BASI LA BURUDANI LAPATA AJALI MBAYA LIKITOKEA KOROGWE KUELEKEA JIJINI DAR
6Udaku SpecialDecember 12, 2013
Hospitali ya wilaya ya Korogwe.
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi.
Wananchi wakiwa eneo la Hospitali.
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni, watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
PICHA ZOTE NA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE, MRISHO GAMBO
Inna lillah wainna illah rajiun Poleni woote mlopata majeraha Mungu awaponye na awape subira. poleni sana mloondokewa na ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu Mungu awape subira na wapumzike mahali pema mahiti zetu.
mungu awaweke marehemu wote mahali pema peponi, na hilo basi siku hizi ni chinja chinja, au ndo kafara zenyewe maana hamchelewi nyie, na sijui kwa nini serikali haitilii maanani mwendo kasi wa mabasi, mmekaa kuripoti tu basi gani limepata ajali na wangapi wamekufa, mimi nawashauri,kila basi lisafiri na askari mmoja ili amdhibiti dereva nadereva akikiuka ale kifungo, askari wengi hawana kazi wanalewa tu mtaani, wapeni kazi ama sivyo roho za watu zitateketea
Inasikitisha sana! tunajua siku ya kuzaliwa lakini hatujui ni siku gani tutapokelewa na muweza wa yote.mungu warehemu majeruhi wote wapate kupona na weka roho za marehemu mahala pema na peponi. tunalia na kujihami na ukimwi na sasa UKIMWI ni ajali za barabarani. tufanyeje?Jamani madereva mtutafutie kinga maana TAKWIMU mahospitalini zinazidi kwa ajali.
Inna lillah wainna illah rajiun
ReplyDeletePoleni woote mlopata majeraha Mungu awaponye na awape subira.
poleni sana mloondokewa na ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu Mungu awape subira na wapumzike mahali pema mahiti zetu.
Mungu awaponye majerui wa ajali na waliotangulia mbele za haki wapumzike kwa amani
ReplyDeletemrisho umekuwa mwandishi wa habari siku hz, tukutane jt jioni basi tuyajenge
ReplyDeletemungu awaweke marehemu wote mahali pema peponi, na hilo basi siku hizi ni chinja chinja, au ndo kafara zenyewe maana hamchelewi nyie, na sijui kwa nini serikali haitilii maanani mwendo kasi wa mabasi, mmekaa kuripoti tu basi gani limepata ajali na wangapi wamekufa, mimi nawashauri,kila basi lisafiri na askari mmoja ili amdhibiti dereva nadereva akikiuka ale kifungo, askari wengi hawana kazi wanalewa tu mtaani, wapeni kazi ama sivyo roho za watu zitateketea
ReplyDeleteMadereva mtatumaliza jamani duuh..
ReplyDeleteInasikitisha sana! tunajua siku ya kuzaliwa lakini hatujui ni siku gani tutapokelewa na muweza wa yote.mungu warehemu majeruhi wote wapate kupona na weka roho za marehemu mahala pema na peponi. tunalia na kujihami na ukimwi na sasa UKIMWI ni ajali za barabarani.
ReplyDeletetufanyeje?Jamani madereva mtutafutie kinga maana TAKWIMU mahospitalini zinazidi kwa ajali.