MKUTANO WA DK SLAA WAVUNJIKA KASULU MJINI


Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa uliofanyika Uwanja wa Kiganamo, Kasulu Mjini leo umevunjika baada ya polisi kupiga mabomu ya machozi wakikabiliana na vijana waliorusha mawe kupinga mkutano usiendelee. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, vijana hao wanadaiwa kuwa kati ya 10-15 ambao walirusha mawe baada ya wananchi kuwafukuza wakitaka kuwapiga wakipinga kitendo chao cha kupiga kelele ili mkutano usiendelee ndipo polisi walianza kulipua mabomu ya machozi na mkutano kuvunjika.
GPL

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila siku huwa tunavuna tulichokipanda haya huwa mnasema CCM ndio wanavurugu na kuharibu mikutano ya chadema haya leo wenyewe kwa wenyewe mnaumana meno mm nmeipenda hii maana mmetuonyesha hata sisi kuwa vurugu ni jadi yenu safi saana slaa huko sio kwa wachaga wenzio wewe bakia tu huko kwenu......R.I.P CHADEMA tulikushobokea sana ila Zitto tulimpenda zaidi

    ReplyDelete
  2. Sio kosalako ni hiyo div 5 uliyonayo,nani kakwambia Slaa ni mchaga? acha ushabik wa kijinga tetea mambo yenye masrah ya Tanzani hao vijana 10-15 wamepewa buk 7 @na ccm ili kuichafua CHADEMA.Remember CHADEMA 2naanza na Mungu na tunamaliza na Mungu,2015 is not far.

    ReplyDelete
  3. Asiye mzalendo ni tabia yake kuvuruga ninanikamwambia slaa ni mchaga, au ka2mwa na zzk?

    ReplyDelete
  4. SLAA na MBOYE kwani icho chama ni cha wachaga au cha wananchi wote c mng'atuke wenzenu nao wapime uwezo wao au na nyie ndo umeshaungana na mafisadi ili kukiua chama. ZITTO ndo chaguo la wahanga tunaitaji agombee urais co nyie mafisadi atuwataki maana hapo kidogo 2 mnanga'ang'ania madaraka je uko tuendako itakuaje?

    ReplyDelete
  5. mzee wa saa ya ukombozi ni sasa anza kujipanga tutakuunga mkono mwaka 2015.

    ReplyDelete
  6. Chadema ni ya wanachama,kama huipendi na uongozi wake,hamia ccm au anzisha chama chako ,acha ulofa wa kulialia.

    ReplyDelete
  7. chadema ni ya wachaga tu waliodandia wote watashuka babangu hii ni ngoma ya kishumundu. moshi kama london

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad