Stori: Jelard Lucas na Chande Abdallah WATU 6 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio la kumshambulia Dkt. Sengondo Mvungi aliyevamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba Msakuzi juzi. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Selemani Kova amesema katika operesheni maalum iliyofanywa na jeshi la polisi, wamefanikiwa kuwakamata watu sita ambao majina yako yamehifadhiwa kwa sababu za usalama. Aidha Kamanda Kova aliongeeza kuwa bado hawajapata uthibitisho kamili juu ya sakata hilo na uchunguzi unaendelea kuwabaini wahusika halisi wa shambulio hilo
WATU 6 MBARONI KWA KUMCHARANGA MAPANGA DKT MVUNGI
7
November 05, 2013
Stori: Jelard Lucas na Chande Abdallah WATU 6 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio la kumshambulia Dkt. Sengondo Mvungi aliyevamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba Msakuzi juzi. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Selemani Kova amesema katika operesheni maalum iliyofanywa na jeshi la polisi, wamefanikiwa kuwakamata watu sita ambao majina yako yamehifadhiwa kwa sababu za usalama. Aidha Kamanda Kova aliongeeza kuwa bado hawajapata uthibitisho kamili juu ya sakata hilo na uchunguzi unaendelea kuwabaini wahusika halisi wa shambulio hilo
Tags
Ninakuwa na mashaka sana na taarifa za Polisi hasa inapotokea Mtu maaruru au mwanasiasa anapopatwa na majanga kama yakuvamiwa au kujeruhiwa; Si ajabu wakakamatwa wahalifu wasiohusika na isue hiyo halafu taarifa inatolewa kwa waandishi wa habari kuwaridhisha wana nchi, ila kwakuwa wa bongo wengi sio watu wakufuatilia mambo utakuta itasahaulika na haitajulikana waliokamatwa waliishia wapi.
ReplyDeleteToka nimesoma hii habari nimekuwa na mawazo kama haya ulioka maana watakamatwa watu wasio na hatia ili mradi.tu. sisi waraia wakawaida kila situ tunakatwa mapanga na kesi itakaa hata miaka mia bila mtu kukamatwa
DeleteDaa kumbe nirifikiri mimi tuu ndio nawafikiria hawa polisi but ata kila mtu anawajua awa Walarushwa...mkubwa hapo umeongea na nakusuport asilimia mia koz ndo ukweli wenyewe...Hawa polisi awajijui tuu wangekuwa wanajijua jinsi gani wananchi walivopoteza imani kwao wasimgefanya hsya yote wanayofanya na chanzo kikubwa cha uharifu ni wao asilimia 80 ...kwa kuwashauri inabidi sasa wafanye kazi ya ziada kurudisha imani na uaminifu kwa jeshi zima la polisi kwa wananchi sababu naamini watanzania wengi awaridhiki na utendaji wao wa kazi mi nikiwa mmoja wapo...Is jst shame on u jeshi la polisi ikiwa kila kukicha uharifu uko wazi na ukichunguza kwa makini wao pia wanauhusika...Viongozi ndio waarifu wakubwa lakini awafanywi lolote sababu ya madaraka yao na kila siku wanakwendavjela watu kwa kesi za kusingiziwa..That is not fair at all..and i hate all of you kuanzia Viongozi wenu mpaka nyie Foolish polisi,mlichaguliwa na wananchi kwajiri ya kuwasaidia na kujenga taifa bora lenye kila mtanzania to be proud about his country but what i see ni uonevu tuu...Day will come.

DeleteKuna mdau mmoja wa ofisi nyeti sana aliwahi kusema kuwa ni vema ikaanzishwa idara au kitengo kitakachokuwa kinatunza/kusimamia vielelezo vyote vya ushahidi hasa silaha zinazokamatwa kwenye matukio ya uhalifu; na kitengo hicho kiwe nje ya mfumo wa Jeshi la Polisi kwani kuna uwezekano mkubwa waandishi wa habari wakawa wanapigwa changa la macho kwenye Press Conference kwakuonyeshwa vitu vilevile hasa ikizingatiwa kuwa silaha nyingi zinazoonyeshwa hazina registration numbers. sometime watu wanauwawa na Polisi halafu inaripotiwa kuwa walikuwa ni majambazi na silaha wanaonyeshwa waandishi wa habari. NI VEMA UKATENGENEZWA MFUMO UTAKAOONDOA MASHAKA.
ReplyDeleteWaliokamatwa ni wavuta bangi na wauza gongo....tukio limefanywa na majambazi wenye siraha.ninashaka saana hapa.kamata kamata hii haileti tija.kidogo tuuu unaita waandishi wa habari....upelelezi gani huuuu!kimsingi waliokamatwa ukifuatilia kwa makini taarifa za kamanda utaona kuwa hawahusiki hao hata kidogo.tukumbuke la dr ulimboka na yule mkenya aliyehusishwa.leo mahakama ikamwachia huru.bt kamanda kwa makeke alisema ndie mhusika.huyo dr mvungi ni mtu mzito nchi hii.upelelezi wake unahitaji umakini mkubwa.huenda kunamambo mengi nyuma yake.jeshi la polisi lisifanye mambonkwa kutaka sifa tuu....watu wanataka ukweli...sio ubabaishaji...ni hayo tuuuu
ReplyDeletePOLISI TULISHAWAZOEA.LIKITOKE WANALOLIONA HAPO WATA KAMATA.LAKINI JAMBO LIKITOKEA NA BAADAYE WAKAITWA HAPO INAKUWA NI BIHASHARA KWAO.MAANA WATAMKAMATA ALIYEKUWEMO NA ASIYE KUWEMO WAKIDAI UPELELEZI WA AWALI UNAFANYIKA ILI KESI IWEZE KWENDA MAH.HIVYO SASA KUTOKA POLISI KAMA UMEKAMATWA.?UTAUZA ADI ....
ReplyDelete