WEMA NA DIAMOND WAMFANYA HUDDAH MONROE KUWA GUMZO MTANDAONI BONGO

Hivi majuzi mwanadada Huddah Monroe wa Kenya alitoa kauli kwenye mtandao kwa mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond platnumz juu ya Wema Sepetu kwa kumwambia kuwa “asihangaike na wadada wengine kwani wema ndio kipenzi chake na hao wengine wote ni wapiti njia” kauli ambayo kwa muda mfupi tuu imemfanya mwanadada huyo awe gumzo la mitandao hapa nchini na “kuchafua hali ya hewa” huko kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii kwa watu wanopenda na wasipoenda penzi la wawili hawa

Uchunguzi uliofanya na bongomovies umebaini kuwa mashabiki wengi wa muziki na filamu hapa nchini wanapenda sana mahusiano baina ya wawil hawa (Wema na Diamond) kiasi cha kusababisha kuanzishwa kwa makundi mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii yakichochea wawili hawa kuoana na ikiwezekana kuzaa watoto haraka iwezekanavyo.

Katika pitapita zetu kwenye mtandao tuliweza kupata kauli hizi za watu mbalimbali wakimsifia Huddah kwa kauli yake hiyo huku wengine wakimuona kama ni shujaa….

“Umenifurahisha sana leo yaan had nime comment!!@huddahmonroe”

 mmoja wapo aliandika…

“Kuanzia leo nakupenda bureee....na nakufollow@huddahmonroe”

mwingine aliongezea…

“Nakupenda bureee Huddah we ni shujaa”… mwingine naye aliongezea huku wakidiriki kusema kuwa wawili hawa wakioana basi itakuwa kama siku ya mapumziko ya kitaifa kwao.

 Bongo Kazi kweli kweli!

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na wasiwasi na huddah mbona anakuja juu Kama moto wa kifuu?

    ReplyDelete
  2. Kweli itakua holiday when Wema n Diamond wakioana,ata mim ctaenda kazin

    ReplyDelete
  3. Mi sijuii ila namini watapendeza ila swala la mapumziko kwa nchi kamwe haliwezekani

    ReplyDelete
  4. Huu ni upuuzi....ni wema,wema,wema,diamond,diamond,diamond,diamond, hakuna kngjne...? Fuck u admn....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haya tupe detail zako tukuandike wew bac.....kma unaboreka kwan lazima ucoment kitu chchte? Chefuuuuuuuu!

      Delete
    2. mwambie huyoo kama unataka na ww toa details zko uwe unatajwa... kama imekutouch kajinyonge na big g chezea wema na diamond ww utanasa

      Delete
    3. wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

      Delete
  5. Mi sijuii ila namini watapendeza ila swala la mapumziko kwa nchi kamwe haliwezekani

    ReplyDelete
  6. Jamani mbona hamumfikirii penny?!

    ReplyDelete
  7. haha jaman kipenseli kiko wap?kupenda kunaumiza jaman hasa kulipenda jitu ambalo halithamini upendo wako.Na ndo mana mimi mtu akinitesa kwenye mapenzi kamwe hapati msamaha wangu.Shouger penny takuja kwako unipe tution ya kukeep calm ingawa dhoruba ni kali.

    ReplyDelete
  8. Madam wema na platinum pendezana sana nyie.huddah uko juu big up sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUDDAH hata mm nimempa 10 sio tano wema na diomond ndo habari ya mujini penny ajinyonge tu

      Delete
  9. Huddah anatafuta kiki wajamen na watanzania tusivyioendana tunamchamba chaggaebabie kisa prezzo wakati ni kweli prezzoo hamtaki huddah hata kumuona yan huddah anaboa kulazimisha penz bora wema na dai wanapendana

    ReplyDelete
  10. Yan hata mimi ntahakikisha hiyo harusi siikosi kwa gharama yoyote ile

    ReplyDelete
  11. Basi tu um team wema lakini wea started kumuibia penny his man kwa mnaojua au kwa tulip karibu na wema the guy penny was dating before diamond wema alimchukua kwa penny hadi magazetini walitoa basi tu watu hamjui....so mi sidhani ka penny mbaya. now back to wema diamond amemtreat vibaya sana wema..a man who loves will never do wat diamond did...wema deserve better....huwezi mpangia mtu Mpenzi hata siku moja watanzania watu wa ajabu sanaa uko IG ndo ujinga tu umejaaa watu wanamake money wengine wamekazana kutukana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau nimekupendaje anaitwa haidary Yule kaka....

      Delete
    2. Ndo ivyo wema anamashabiki uswahilini hawaskiii hawaaambiliki...um team no one ila siwezi mchagulia diamond Mpenzi he's a man he knws wat he wants

      Delete
    3. Madau we kidogo msomi umeongea point Watu hawaoani kwa kupendezana t takes more than that

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad