DIAMOND ATOA POLE KWA MTOTO ALIYEUMIA AKIJARIBU KUTAKA KUMUONA
16
January 01, 2014
Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
mdogo,aliyepata majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE
Tags
Sasa Domo umevaa kihun hun hvyo na umeshika mtt wa watu na upo comfortable kupost hii picha upo hvyo una akil kwel ww? Its gud thing kumpa pole ila uwe unaangalia na mavaz dogo hakuna mtu anayependa kuona mbavu zako.....happy new year
ReplyDeleteDomo fala sana huyu, may be shule ndio tatizo hapo, pole gani unamkumbatia mtoto mdogo upo kifua wazi, kata k, majasho nk, mtoto atapata picha gani hapo. Stupid domo.
Deletemi namshangaa domo msenge sana alishindwa kuvaa vizuri akato kistaarabu mpaka amtie nuksi mtoto wa watu na boksa zake?
Deletehuna 6packs ndo maana unachonga sanah,,,,,,lol diamond pga pcha za kifua nyng unawaumiza wa2 humu,,,huhuhu lolest
Deletesafi sana Nimeipenda hiyo DIAMOND happy new year
ReplyDeleteKavae
ReplyDeleteoyah! mbn unkavulia nguo au nataka ku-kapuya? kumamako
ReplyDeletewewe mamako ana nini kopo? Acheni kutukaniana mama zenu.
ReplyDeletetoeni ushauri napongezi si kutukuna tu ,kwani kawakosea nini ,ila daima waswahili wanasema mti mwema hupigwa mawe ,bigup diamond
ReplyDeleteWe ndio unaavyo vaaga ukienda kutoa pole.
Delete...mwongoe mtoto njia impasayo...ndo neno tulipaswa kutumia hapa ili kumrekebisha mdogo wetu domo........ila Tunisia matusi maana yake tunaunga mkono kwa hicho tukionacho, kwani umeona picha isiyofa ktk jamii juu ya ile picha unabandika mango liloandikwa matusi wanaosoma ni watu wa lika zote hapo ni nani mwenye afadhali?.....tuwakosowe hawa wadogo zetu kwani nao ni watu, kukosea ni jambo la kawaida kwa binadam yeyote......UVAAJI NA LUGHA CHAFU NAMNA HII HAVITAKIWI HADHARANI KTK JAMII YETU.....happy NEW YEAR....
ReplyDeleteSASA WEDOMO HUYO MTOTO UNAMUONYESHA HIYOCHUPI KWANZACHAFU! UNATAKA KUMUBAKA?
ReplyDeleteSASA WEDOMO HUYO MTOTO UNAMUONYESHA HIYOCHUPI KWANZACHAFU! UNATAKA KUMUBAKA?
ReplyDeleteBig up brother domo,,ila jrekebshe kmavaz,,umempa hela za hosptal uyo mtoto au umempa pole kimdomodomo????
ReplyDeleteDomo wanakuonea wivu hao hawana lolote
ReplyDeletehamna anayemuonea wivu, ila huo ni uvaaji wakishamba, ndo uvaaji gani sasa huo chupi lote liko nje, msiwageze wamarekani jamani!
ReplyDelete