WILLIAM MALECELA AJITOKEZA NA KUMUOMBA MUHESHIMIWA KAPUYA MSAMAHA KWA KUAMINI ALIBAKA NA KUMUAMBUKIZA UKIMWI MSICHANA

- Mimi nikiwa Mwana CCM na Kiongozi pia wa CCM ngazi ya Taifa na Blogger, naomba kusimama mbele ya Mheshimiwa Mbunge Kapuya na Taifa zima la Tanzania pamoja na wasomaji wangu wote wa Blog na meble ya Mungu, kukubali makosa na kuomba radhi, kwake na kwa Mungu wangu zaidi. Mimi ni mmoja wa watu wa kwanza kuamini hadithi iliyojitokeza hivi karibuni kwamba Mheshimiwa Kapuya amembaka na kumuambukiza Ukimwi na kutishia kumuua msichana wa miaka 14. 

- Leo ninaomba kusimama hapa na kusema kwamba hii habari ni uongo na ni uzushi wa hali ya juu sana uliotengeenzwa na msichana mzoefu wa uzushi ambaye kwanza si kweli kwamba ni Mwanafunzi, pili ni Mtumzima mwenye mtoto tayari hata kabla hajakutana na Mh. Kapuya, pia ni muongo na mzushi mzoefu aliyewahi kuwadanganya pamoja na Mkurugenzi wa CRDB Bank, pamoja na kuidanganya TAMWA ambayo iliishia kumuripoti polisi na kuishia kwake kukaa rumande Segerea kwa muda mrefu sana. 

- Kwa nini niliaiamini hii hadithi ni kwamba kuna siku mimi binafsi tulikuwa tumekaa faragha na Viongozi wengine Watatu wakubwa wa Taifa ambapo mbunge mmoja aliyedai kuijua kwa undani hii hadithi na kuhusiaka nayo, alianza kutuelezea hii hadithi kwa kutmia details kubwa kubwa sana, binafsi nilikuwa ninamuamini sana yule mbunge mpaka leo nilipothibitisha kwa 100% kwamba hii hadithi haiko sawa either na yeye ni muongo wa makusudi mwenye nia mbaya na Mh. Kapuya au na yeye alidanganywa na huyu msichana, ambaye jina lake kamili ni Hamida as opposed na majina mengi ya uongo ambayo amekuwa akiyatumia kudanganyia watu.

- Ninaomba kuwa wa kwanza kubeba huu msalaba, najua kwamba sio rahisi kueleweka na wengi ambao tulishamuhukumu Mh. Kapuya, lakini ukweli ni kwamba ni hadithi ya kutunga iliyoutngwa na msichana mmoja aliyebobea katika uzushi na uongo wa hali ya juu sana. Majuzi Waziri mmoja ninayemuamini sana katika Serikali ya sasa alinishitua kwamba hii hadithi ni ya uongo niiifuatilie tena, lakini sikuamuamini mpaka leo asubuhi sana nilipopigia sim na gazeti moja maarufu sana la Udaku, walioniambia kwamba hii habari si ya kweli na kwamba wanaye huyu msichana pale ofisini kwao, toka asubuhi mpaka sasa nimekuwa kwenye uhakiki wa hii ishu, na sasa ninasema wazi na tena kwamba:-

NINAMUOMBA RADHI SANA MH. KAPUYA NA NI MATUMAINI YANGU MAKUBWA SANA KWAMBA WALE WOTE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU TUTAKUBALI MAPUNGUFU YETU KAMA WANADAMU NA KUMUUNGAMIA CHINI MUNGU WETU, NI KWELI MH. KAPUYA ALIKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA HUYU BINTI LAKINI YA HIARI SIO KAMA ILIYOELEZWA NA SI KWELI KWAMBA HUYU BINTI NI MWANAFUNZI, HAPANA ANA MTOTO TAYARI NA PIA ALISHAWAHI KULIDANGANYA JESHI LA POLISI HUKO NYUMA.

- Wale wote tunahusika na media tujifunze tena na hili fundisho, tujitahidi kuwa waadilifu na kufanya utafiti wa kina kabla ya kuruka na hadithi nzito kama hii ambayo inaweza kummaliza mwananchi mwenzetu, au kiongozi bila sababu za msingi wala ukweli.

- AGAIN NI MATUMAINI YANGU KWAMBA WALE TULIOHUSIKA NA KUMHUKUMU MHESHIMIWA KAPUYA, TUTAJITOKEZA TENA IN THE PUBLIC NA KUMUOMBA RADHI NA MSAMAHA.

- MUNGU IBARIKI TANZANIA NA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

WILLIAM MALECELA
Tags

Post a Comment

62 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kesi ya kubaka au ya uroda wanaojua ukweli ni watu wawili tu wewe Lemutuz utajuaje mambo ya chumbani kwa mwenzako usilete za kuleta ulikuwemo humo chumbani? jibu ni hapana, wewe ni mvua suruali ya mheshimiwa kapuya? jibu ni hapana, kaa kando ndio maana nchi yetu wanawake wanafanyiwa vitendo vya ukatili na unyanyasaji halafu mijanaume inapotelezea kesi kisa ni muheshimiwa au anapesa za kuhonga au anajuana na mtu ukome kabisa kuingilia na kutetea unyanyasaji, acheni vyombo vya sheria ndio viseme ni kweli au ni uongo kutokana na uchunguzi utakaofanywa na vyombo vya sheria sio nyinyi mkae bar mnakula nyama choma halafu mseme hii story ni ya kweli au ya uongo. nakushauri siku nyingine uwe unakaa kimya na uache sheria ifanye kazi sio mnahukumu wanawake kwa kuwa mnayo access ya magazeti na vyombo vya habari, umenikera sana wewe umeshaishi majuu unaupeo mkubwa kabisa kwa nini unafata ushabiki usio na kichwa wala miguu usiseme namuamini aliyeniambia that a crap

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Huyu msichana
      sisi tunaishi naye nibingwa wa uongo kama kuna mtu anayebisha njoo twetu utamwona piga cm. 0756555677

      Delete
    2. Hatudanganyikiiii mshapewa cha juu kumsafisha,Kama ni Muongo Sawa ,according to maelezo ya Lemutuz hapo juu ni kweli alikuwa anatembea na kapuya,alikuwa 14,ni ubakaji toshaaaaa.na Ukimwi ?salale

      Delete
  3. inamaana ile kesi ya monica lewisky kila senator angejitokeza kama unavyojitekeza wewe bwana Malechela mbona Clinton angeshinda? unafikiri kwa nini waliomzunguka walikaa kimya? kwa sababu inapofikia masuala ya ngono huwezi msemea mtu

    ReplyDelete
  4. Malecela mbona anakuwa kaa shoga hivi, pilipili za shambani zinakuhusu nn, wewe ndo uliwashika miguu wakati wa kutiana? subiri sheria ichukue mkondo tutajua tu hatuhitaji maoni yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kutetea wabakaji we mwehu, au na wewe pia mheshimiwa anakugonga.paka shume we

      Delete
    2. Ni shoga labda mkeo Yuko marekani anakula raha na mwanaume mwengine,we kaalia mambo yasiyokuhusu anamuogopa kapuya asije akamkolimba.wabakaji wote hao

      Delete
    3. Yes.neema malecela,nasikia hataki kumuona lemutuz tenaaaaaa.she had enough of him.

      Delete
  5. Huyu Malecela na mitako yake nadhani wanamfira

    ReplyDelete
    Replies
    1. duuuuuuuuuuuuh

      Delete
    2. Mdau!umeuaaaa!

      Delete
    3. We willy ni mpuuz sana na ndio watu mliowekwa kumtetea kapuya ina maana mtu mzima hajulikan? Na pindi huyo bint alivyoenda bungen wabunge wanashindwa kumtambua mtu mzima na mtoto sisi ni watu wazima tunaelim na tumeelimika tumia akili nyingi kutudanganya sio unakurupuka

      Delete
    4. Point mdau,Huyu binti kafika bungeni,liveeeee bila chenga.na wabubge wamemuona,dada Yake alikuwa 20 na yeye 14.kadanganya umri?na sura ya kitoto kadanganya pia?mmeshapewa cha juu kuokoa jahazi lisizame,atudanganyiki.shida hazina adabu ata Mimi nilishawahi kudanganya Kwa watu tofauti ili nisaidiwe karo na kutunza familia yangu,masikini.kudanganya in the name of kusaidiwa sio dhambi.

      Delete
  6. Acha usenge, unajua kuwa humu wapo watu wazima tena wenye ufahamu wao na wanaomfahamu prof Kapuya vizuri sana. Sio wewe vijisenti ulivyopewa vikufanye uje kuongea upuuzi wako hapa.unathibitisha kuwa huyu binti si mwanafunzi je wewe ndio mwalimu wa hiyo shule? Je vipi kuhusu umri wa huyo binti? we unaona sawa kwa muheshimiwa kumvua chupi na kumuonyesha boro lake, sasa ngoja na mwanao abakwe na huyo mzee ndio usimame na kutetea mibakaji kama hii.lione kwanza sura lilivyomkomaa kama bundi anayepandwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga mkono mdau,kashavuta mkwanja,kumsafisha mitandaoni.

      Delete
  7. Nadhan ifikie kipind watz tuwe wastaarabu habar ya William kufirwa sijui matak makubw zinatoka wapi?kam ww unaamin kam kapuya alibaka sawa hujalazimishwa kuamin alichosema hyu bwan achen ushamba hiv unadhan ukimtukan mtu unapata nn?ten mtu mwenyw kam willy au ndo mnapunguza stress

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wewe naona wanakufira! SAMBENYIGWA WE

      Delete
    2. Lemutuz lemutuz lemutuz!how many times have I called you?basi tunaomba usitutibue wananchi tuna hasiraaaaaa,usiache ukadhalilishwa umu kisha ushadakishwa mshiko.Mende weeee

      Delete
  8. Ovyoo kweli unashdadia kama una uhakika vilfe haijakaa poa hiyo bwana william

    ReplyDelete
  9. Tatzo la shul za kat tatz la watu kukosa elimu ukisoma unajua hat jins yakuongea vit kweny public

    ReplyDelete
  10. Eti sio mwanafunzi walielewana na kapuya kuliwa uroda,okayyyyy but she is under age if you know what I mean,kazaa hajazaaa aituhusu,mtazungusha manenoooo mpaka stori ionekane ya upngo,Mungu yupo.inshallah.

    ReplyDelete
  11. Toa umburula wako Umu we lemutuz maanina.

    ReplyDelete
  12. Utamsafisha sanaaaaa mwaka huuuu kimeshanukaaaaaa!

    ReplyDelete
  13. Wapi Dodoma university wera wera.tamaaa bora nibaki na umasikini wangu,watu wanaringishiana magari kumbeeee mambo yenyewe ndio Kama haya?sidanganyiki.

    ReplyDelete
  14. Du.mgao mgao mgao.hatudanganyiki!Mungu yupoooooooooooooo!

    ReplyDelete
  15. Ndugu yangu Lemutuz ulichoandika hapa hata hakieleweki!kuna watu wataamini kutokana na imani yao kwako, lakini mimi ninashawishika ushahidi.hakuna cheti cha kuzaliwa, hakuna statement ya police kwamba alishafungwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani msipotoshwe na siasa za lemutiz,hapa ni kusafishana,nyie amuwajui Wana siasa?Sawa walielewana kuwa na mahusiano,she was 14 Jamani ,

      Delete
  16. Anatetea nini wakati watu wengine wanateseka au kwa sababu eti mhe kitu gani

    ReplyDelete
  17. Ujue kua lemutuz naye ni muongo juzi alisema kapuya ni rafiki yake wakarib saana na kwamba kwenye hili amuungi mkono kwakua anajua ni mgonjwa toka kitambo!!so kama huyu ni dem wa kapuya na kapuya ni mgonjwa toka zaman basi awe shahidi wa kwanza kukiri kua uyo dada ni kweli kaambukizwa ukimwi hata kama walikua wapenzi

    ReplyDelete
  18. aiseee!? mnajua kutukana nyie mbwea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana kiongozi hawa sio MBWEHA ni maubwete tu, si unajua tunaelekea kwenye UCHAGUZI? So hawa jamaa wanaanza kusafishana ili chama kisishindwe kutokana na mapungufu ya viongozi wao. Huo ni UMBURURA TU.

      Delete
    2. Kula tano mdau.pumba tupuuu binti kabakwa na Ukimwi kagaiwa.

      Delete
  19. Kapuya kimenuka aaaaaaaaaaaaa mtu mzima ovyo

    ReplyDelete
  20. Hapa hakuna lolote la msingi,matusi ya nini humu ukimtukana mtu unapata faida gani,inavyoonekana woote mnaotukana mna matatizo zaidi ya huyo kapuya,acheni matusi maana siamini kama watu wenye busara wanatukana,hii ni wazi kuwa kuna wenye matatizo ya akili

    ReplyDelete
  21. tugawane ustaarabu kama haujapenda alichoandika lemutZ kaa kimya yeye ameandika anavyoo ona mpango wenu wa kumuangamiza kapuya tumeisha ushtukia. mambobya mke wa lemutuz yanakujaje kama ana mme hata lemutuz ana mchumba wake mkali tena sana humu ndani matusi ya nini kuna mahali mmeona lemutuz katukana?

    ReplyDelete
  22. Kiukweli ukiwa kama mtu makini ikiifuatialia kwa ukaribu hii habari lazima Utah dault NA kujua kuja hizo ni hadithi za kufikilika huu ni uongo Julio tukuka

    ReplyDelete
  23. Kiukweli ukiwa kama mtu makini ikiifuatialia kwa ukaribu hii habari lazima Utah dault NA kujua kuja hizo ni hadithi za kufikilika huu ni uongo Julio tukuka

    ReplyDelete
  24. Kiukweli ukiwa kama mtu makini ikiifuatialia kwa ukaribu hii habari lazima Utah dault NA kujua kuja hizo ni hadithi za kufikilika huu ni uongo Julio tukuka

    ReplyDelete
  25. weeeeeee..........h! Malecela kuma xana au bwabwa nn,umekuwa jaji mpaka utoe hukumu kuwa hili zee kapuya halina hatia????? Nenda mahakamani katoe ushaidi.Eti unajifanya blogger unatoa habari afu unakurupuka kuomba radhi!!!!!! Ndio matatizo ya kucopy na kupaste habari za watu afu huna vielelezo.Watu wanatoa habari za uchunguzi ndio maana wako kimya hawakurupuki.

    ReplyDelete
  26. Wote mnaotukana ni sawa na mwenye blog hii akili zenu zina itilafu kwani mpaka mtukane au kupost uchafu?Kapuya hana kesi yakujibu huyo dogo ni mtendwa amekubuhu usiombe yakukute wewe.Muogopeni Mungu.Na hii mitandao ya jamii inakoelekea nikufungiwa mana 90% ni uchonganishi fitina majungu na kuporomosha maadili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. km ushajua mwenye hii blog ana matatizo ya akili unafanya nn humu au nawe n walewale? huyu malecela live hayuko sawa hata hcho kipicha chake knaonyesha n km toyoyo mmmh majanga BLOG zmeingiliwa bongo

      Delete
  27. Jaman NApita tu! Naogopa tindikali mie. Nipo urAmbo mie

    ReplyDelete
  28. Malechela tunakujua we ni muanglikana wanakugusa nyuma km? Waanglikana wngne

    ReplyDelete
  29. Ninachoona hapa haya ni maandalizi ya mbio za mwaka 2015 tuu wanasiasa wanachambuana na kuanikana Hadharani kuna uwezekano mkubwa saana wa kinachosemekana kutokea au kutokutokea hapa busara zaidi zinahitajika cha msingi busara ndio inahitajika zaidi inakuwaje mzee wa makamo yale hausishwe na vitendo kama hivyooo? hamna haja ya kuteteana hapo pia uongozi ni dhamana huwezi kuwa kiongozi ukawa unatembea na watoto wadogo au ukawa unaenda na kila mtu cha msingi mh kapuya inabidi ujiangalie mienendo yako pia wiliam uwe makini na maadili ya Profesional yako mzee sio kila kitu cha kupuplish bila kufanya analysis so ninachoona hata wewe umepungukiwa busara kiasi flani mpaka ukakurupuka andika ulichoandika na kupublish ,kaka mda umeisha ni wakati wa waliopewa dhamana kuangalia mienendo na kuisafisha ....hatutakubali kuwapa dhamana viongozi wa namna hiii wakati wote mambo yanabadilika isije fika wakati kiongozi na fisi fisi ndio anapewa preference kubwa zaidi so Jipangeni vizuri hatutaki propaganda teena

    ReplyDelete
  30. za mwizi sikuzote arobaini.zimefika wacha ujinga ww william??unasema nn ww???wenzako wakichukua mpunga?hawachongi???

    ReplyDelete
  31. Hivi ww unaona ni sahihi kwa mh.K kua na mahusiazo na hako kabinti?Kwa nn awatishie kuwaua?kwa nn awahudumie kwa muda wote huo?je kweli mh.k ameshawaka?Kondomu hazikuwepo? je .....?.mm naona tusubiri uchunguzi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unanijua una Ukimwi kondom ya nini?

      Delete
  32. hahaha lemutuz ajitoa fahamu lol! way to go man

    ReplyDelete
  33. malecela umeshikishwa sh. ngapi mbona husemi?mbona maelezo ya huyo unaemtetea yanachanganya? kwa sababu, mosi, mwanzo alikana kutomjua binti huyo, pili,leo ametoa tamko kumjua binti huyo na aliwahi kumsaidia milioni tatu, tatu,namba iliyotumika kumtishia binti huyo alidai aliiacha kuitumia muda mrefu lakini gazeti lilitumia namba ile ile na likampata, nne hata kama aligawa namba hy je nani alimpa si amtaje ili huyo mtu ashitakiwe? tano,pili nikosa kisheria kugawa line uliyosajiri kwa jina lako je yeye hakulijua hilo?je inawezekana kweli asijue na yeye ndiye mtunga sheria? sita, wewe malecela unakiri kuwa kapuya alikuwa na mahusiano na hy binti ila alikuwa anamtoto tayari,maelezo ya kapuya anadai hamjui huyo binti sasa tumwamini nani kati yenu? saba, hata kama awe na watoto hata kumi je kwa kiongozi anaefuata maadili tena unamke na watoto tena hujiita alhaji wa nini tena?au ni alhaji wa kuzini? malecela unaonekana kama unaoutindio wa ubongo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duuuuuuuu we mdau una maakiliiiii Kama we ni mwanaume tutafutane nikupe HUDUMA bureeeeeee,usiniogope sina Ukimwi .

      Delete
  34. kwa staili ile ile uliyoitumia malecela ya kuomba msamaha kwa kapuya na kwa watanzania, naomba na mimi nitumie staili hy hy kumuomba msamaha kapuya na watanzania wengine wenye imani kama yako malecela kwamba ninaomba msamaha kuwa mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kapuya kuwa hakubaka.kwa maelezo anayotoa yananilazimisha niamini kweli tendo lilifanyika,

    ReplyDelete
    Replies
    1. I love you mdau.HATUdanganyikiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
  35. kwa staili ile ile uliyoitumia malecela ya kuomba msamaha kwa kapuya na kwa watanzania, naomba na mimi nitumie staili hy hy kumuomba msamaha kapuya na watanzania wengine wenye imani kama yako malecela kwamba ninaomba msamaha kuwa mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kapuya kuwa hakubaka.kwa maelezo anayotoa yananilazimisha niamini kweli tendo lilifanyika,

    ReplyDelete
  36. mtaandikaje habari ambazo hamna uhakika nazo mi ninavyojua mpaka upate uhakika na habari ndio uandike utakurupukaje kuandika habari bila kuichunguza, kwa hiyo ukiambiwa baba yako malecela kabaka na wewe utaandika bila kufanya uchunguzi, msamaha wako ni bure kabisa wala hatuutambui hatujui ni kwa sababu unamtetea kapuya au la

    ReplyDelete
  37. yeye mwenyewe juzi tu alikuwa na kabinti ambacho ukikaangalia hakajafika hata miaka 20..pale mango garden, wameshazoea hawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo mchezo wao,wanadai dogodogo wanapasha joto damu zao baridi.nimechekaaaa jana.

      Delete
  38. kwanini huyu binti amsingizie Kapuya na sio Waheshimiwa wengine???? kwani Bungeni kuna Kapuya tu kama huyu binti ni bingwa wa uwongo na anatafuta mshiko kwanini asisingizie waheshimiwa waliopo madarakani amchague kapuya ambaye kwa muonekano tu keshafulia baada ya kukosa uwaziri. hapo kuna japo ka-theluthi ka ukweli jamani. hili litakua lilingonoka tu kitoto cha watu. huyo si mjuukuu wake jamani hata haya halina kukivulia nguo kimdoli cha montesory. hahahahaha viongozi wetu bwana. halafu serikali ipo kimyaaaa. afu anasema eti Tamwa pia ilishawahi kudanganya na huyo binti mbona sasa Tamwa haohao ndo wapo msitari wa mbele na wanaharakati wengine kupigania haki ya huyu mtoto. nina wasiwasi huyu Lemutuz hiyo kofia aliyovaa apo atakua kashonewa na fundi cherehani wa mtaani yani haimaanishi kila avae kofia hiyo anastahili anaestahili utamjua tu the way anavyojiexpres kwenye public. hovyoooooo lione

    ReplyDelete
  39. YAANI WE WILIAMU NI MSENGE KAMA BABAKO KABISA. UNAOMBA MSAMAHA KAMA NANI SASA/?

    ReplyDelete
  40. Cjui nilitukane hili bwegee...sema tu cna matusi ya harakaharaka. Lemutuz ni nyumba ndogo ya Kapuya.

    ReplyDelete
  41. fala kweli hili le mutuz

    ReplyDelete
  42. umefirwa sana wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad