YALIYOJIRI:MKUTANO WA CHADEMA NA WAANDISHI WA HABARI

Mheshimuwa John Mnyika, Tundu Lissu na Benson Kigailla ndio wazungumzaji wakuu.

Mnyika - amewaleeza waandishi kuwa sekritarieti ya chama ilikaa kikao chake jana kujadili mambo kadhaa ndani ya chama.

Ameeleza kuwa wahusika wamesha andikiwa barua zenye tuhuma zao 11 wanazotakiwa kuzijibu ndanj ya siku 14.

Ameeleza kuwa press conference waliyofanya wamejitungia tuhuma ambazo kimsingi sizo zilizo wavua nafasi zao.

Benson Kigailla anaeleza mikakati inayoendelea kwenye kanda ambayo kimsingi ripoti zililetwa kwenye kamati kuu.

Anasema mpango na programu ya chadema ni msingi pamoja na M4C kanda unaendelea kwa mafanikio makubwa kwani misingi inaendelea kuundwa na mpaka sasa zaidi ya wakunzi elfu tisa kutoka katika kanda mbalimbali wameshafundishwa.

Wakufunzi waliokwisha fundishwa.

Taifa 30

Kanda 40

Majimbo 956

Kata 19,408

Vijiji/Mitaa 72,000

Anaeleza kuwa kuna timu nne zimeundwa kwenda kwenye kanda mbalimbali kukagua misingi iliyokwisha simikwa.

Ziwa Mashariki misingi 3069 kati 7098

Ziwa Magharibi 3840 kati 9757

Kaskazini 3278 kati ya 8417

Juu kusini 2113 kati ya 10,857

Magharibi Kata 235 kati ya kata 315

kanda ya Kati Kata 363 kati ya 495

Kanda Kusini 219 kati ya 387

Kanda ya Pwani misingi 846

Tundu Lissu.

walichokifanya kina Zitto na Kitilla ni "Diversion" mashtaka yao yanatokana na waraka wa kihaini wa mabadiliko ambao ni kinyume na katiba na maadili ya uongozi, kuvuliwa kwao nafasi zao hakuhusiani na mambo ya PAC wala kuuza nafasi zetu za wagombea kwa maccm, wala kutokushiriki kwenye ziara za chama.

anawaambia waandishi, "wamevuliwa nafasi zao na kamati kuu kwa sababu ya waraka wenye nia ovu"

Anasema chadema haijaanza kufanya maamuzi magumu leo, ilishafanya hivyo kwa Dr Walid Kaburu na kwa Chacha Wangwe na mara zote vyombo vya habari vimekuwa vinaandika kuwa CHADEMA yapasuka, mara CHADEMA inakufa lakini kipindi chote haijawahi kufa wala kupasuka, na hata kwenye hili haitakufa kama ikitokea kamati ikiwafukuza.

Lissu alieleza kuwa - Kitilla amepotosha kuwa kamati kuu haina mamlaka ya kumvua yeye nafasi yake ya ujumbe wa kamati kuu maana amechaguliwa na baraza kuu. Amesema Zitto alipaswa kumkumbusha rafiki yake maana yeye (Zitto) alikuwepo kwenye kamati kuu iliyo mvua ukatibu mkuu Dr Walid kaburu, na makamu mwenyekiti bara Chacha Wangwe. kama iliweza kwa Kaburu na Chacha Wangwe (Katibu mkuu na Makamu mwenyekiti) imeweza na kwake pia ambaye hana vyeo hivyo, hivyo aache kupotosha umma kwa makusudi.

Mwandishi mmoja aliuliza kuhusu vurugu za kuchana bendera huko Kigoma, majibu yalikuwa - kurugenzi ya ulinzi na usalama ya chama imewasiliana na viongozi wa chama Kigoma na watalitolea wao taarifa lakini taarifa za awali ni kwamba ulikuwa mpango wa kuigiza ulioandaliwa na watu waliotumwa na wameshajulikana na hatua zaidi ziko chini ya uongozi wa tawi husika.

====================
Jamii Forums
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnyika nae asijifanye kimbele mbele mwenzako akinyolewa ww tia maji

    ReplyDelete
  2. siyasa sihasa lakini ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime wakipatana chukuwa kapu ukavune mambo ya ngoswe muwachiye ngoswe

    ReplyDelete
  3. Msimamo ni huo tu, CHADEMA songa mbele. Ninyi ndo wakombozi wetu. Tuamke, akina zitto wanataka watu washughulikie mambo yao wakati umeme unapandishwa huku. Jaman acheni la zitto mmempa cku 14, tupambane mafisadi wanatumia mwanya kupandisha bei ya umeme.

    ReplyDelete
  4. Chezea chadema wewe! Chadema siyo kama maccm ambayo kila aina ya uchafu na uvundo unalindwa kwa gharams zote,eti mwacheni ni mwenzetu! Nyoko.

    ReplyDelete
  5. Kutoka M4C mpaka M4D. vikao vyao vinashangaza kwa kweli vinakosa ustaarabu kuliko hata send off za kitaa! Kila anaezungumza anatokwa povu kama kakorogewa OMO!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahhahahahaha umeniua mbavu mdau

      Delete
  6. Chadema songa mbele

    ReplyDelete
  7. Kuma tu hawa wabaguzi.Kaburu nae c ws kigoma pia.na ww lisu wacha usenge

    ReplyDelete
  8. Mnyka mcha wajameni kama hamjui hilo.

    ReplyDelete
  9. Mnyka mcha wajamen kama hamjui hilo.

    ReplyDelete
  10. Lusu na Myika msiweke shida zenu mbele rekebisheni katiba kuwe na ukomo wa madaraka.Demokrasi sio kung'ang'ania madaraka,

    ReplyDelete
  11. shwani nyinyi kumbue nimekumbuka hamfai hamfai hamfai shwain kabisa nyinyi ndio mliomuua chacha wangwe kwa kuwa alikuwa anakubalika sana chadema, leo hii mnamuandama zito mshajitahidi sana kumuua mmeshindwa sasa mmeamua kumuondoa, kisa ni uroho,udini na ukabila katika chama chenu, na kama si hayo na kama mnakitakia chama chenu kisonge mbele na wananchi wawaamini basi msingefanya haya mnayoyafanya, ni dhahiri sasa wananchi watambue chama chenu si cha demokrasia na maendeleo ni chama cha wachaga na wakatoliki na ndio maana wanaokubalika ambao hawako humo mnawaondoa shwani nyie. kwa taarifa yenu kwa sasa watu wameamka na niwaelewa, wafatiliaji wazuri kwa hili mmechemka mjipange upya 2015 mtaisikia kwenye gia nyau nyie, jipangen upya 20125 na kamwe hamtaaminiwa tenaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  12. Kuma nyie mna zengwe na wa2 wa kigoma, imefika mda muondke madarakan co kung'ang'ania wasenge nyie, chama gan kina"undergo regionalism"? mmemuua wangwe zto mmemshndwa mnamvua madaraka, mmepoteza mvuto WACHAGA nyie mazivu yenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad