Mfungaji wa mabao mawili ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika sare ya 2-2 na Uganda, The Cranes kwenye Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge, Mrisho Ngassa akiwa ameketi benchi Uwanja wa Manispaa, Mombasa, Kenya baada ya kutoka dakika ya 80 alipoumizwa na wachezaji wa Uganda. Hata hivyo, Stars ilishinda kwa penalti 3-2 baada ya sare hiyo ya 2-2 ndani ya dakika 90. Picha zinazofuatia ni namna Ngassa alivyoumizwa kidevuni kwa kiwiko na kwanga la mguu lililomuumiza kifundo cha mguu. Na picha nyingine ni wakati anaumizwa uwanjani.
HIVI NDIVYO WAGANDA WALIVYOTAKA 'KUMUUA' ANKO NGASSA LEO MOMBASSA
8
December 08, 2013
Tags
Ngasa ni mnyamaaaa
ReplyDeleteNgasa osha miguu basi,,,kucha mpaka zinaoza
ReplyDeleteSithani kama umecheza mpira rafiki yangu kacheza peku hadi kufikia hapo hiyo ni damu imeozea kwenye kucha
ReplyDeleteMmmh huo mguu uoshe na ukate kucha jamani
ReplyDeletePole ngasa mungu atakujalia utapona tu
ReplyDeletePole dogo.
ReplyDeleteHuo mguu sio wa ngasa angalia kiatu alichovaa akiwa uwanjani fananisha na kiatu chenye huo mguu achen majungu wasenge nyie !!!!!
ReplyDeleteNi kawaida kwa wachezaji
ReplyDeletenafikiri hapo ni kuwa aliumia kidole gumba damu ikavujia kwenye kucha