kbsaa yaaani, sana sans hiyo ya ukimwaga ugali ye anamwaga mboaga

    ReplyDelete
  2. mmetufundisha wenyewe kua hvi wacha tuwakomeshe sasa!

    ReplyDelete
  3. Nowadayz love is about what we share..! Wanaume mumetufunza nyie., ukitulia mwanaume anakudanganya anakuwa na mabinti kibao.. Bora sote tuwe kwenye jezi tupelekane mbio na mapenzi ya pochi..!

    ReplyDelete
  4. sio tumewafundisha,na ninyi mnatufundisha,na ninyi ndo mmezidi ck hiz mnachit kuliko hata wanaume

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. Mwanamke Tulizana, kumbuka wewe huoi unaolewa. leta kiburi ndoa utaisikia kwa watulivu. Kama wanawake nao wanaoa sikuhiz basi sawa, ila kama unataka ndoa takatifu ya kudumu, tulizana. wanawake wengi (sio wote) wanakuwa nyumba ya mapepo, sababu ya matendo yao machafu ndio maana wanaanguka kwa mapepo kwenye maombi

    ReplyDelete
  7. Sawa mdau nimekuelewa kuanzia leo nimekoma kula hela za wanaume naogopa kuniufuosaro

    ReplyDelete
  8. Hahahahaha eti kuolewa ishuu mmechemka eti tulizana mtu anapretend katulia afike kwenye ndoa kazi moja we ujaona wangapi wanafumaniwa na wake za watu wanawake now days wanacheat big tyme kuliko wanaume ukitaka wakoo peke yako ladba uchukue mgomba umuumbe mwenyewe

    ReplyDelete
  9. haha..kuna mmoja hapo anasema kuwa tumewafundisha sasa wanatukomesha..unadhan kufanya umalaya unamkomoa nani,kwa akili hizi hatuwez kuwa na haki sawa aisee mungu alijua hili ndo maana biblia ilishasema

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad