HARUSI NYINGI ZA SIKU HIZI WANAWAKE HUWA HAWAPENDEZI UKILINGANISHA NA MWANAUME

Nimekuwa nikishuhudia harusi nyingi ambapo wanaume tu ndio wanaopendeza, . kinachopelekea hali hii ni mkorogo ulipita kiasi na kupelekea hata sura ya huyo mwanamke isiwe natural look, na ikawa mchina hivi, especialy kama mwanamke ni mweusi na bwana ni mweupe kwa rangi. hapa kwenye sekta ya reception ambapo upakaji wanja, lipstic na mafuta usoni na mchanganyiko mwingineo unakuwa too much mpaka anakuwa kama mcheza ngoma za kienyeji hivi. na mwonekano wake mpya unapelekea kama ulikuwa unamjua bibi harusi, umwone ni mgeni machoni na yule uliyekuwa unamfahamu kabla. pengine wana jamvi ningeomba maoni yenu kwenye hili jambo.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyoooooooo hizo harusi wasizopendeza wanawake ni za uko kwenu sio kote.nilijua nasoma kitu cha maana kumbe utumbo.mfyuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  2. acha kuongea pumba

    ReplyDelete
  3. Sasa wapendeze au wasipendeze inatuhusu nini sisi? Mxiuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad