Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.
Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wananchi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani. Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi.
Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina baada ya kushambuliwa
Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa Bungando.
watu wamepinda maisha magumu wanajitafutia rizki yakuponda mawe japo maisha yaende ww unapeleka tumbo lako ulitaka wakusaidieje?we kufa tu coz hizo risasi ulizorusha umemuua raia.
ReplyDeleteUbabe tu acha afe kumamae anaua raia asie na kosa fundisho hilo
ReplyDeleteWewe anoy wa 9:27 muogope Mungu. Kwann unahukumu? Kama una wazazi utajua siku moja baba au mama yako akifanyiwa hivi.
ReplyDeletehope hujafatilia vyombo vya habari umeisoma hapa ktk blog hujui hata kisa cha yy kupigwa mawe,kaua mbele ya wananchi ulitegemea nn? c afadhal yy anaitwa baba pengine huyo alompiga risasi hajaitwa baba,yy afe tu sion tatizo watu wameshachoka!maisha mazuri yawe yao tu nawatoto wao tena kwa mali za wananchi hii na dhuluma tu! afu anajifanya eti anamguu wa kuku nyoooooo kakutana na watu wanamandazi ya Mungu wamemrestisha afe tu hana faida nyambafu zake.
DeleteUKIUA KWA UPANGA BASI NA WEWE UTAUWAWA KWA UPANGA
ReplyDeleteDawa ya moto ni moto
ReplyDeletetatzo la viongoz wetu wanataka kujmlksha mali nasiyo yeye tu wapo weng viongoz wa na mna hyo,kwann mabna asngesubr tu kes iamuliwe mahakaman?au alkuwa anategemea kwamba ataonga tu alaf kes atashnda? ona sasa amekufa kfo cha aib kias hcho?
ReplyDeletesi support kumuua mtu hivi, lakini hii inaonyesha wananchi wamechoka vibaya na hawa viongozi wetu siku hizi, ubabe umezidi, its time wananchi wa react, tujifunze kuziria hawa wananchi, kama kiongozi wenu hafanyi kitu kwenye jimbo lenu, 2015 hiyo imekaribia mtawaona sana, wananchi tusitoke ndani ya nyumba tuone watawadanganya kina nani?
ReplyDeletejamani wananchi wengi wanadhulumiwa ardhi zao ....ni halali afe kabixa
ReplyDeleteAfe tu wamezoea kudhulum wanaichi maskini
ReplyDeletedah! inauma ila yy atangulie 2,kujifanya mungu m2 haifai.
ReplyDeleteKumanina zake life tu lilidhan wananchi bado wanakubali ujinga wao shenz na bado serekal kuwen macho tumewachoka mbwa nyie
ReplyDeleteWewe kuma wa saa 10:29 km ni ndg yako katombwe huko na mandazi aliopigwa nayo huyo mkundu unaemtetea kuma ww
ReplyDeletechezea nguvu ya umma wewe? peoplesss poweeeerrrr! ndo maanake!
ReplyDelete