WEMA,ROSE NDAUKA WAINGIA VITANI

Na Shakoor Jongo
MASTAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka na Wema Sepetu wanadaiwa kuingia vitani, mpambe mmoja wa Wema akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram alimtuhumu Rose kwamba aliwahi kushiriki kikao kimoja kilichokuwa kikimjadili ‘madam’ huyo sanjari na kumtukana.

Mpambe huyo aliyetumia picha ya Wema (huenda akawa Wema mwenyewe), alisema kuwa siku moja isiyokuwa na jina hivi karibuni, Rose alishiriki kikao hicho kilichofanyika kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo sehemu kubwa ya mazungumzo ilikuwa ikimchambua Wema.

Akizungumza na Amani kwa njia ya simu juzi kuhusiana na tuhuma hizo, Rose alisema anashangaa matusi anayotukanwa na mtu huyo kwani ana mwaka mmoja hajawahi kukanyaga katikia viwanja hivyo vilivyopo Kinondoni, Dar.

“Kiukweli huyo mtu amenitukana bure, hajakaa na kufanyia uchunguzi hizo taarifa alizopewa, mimi sikumbuki kama kuna siku niliwahi kukaa Leaders na kuanza kumsema vibaya Wema kwani nina mwaka sijawahi kufika Leaders.

“Binafsi sina muda huo wa kumzungumzia mtu au kukaa na mtu ambaye hana faida kwangu. Mimi rafiki yangu ni mchumba wangu (Malick Bandawe), mama yangu na ndugu zangu zaidi ya hapo tunakutana shutingi tukimaliza narudi kwangu, namsihi huyo mpambe wa Wema afanye tena uchunguzi,” alisema Rose.

Juzi, Amani lilimsaka Wema kwa njia ya simu ya mkononi ili azungumzie madai hao lakini hakupatikana. Hata hivyo, habari zinasema kuwa mtu aliyemtukana Rose kwenye mtandao alitumwa na Wema au Wema mwenyewe.

Tangu Diamond kurudiana na Wema na kusambaza picha zao katika mitandao ya kijamii, hivi karibuni Wema kufiwa na baba yake mzazi (Isaac Sepetu) na baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi kususia msiba huo, kumeibuka makundi ya watu kazi yao kubwa ni kutukana watu ambao wako tofauti na Wema.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tumechoka na kila siku wema wema who is wema by the way, akwendrrreeeeeee kule malaya huyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huoni hata aibu kumtukana Wema eti malaya huyo wewe mwenyewe mtoto wa haramu. Mkome tena umkome Wema huna hata haya

      Delete
  2. Malaya mamako ndo akazaa mwanaharamu kama wewe. Kama wewe si malaya ilijuaje Wema malaya, si mnakwanga viwanja vimoja. Na nyie wenye hii blog wacheni uchonganyishi

    ReplyDelete
  3. Mamako ndo malaya kuma wewe msenge maji, mbwa koko wewe mavi

    ReplyDelete
    Replies
    1. itakuwa nyinyi mnaomtukana hapa huyu aliyemsema madam wenu ndo mmemtukana Rose, walamba viatu nyie mna tabu! anawalipaga shilingi ngapi?

      Delete
  4. Anatulipa mataka ya mamako tulambe na pumbu za bababo tunyonye. nyau wee

    ReplyDelete
    Replies
    1. mkome babangu na mamangu shetani mwenye mguu mmoja wewe, na kwa vile umeanza basi ntamaliza, kama mamako hana matako basi atakuwa mlemavu, na kama umezoea kulamba pumbu za watu wazima kama za babako basi lazima mdomo wako utakuwa umeshapata matege KWA KUNYONYA HIZO PUMBU... SHENZY TYPE! in prof J's voice. ukute unamaisha duni nyoko we, umekalia kujipendekeza bure ukitegemea labda atakusikia akupe japo kamshiko nyoooooooooooooo........hakuan cha bure NGEDERE WE!

      Delete
  5. Anatulipaga huo mkundu wako wenye mavi na hizo makende yako yenye ukungu, katawaze kuleeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha, mdau umetisha itakua wewe unanuka sana mavi mabichi ukisogelewa mana hutawazi ukinya hivyo usidhani wote...na makende yenye ukungu ya nani ya bwanako nini..tuwekee picha tuyaone....kha watu humu mnachekesha ......full kuongeza maisha...

      Delete
  6. Mweee.! Mbona mabombaaa..??? Sio freshi.!

    ReplyDelete
  7. La aibu amna tena ivi amuoni ataibu namatusi kibao kwenye mtandao.

    ReplyDelete
  8. Kisa wema jamani mnampenda kweli siku haipit bila kutukansna kwa kumtaja mjue mnamuongezea maisha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad