Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.
Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.
Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.
Source:Afisa Mwandamizi Habari CHADEMA Tumaini Makene
pipoz... power
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteUongo mtupu. Leta picha
ReplyDeleteWw hapo juu n fala,mpaka uoneshwe pcha,hyo k2 n kwel cdm n majembe,2uulze cc 2liokuwa kahama ile jana alvyokuja ilkuwa n hatar watu walikuwa wanaimba"rais rais rais...."
ReplyDeleterais we mbulula kweli nani atakae mpa urais mbulula kama slaaaaaa
Deleteacha uongo ww mm nilikuwepo nikakoswa na jiwe
ReplyDeletehahahaha ulipokoswa na jiwe ikawaje
DeleteSafi sana.
ReplyDeletenyie waongo
ReplyDeleteUncle samy singida. CHADEMA ni kiwembe GIRET au DONGO wenye virusi vya ccm wananyolewa upara ili waonekane ,kama ww unaesema Dr SLAA ni mbulula we uko na kirusi nyolewa afu utapshwe hyo sumu ako meza ww. Mabadiliko yote ndan ya tz CHADEMA imesababisha yawepo. Huwez kunielewa kw7babu uko na kirus nitokee kw 0712420210 nikueleze
ReplyDeletewaongi hao kuliko kawaida na ndo maana kahabari kafupi,slaa alipokelewa na mabango yaliyo andikwa ajiudhulu na amekoswakoswa kupigwa,polisi wamemwokoa
ReplyDeleteacha kudanganya watu gamba mkubwa wewe!!!!!
ReplyDeletenamuunga mkono slaa kwa maamuzi yake!!!
ReplyDelete