'BABU SEYA, PAPII LAZIMA WATAACHIWA HURU'

Stori:Na Mwandishi wetu
NGUZA Mbangu, mtoto mkubwa wa mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi anayetumikia kifungo cha maisha jela, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya, amesema mzazi wake pamoja na mdogo wake, Papii, ni lazima wataachiwa huru hivi karibuni.

Mbangu, ambaye pia hufahamika kisanii kama Mashine, ambaye hivi sasa ni mwinjilisti, alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipozungumza na gazeti hili, akisema kuwa kutolewa jela kwa ndugu zake hao, kutawafanya Watanzania kumsujudia Mungu kupitia tukio hilo.

“Amini nakuambia, Mungu amenipa maono, Babu Seya na Papii wako huru, watatoka tu, kinachosubiriwa ni muda tu ambao hauko mbali, ni lazima watatoka kwa sababu hawana hatia,” alisema Mbangu, ambaye pia alihukumiwa kifungo cha maisha jela kama mzazi wake, lakini akaachiwa wakati walipokata rufaa kwa mara ya kwanza mahakamani.

Alisema tukio hilo litakapotokea, litawafanya Watanzania wote kumsujudia mwenyezi Mungu, kwa sababu litakuwa ni ishara ya uwezo wake katika kutenda maajabu.

Babu Seya na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi Mashujaa iliyopo Sinza. Hata hivyo, jitihada zao za kujinasua kwa mara ya mwisho ziligonga mwamba hivi karibuni baada ya jopo la majaji watatu kutupilia mbali maombi ya kuachiliwa huru baada ya kufanya mapitio ya kesi hiyo iliyovuta hisia za watu wengi nchini.
GPL

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utapata maono sana tuuu ila ni maono ya kishetani hayo, Mungu hasamehi wafiraji hata cku moja, watanyea debe hao mpaka basi, c waliona watoto ndo watamu wakati madem wako nje nje mitaa ya sinza. najua wasenge humu watanitukana na kusema nimejuaje kama walifira, jibu ni kwamba mahakama zote mpaka ya mwisho imesema hivyo kwa ushahidi wa watoto walionajisiwa. Nyinyi mbaodai oooh kuna mkono wa mtu mbona hamuendi mahakani kuthibisha hayo wakati wa rufaa ya kesi hio karibu mara nne sasa? Ni upumbavu uliokithiri kutetea wanajisi wa watoto hala kudai wameonewa huku hamtoi ushahidi huo mahakamani. Fungeni madomo yenu kulalamika kwenye mitandao hskutawasaidia watu wenu wasenge nyinyi, nendeni mahakamani kutoa ushahidi kwamba wameonewa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na kweli acha wafie jela tena walistahili kunyongwa kabisa, kuwalawati watoto tena kumi unafikiri ni vizuri, hamsini zao zilishafika acha wafie jela, hakuna msamaha wa rais wala ushuzi nyau nyie mlivyowala uroda wale watoto mlifikiri nn

      Delete
  2. We ulietoa maoni hapo ni mjinga sn tena mpaka familia yako yote ni wapumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamaa msenge mpaka anakufa malaya huyo!

      Delete
  3. Siku zakko zinahesabika Mungu anajuaa

    ReplyDelete
  4. Embu tuwe wepesi kidogo inakuingia akilini kuwa baba na watoto wake wawili wote wawanajisi watoto kwa pamoja mm namashaka kidogo na hizi sheria zetu zinabidi kuangaliwa upya,cpendi kuamini kama kweli hapa haki ilitendeka napata mashaka na sheria iliyotumika kuwatia hatian tujitazame kesho mbele ya mungu maana kule hakuna longolongo,nimepita kuwasalimia tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. walikuwa wakitafuta kukua jina kimziki, si katka hali ya kawaida ndo maana, ila watambue mungu si shemeji yao walifanya siri but the end of the day wakakamatwa, wewe tetea tu huu ujinga angelawiti watoto wako, au watoto wa ndugu zako au wadogo zako ndo ungejua uchungu saa hizi unaongea hovyo tu na ukosefu wa akili acheni kutetea kitu msichooo kijua, kama unataka ukweli tembelea hao watoto nendeni mahakamani mkajue ukweli acheni kudandia tren kwa mbele mmoja tu kasema wameonewa basi watu wooooooote kweli wameonewa ushahidi uko wapi kama wameonewa, wa tz bwana

      Delete
    2. Ao watt uliwatembelea

      Delete
  5. Anonymous December 10 at 10;07.
    sio kosa lako na usamehewe kwani sio wewe unaetoa hiyo kauli bali ni shetan ndiye anaye kutumia....

    ReplyDelete
  6. Anonymous December 10 at 10;07am.
    sio kosa lako na usamehewe kwani sio wewe unaetoa hiyo kauli bali ni shetan ndiye anaye kutumia....

    ReplyDelete
  7. Ebu tueleze ww unayetembelea watoto wote kumi na unakwenda mahakamani, waliwalawi vipi watoto 10? na umaarufu gani waliokuwa wanautafuta kwa kulawiti watoto? Tuthibitishie ilikuwaje wakafungwe watatu kwa kosa 1 na baadae wamebaki 2! SEYA TUTOKE WOTE ???

    ReplyDelete
    Replies
    1. inaelekea hata wewe alikuwa anakulawati ndo maana unamtetea

      Delete
  8. acha kuhoji maoni ya mtu kubabako wewe ulitaka afungwe babaako ndugu zetu wangapi wako jela na hamuwaongelei au yeye ni mtume wenu yule KAFIRI MKUBWA jehanam inamsubili

    ReplyDelete
  9. acha kuhoji maoni ya mtu kubabako wewe ulitaka afungwe babaako ndugu zetu wangapi wako jela na hamuwaongelei au yeye ni mtume wenu yule KAFIRI MKUBWA jehanam inamsubili

    ReplyDelete
  10. Acha roho mbaya ww kuwa na huruma

    ReplyDelete
  11. humu natoka maana wasenge wa ccm wengiim viongozi wangapi wa ccm wanabaka na hatuwaoni mahakamani mikundu km co mikuma ya mama zenu...2015 co mbali mungu wanatoka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad