FILAMU ZA KIBONGO HAZIUZI BILA KUTUMIA WASICHANA WAREMBO

Bila wasichana warembo kwenye filamu ya kibongo, hakuna atakayeinunua na huenda waandaaji wakaishia kuiangalia tu nyumbani na familia zao

Kwa mujibu wa Tino, wasichana warembo ni ‘chambo’ kinachowavuta wanunuzi wa filamu za Tanzania. Ujuzi wa uigizaji na kipaji, si sababu kwao.

Akiongea na gazeti la Mwanaspoti, Tino alisema warembo hao pamoja na kuzifanya filamu zivutie pia huwa na juhudi katika kazi hiyo tofauti na wanaume na wanaipenda kazi yao.

“Kwa kweli bila kuweka wasichana warembo katika filamu yako hutauza kwa sababu wengi wana juhudi za kufanya mambo mapya kila kukicha, lakini pia wanakuongezea mvuto kwa kuwa warembo ni kama maua,”alisema Tino.

Pengine ndio maana waigizaji wa kike wanaotamba ni walewale akina Wema Sepetu, Lulu, Irene Uwoya, Jacky Wolper, Batulli na wengine waliojaaliwa sura za kuvutia
-Bongo5

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nahuyo wa katikati naye ni msichana mrembo?

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa=bila sioni wema sepetu siwezi angalia bongo move

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa=bila sioni wema sepetu siwezi angalia bongo move

    ReplyDelete
  4. Loo na uo mkorogo tino umejiaribu sura imezeeka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu Jamaa ni Bwabwa hata alitoa movie yake ya ushoga.. Mkorogo umembadilisha kawa kama mpemba kumbe mweusi kama ngozi ya goti. Akiangalia michezo aliyokuwa anafanya ITV kipindi kile anajikataa kama ndio yeye, lakini sasa hivi sura limezeeka.. Chezea korogo veve..

      Delete
  5. ata sisi WARUNDI kama apana ona wema na uwoya apana nunuwa bongo move

    ReplyDelete
  6. Loo na uo mkorogo tino umejiaribu sura imezeeka

    ReplyDelete
  7. WEMA NDIO HABARI YA MJINI..

    ReplyDelete
  8. We mrundi hapo juu, kisa ndikumana.....!!??

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAPANA.NDIKUMANA NI MNYARWANDA SIO MRUNDI.TUNAPENDA TUU SANA WEMA NA UWOYA

      Delete
  9. Hahahaha eti kisa ndikumana? Apana jamani ata mimi bila Irene apana nunuwa cd. Ila wapunguze skendo zinawashusha hazi jamaniiiiii

    ReplyDelete
  10. Big up to Shamsa Ford haweki mkorogo. Mimi aminia yeye saaana kwakukubali rangi yake

    ReplyDelete
  11. Khaaaa!!!!! Huyo ndo bi dada Tino? Shosti. Mkorogo noma. Khaaa

    ReplyDelete
  12. kuma la mama yako tino

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tuwe wastaarabu unamtukania mama yake kakufanya nini,jua hiyo k**a ndiyo iliyokuleta duniani na kama kakuudhi mtukane yeye tino kwenye suruali yake kuna kitu kahifadhi,sio kila siku k***a tukaneni na mib**o yenu shenzi zako.

      Delete
    2. Nimekupenda Bure mdau muaaaah

      Delete
  13. Wema ni.number8, uyo binti ni mzuri jameni. Anawafunika ma binti wengi tu. Ana matako mazuri, chuchu zake sio powa, wala sio zile bandia.na uso mzuri. Ni binti mwenye ku jipanga.

    ReplyDelete
  14. ata mi wananikera kutwa kuma manake nini pumbavu tena ulaaniwe popote ulipo mweu wewe.

    ReplyDelete
  15. mkundu wako tino.. mnaacha watu wenye vipaji na waliosomea sanaa mnaenda kuchukua hao ma karolite wenu ndo mana bongo movie hamuuzi cku hizi mmeshachokwa hamna jipya kazi kufirana tu.. kumamayo zenu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad