Muda wa zawadi ukafika
Hatari sana kaka mtu alifanya yake
Mambo ya nyekundu nyekundu hatari tupu
Ommy Dimpoz nae alifanya yake na ilikuwa hatari tupu
Habari ndo hiyo mambo ya nyekundu
Chegge nae hakubaki nyuma
Dolar nazo zilihusika
Diamond akitoa burudani
THE END
huyo mkundu kimwana yy kazi yake kunanandia tu kwa mastaa kajipendeza kwa kina dai eti mpka anaitwa dada simpendi sura mbovu kama sanamu la michelini mkundu wako kimwana fanya kazi mjini acha udananda kazi kuchafua picha za watu tu
ReplyDeleteWapi penny
ReplyDeleteHata mimi namtafuta sijamuona
DeleteMdau hapo juu kama ulosoma akili yangi. Penseli kibwengo kakoma kujishebedua hadharani
ReplyDeleteJamani Halima sila picha hajapendeza! Kwa nini umevaa huo mdira kwenye birthday party yako!!??? Na hiyo lipstick uwiii, anaonekana mchafu! Wapi Penny???lol
ReplyDeleteSasa huyu mdada kibonge ndie nani naona mastar woote wapo karibu nae? halafu hiyo keki kanunua kwa wachina haizidi elfu 10
ReplyDeletePenny ulitengwajeee
ReplyDeleteJamani wapi penny au Ndo kimeshanuka mahaba nigalagazeee mahaba nidharirisheee uwiiii Piga pichaaaaaaaa
ReplyDeleteNigalagaze and nidharirishe!!?? Rekebisha ulimi wako ...Danm!!
ReplyDeleteMahaba ntoeroho
ReplyDeleteAhhaah yan watu mlikuwa mnashuka na pic mkutegemea kumuona pensel...haha mkambulia patupu....kwikwikiwkiw poyeeee penseliiiiiiiiiii mtumbua ndo ushaingi mchnga ivooooo
ReplyDeleteAhhaah yan watu mlikuwa mnashuka na pic mkutegemea kumuona pensel...haha mkambulia patupu....kwikwikiwkiw poyeeee penseliiiiiiiiiii mtumbua ndo ushaingi mchnga ivooooo
ReplyDeleteduh mwanamke mbaya huyo nahyo minguo alovaa ndo kabisaa haeleweki mbele wap nyuma wap
ReplyDeletembona mpenzi wake penny not reachable katika sherehe hii? wifie wifie*
ReplyDelete