BOB JUNIOR ADAI KUTOSIKILIZWA NA VYOMBA VYA DOLA ANAPOENDA KUSHTAKI MAGAZETI YA UDAKU YANAVYOMCHAFUA

Kufuatia kuandamwa na magazeti ya udaku, Rais wa Masharobaro na hitmaker wa Bashasha, Raheem Ramadhani a.k.a BOB JUNIOR amesema kuwa licha ya kuandikwa vibaya kwa kile alichokidai kuwa ni udhalilishaji dhidi yake, amekuwa akienda kushitaki kwenye vyombo vya dola lakini hasikilizwi.

Bob Junior amesema kutokana na kutosikilizwa amekuwa akikosa njia mbadala yakupata haki yake.
“Hata ukitaka kuweza kushitaki hausikilizwi yaani hata haieleweki haileweki yaani wee acha tu(kwa msisitizo), mengi siku zote magazeti yamekuwa yananiandika tu hovyo… hovyo… hovyo… hata sijui wanajiandikia tu. Wewe angalia hata magazeti ya Kiu utaona, magazeti ya wiki iliyopita wamenichoresha mimi siku zote,” Bob Junior alikiambia kipengele cha Chumba Cha Sindano cha kipindi cha Kali za Bomba cha Bomba FM, Mbeya.
Akielezea sababu za kuandamwa yeye tu na si msanii mwingine, Bob Junior alisema: Aaaah bwana wee unajua mtu ukishakuwa juu umenielewa bwana! wewe angalia mtu yeyote yaani akishakuwa juu tu yaani ndio inavyokuwa wenyewe ndio wanaona sijui ni biashara kwao, wanaweza kutafuta vistori vingine vinahusiana na ukweli vingine vya uongo basi hizo za uongo wataziandia sana wataziforce ziwe za ukweli.”

Source: Bongo5

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unaliwa mwanangu!! kama umepigika wasiseme pumbafu sana malaya wewe!!

    ReplyDelete
  2. Wenzako Diamond na Wema Peni wanapenda kuandikwa ktk udaku we unalalama au unataka jina lipotee?

    ReplyDelete
  3. Hakuna msanii asie jiskia kama Bob Junior! Yaani huyu kaka ni mstaarabu sana..pole sana Bob ndio ustar huo.

    ReplyDelete
  4. ustaa wa bongo shidaaaaa...

    ReplyDelete
  5. tatizo umemwacha mkeo bila sababu ndo maana kisa yule malaya unategemea nn badilika

    ReplyDelete
  6. Bob. acha kukata Kiuno Kama kigori
    utasemwa kuma ww

    ReplyDelete
  7. au ka vp jamaa ajiue tu! msenge nn unashtaki mrudie mola wako

    ReplyDelete
  8. Polisi wa bongo hawasikilizi mashoga........ ! Kafilwe huko hizo kesi zako mwambie, basha wako..... pumbu zako weee

    ReplyDelete
  9. kumaniina wenzako wale wap!?

    ReplyDelete
  10. Hhhaaaa duu noma napita too mie

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad