Ilani: Ukitaka kuangalia kipindi cha reality TV cha Wema Sepetu, ‘In My Shoes’ na shule hukwenda, nakushauri ukae na kamusi ya Kiingereza – Kiswahili ili uweze kwenda naye sawa. Hii ni kwasababu, asilimia 50 ya lugha anayoitumia mrembo huyu ni Kiingereza ambayo kwa Watanzania wengi imewapita kushoto.
Nimesikia watu wengi mno wakilalamika kuwa matumizi ya Kiingereza kingi kwenye show yake yamewafanya wasikipende kipindi hicho na kunifanya nihoji, nani walengwa hasa wa kipindi chake? Kwa niaba yao ningependa kulifikisha ombi lao kwa Wema kuwa atumie zaidi Kiswahili katika kuongea ili wengi wamwelewe. Pamoja na kwamba Wema ndivyo alivyo na hata wakati akihojiwa kwenye TV/RADIO ndivyo huongea, ajizuie katika kipindi chake ili kila mtu amfuatilie.
Katika elimu yangu ya uandishi wa habari na utangazaji wa radio/TV nilifundishwa kuwa, wakati wa kuandaa kipindi chochote kile, ni lazima ubainishe, walengwa wa kipindi chako (target audience). Kwa kuangalia umaarufu wa Wema Sepetu, hakuna shaka kuwa walengwa wake wakubwa, ni watu wa kawaida kabisa ambao ndio wanunuaji wakubwa wa magazeti ya udaku yaliyolikuza jina lake nchini na wamekuwa wakimpenda sana.
Kwa namna anavyokiendesha kipindi chake kwa kusimulia matukio yanayooneshwa kwenye kipindi, walengwa ni wale wanaokielewa Kiingereza. Swali ni je, wasomi, raia wa kigeni au watoto wa Masaki, Osterbay na maeneo mengine ya watu wa hali ya juu wanaosoma ama waliosoma kwenye shule za kishua wanakiangalia kipindi hicho? Sio kweli na kama wapo basi ni wachache.
Watu kama hao kwanza hawatumii ving’amuzi vinavyotumika na watu wa hali ya kawaida ambako TV za kibongo zipo. Watu wa maeneo hayo, huangalia DSTV zaidi ambako huko hupenda kuangalia vipindi vya kinyamwezi kama, Keeping Up With the Kardashians, Ice Loves Coco, The Hustle Family ya T.I na Tiny ama The Real Husbands of Hollywood na zingine kibao. TV za kibongo huangaliwa kwa nadra na tena labda wakati wa taarifa ya habari saa 2 usiku, na baada hapo huendelea kuangalia TV za nje.
Kipindi cha Wema Sepetu ambacho huoneshwa na runinga ya EATV, kinaangaliwa zaidi na watu wa kawaida ambao kwa bahati mbaya amekuwa akiwatenga kwa kupenda mno kuongea Kiingereza. Tanzania bado hatujafika huko na hilo Wema anapaswa aliweke kichwani mwake. Asiletee maisha ya Hollywood kwenye kipindi kinachoangaliwa na Mtanzania wa kawaida.
Kama angekuwa hajui kabisa Kiswahili, basi hilo lingeeleweka. Abadilike..
Imeandikwa na Bongo5.com
Watanzania hao hao wanaongoza kufwatilia tamthilia za kizungu,,,hapo hapo ndo pazuri paku mix.,wajifunze ngeliii
ReplyDeleteKula tano hahahaha
Deletekujishaua tu kwababu wabongo akisomA kidogo.basi shida kwani.wema ana elimu gani ya juu yakuringia je hiyo kipindi yake anawalenga nani? anawalenga watanzania wakawaida kabisa aongee kiswahili wamuelewe kwasababu yeye ni mtanzania tena wakawaida. aache ushenzi wake wakujifanya anaendesha show kwa kingereza kama anapesa aende akarushe dstv ambako kitaonwa na watu wengi hata akikiweka kwenye lugha ya kingereza itakuwa sawa tu
ReplyDeleteKwa watu wenye elimu yao hawawezi kuangalia hicho kipindi so inabidi aongee lugha itakayoeleka na wafuatiliaji upuzi wake. Yaani alieandika hii article nimemenda sana
DeleteKwa watu wenye elimu yao hawawezi kuangalia hicho kipindi so inabidi aongee lugha itakayoeleka na wafuatiliaji upuzi wake. Yaani alieandika hii article nimemenda sana
Deleteasante kwa kunipenda
Deletehicho kipindi wanaongalia wanakazi maana mtu amekalia kuongelea maisha yake nani ana muda wa kuangalia maisha ya wema mixuu kama mtu anafanamisha kipindi kile na magazeti ya udaku ha ha ha waangaliaji ni walewale kizungu weka pembeni lasivyo utakosa watazamaji mkundu wake
ReplyDeleteMuvi za kinijeria mbona zinamunuliwa na hao chokest?na ni full kingereza.
ReplyDeleteKithunkuuuuuuu wewe ulitoka wapi!?
ReplyDeleteunanikosesha raha xn duuuuh noumer kweli..
wa2 wanafananisha movie na kipindi tv au ,tamththilia na kipindi cha tv wakati ni v2 viWili tofaut. Chanel inatazamwa na watanzania na rugha ye2 ya taifa kiswahili kingereza cha nini kama ndio hivyo akaombe kaz cnn. Wanangu wanampenda sana wema na kipindi kilipotangazwa walifurahi sana sasa hawana ham tena na kipindi kwa hicho kingereza cha wema.
ReplyDeletehahahahahahahahahaha..mdau umeua..eti hawana hamu tena na kipindi kwa kiingerza cha Wema, kwa maneo rahisi AMEWAKATA STIMU KUFA...hahahahahaha.. madam Wema TAKE NOTE. utapoteza audience
DeleteWatanzania kwa kujifanya wajuaji ni wa kwanza,kwan we wema ulizaliwa unajua kingereza,na kama msanii utelimishaje kwa lugha wasoijua wengi,naona wema umekosa ujuzi na mbinu za mawasiliano,make ni lazima utumie lugha nyepesi lii wasikilizaji wakuelewe,Naona ukapate ushauri unakoelekea utajikosesha soko.
ReplyDeleteNdo yanayonikera bungeni,kwa wabunge wanaochanganya lugha,mara kiswahili mara kingereza,
ReplyDeleteMnajua maana ya EAST AFRICA TV nyie mburulas???wakenya na waganda pia wanaangalia.ulikimbia umande sepa wakati wa kipindi cha Wema kaangalie ngoma zetu TBC. Tupishe hapa msiotaka kujifunza nyie
ReplyDeletehao wote uganda kenya wanaongea kiswahili vizuri sema hawataki. alafu wale sio.rahisi waangalie wema siai hapa nyumbani ndo tunamwangalia sana kule wanangalia vingamizi.vua kilipia mimi hapa mara nyingi niko na dstv narudi huku kuangalia raarifa ya habari.
DeleteAnonymous juu yangu umrnena, wakenya na waganda hawanatime na wema wala hawamjui wengine, abaki ujdanganya kingereza chenyewe hovyo basi tu its like its like kibao sasa ndo kingereza hicho
DeleteWenzenu tunavunja miguu kipindi cha wema hata tupate new vocabulary tukiwa mlimani city. Nyie mmekalia ugoko tu. Keep it up Wema tupe maneno mamito tujifunzage mwayego vyakuandika Fb sie. Msio taka kaangalieni sibuka hjko. Mxiuuuuuu
ReplyDeletemimi nimmoja wao sitizami kipindi cha kipumbavu natazama dairy ya jd commando
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteHayo sio mashauzi,hayo ni mashuzi,dada ana jishauwa huyo utadhani atokufa,msenge wa kike
ReplyDeleteAngaliaga na muktadha wa kutumia hiyo lugha ungekuwa hapa mkwawa na ungefanya mhadhara na wanachuo 2ngese u sahihi lakn kumbuka mashabiki wako wengi ni wa2 wa kawaida.
ReplyDeletenimeangalia diary ya lady jayde mpaka raha yuko kijijini songea anaongea kiswahili watu wanamkubali anaongea lugha ya taifa. sio huyo wema.anaongea kithungu amebana pua pyuuu kichefuchefu labada anawalenga waheshimiwa wamuone babukubwa anataka kujifanya yeye msomi.lol
ReplyDeleteHivi anaongea kiingereza kweli au anachanganya neno moja moja katika kiswahili. Nitapenda mimi nije nikutane naye tuongee kiingereza kweli kweli siyo ajishaue shaue kwa kuchanganya changanya maneno halafu akajifanya anajua kiingereza. Hamna kitu inapokuja lugha yenyewe bali anadakiadakia hapa na pale neno moja moja, tena yale maneno ya kawaida tu.
ReplyDeleteIn deed, i doubt her ability t speak proper English
Deletetunataka aongee kiswahili kama hawezi apeleke show yake dstv!!!
ReplyDeleteWa Africa kwa kuponda vya kwao du! Isidingo, L'Amour De Mivida, Days of our lives mnaviangali tena kwa makini sana na mnavielewa! Embu Muacheni Wema jamani kwani lazima mkiangalie aaghrr
ReplyDeletewewe, sasa watu wasipokiangalia itakuwaje? si amekileta kwa ajili ya watu. usijifanye unatetea pumba we nani sijui! kile ni kwa ajili ya watanzania na kama anataka kiwe beyond borders basi angepeleka multichoice, si tunaona channels amabzo wanataka ku attract audience beyond borders wanaweka subtitles...ndoman dstv channelS ZINAONYESHA native language kama YORUBA, pia kuna ile channel e.NCA 250, ni ya ki south soap zao nyingi kama ni wanatumia native language basi kuna subtitle, si ana hela kwa nini asifanye hivyo..washabiki wake wenye wengi wamejaa star times na digitek, hicho kimombo bila msaada wa tafsiri ni kuwatesa wenzake. NAPITA TU.
Deletewee! Tofautisha move na tv show tunampenda lazima tumshauri yaliyo mema.
ReplyDeletewe boya hapo juu unajifanya kuwani east africa telv inaangaliwa na weng lakin kaa ukijua kuwa kiswahili ni lugha ya tatu dunian sasa anapojifanya hataki kuongea ni msn hatakae kisogeza kiswahili mbele zain ndoman hua namuona kuwa ni fala tu huyo shakira na hustaa wake anaongea kikolombia wew fal tu unajifalagua
ReplyDeleteYa kwanza ni kikabila chako au?
Deleteeti Kiswahili lugha ya tatu duniani....lugha ambayo hata haiongelewi zaidi ya nchi 3. Kiswahili ni official Kenya na tz tu
DeleteWrote mnaomponda mikundu ya bibi zenu kijijini inaapuliza moto hahahhahahahahahahahahahahahahaga wa Moja wa Moja tuuuu kuma nyie mtaishia kumponda ye hela inaingia Hanna lolote eti mpaka wanaume mmekalia umbeya wakosa kazi nyie wanafki wakubwa nyie ten a Nina was was wote mnaoponda hapa hat a hamuangaliagi bhasi mmekosa tu LA kuongea
ReplyDeleteWew apo juu acha kupotosha watu eti Kiswahili ni cha3,nani kasema kwataarifa yko sio ya3 mavi wew..Wema endelea mama wackutishe mamburura ao.Unafiki umewajaa hawana lolote,kwnza sio lazima uangalie.! Huelewi tafuta kazi ya kufanya.Mc2nyieme raha cc
ReplyDeletewema kuma yake ndo inamuweka hapa mjini nimeamini msingi wa mwanamke kiuno chake
ReplyDeleteHatujataka kujua hyo yte...shikishwa ukuta na ww bas kma ni mali
DeleteEATV NI YA AFRICA MASHARIKI SIO YA WA BONGO TU sisi WARUNDI TUNAKIPENDA SANA NA KUHUSU KINGEREZA ANGALIYENI FUKUTO - USWAZI.MBONA MARA AND CLARA mwaangalia nani full kingereza. WEMA NI SUPER STAR TUNATAMANI ANGEKUWA MRUNDI
ReplyDeleteWAKENYA TWAMPENDA SANA WEMA SEPETU kwasababu aongeya kama wa KENYA AND SHE IS VERY SMART_CUTE _BEAUTY ONYINYE. MUULIZE DIAMOND IKIJA KENYA LAZIMA TUUMUULIZE WEMA YUKO WAPI? NA AKIIMBA NIMPENDE NANI? WOTE TWAITIKIA" WEMA -WEMA- WEMA
ReplyDeleteWe bwana usijaze ukurasa bwana si umesema mara moja tumekusikia sa mbona unarudia rudia? msitudanganye bana, tena nyi wakenya ndo wabay mnajifanyaga kiswahili hamjui vizuri, toka hapa na ULONGO AKO.
DeleteWAKENYA TWAMPENDA SANA WEMA SEPETU kwasababu aongeya kama wa KENYA AND SHE IS VERY SMART_CUTE _BEAUTY ONYINYE. MUULIZE DIAMOND IKIJA KENYA LAZIMA TUUMUULIZE WEMA YUKO WAPI? NA AKIIMBA NIMPENDE NANI? WOTE TWAITIKIA" WEMA -WEMA- WEMA
ReplyDeleteNyinyi mnae sapot wema kuonge rugha ya kige ni wapuuz mwenye hakiri. Hawezi kufikr hayo mmen'yan'yani habri zatamthiria wap rile taifaringine bwana co tz mm kama mm nachukia sana maneno yake ya ugen.
ReplyDeleteNyinyi mnae sapot wema kuonge rugha ya kige ni wapuuz mwenye hakiri. Hawezi kufikr hayo mmen'yan'yani habri zatamthiria wap rile taifaringine bwana co tz mm kama mm nachukia sana maneno yake ya ugen.
ReplyDeletekweli angalieni ze comedi au fukutu
ReplyDelete