HII NDO KAULI YA MANJI BAADA YA KIPIGO CHA JANA TOKA KWA SIMBA CHA BAO 3-1

Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement SangaMwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji ameaomba wanachama, wapenzi na washabiki wasivunjike moyo kwa matokeo ya jana ya mchezo wa kirafiki dhidi ya ya Simba SC, mechi iliyochezwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga makutano ya mitaa wa 
Twiga/Jangwani Manji amesema anajua wanachama, na wapenzi wameumia sana hakuna aliyefurahishwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-1 lakini isiwakatishe tamaa uongozi unafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza.
"Mechi ya jana ilikuwa ni bonanza, ndio maana hapakuwa na timu iliyopata pointi katika mchezo huo zaidi ya kusherehekea, sisi tumepata zawadi ya milion 98 wakati wenzetu Simba SC wamepata milion 1, hivyo zaidi sisi tumeendelea kuimarika kiuchumi zaidi wenzetu wameishia kusherehekea" alisema Manji. 
Aidha amesema wachezaji zaidi ya tisa wa Yanga hawajapata muda wa kupumzika tangu mwezi Novemba baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu kwani walijiungana timu za Taifa na wamekua huko kwa takribani mwezi mzima bila kupumzika tofauti na wenzetu Simba SC ambao hawana wachezaji wengi timu ya Taifa.
Manji pia alisema anaapa hongera kwa kushinda bonanza la jana, anasema mchezo wa jana walicheza vizuri hivyo wanastahili pongezi kwa hilo.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya mapungufu yaliyojitokez katika mchezo wa jana, amesema kamati husika inayafanyia kazi na kwa kuwa yeye anasafiri leo kwenda nje ya nchi  majukumu yote amemkabidhi makamu mwenyekiti Clement Sanga mpaka yeye atakaporejea.
Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siyo million 1ni million 100.mamayooo

    ReplyDelete
  2. Mamayoo mwenyewe milion 1,uliza uelimishwe boya ww!!Na Bonanza lako.

    ReplyDelete
  3. Yanga angeshinda wala usingesema hiyo mechi Bonanza,maraSimba hawana wachezaji wengi timu ya Taifa, visingizio kibao,Tunajua mfa maji haishi kutapatapa

    ReplyDelete
  4. Tukubali ukweli tu, yanga haiiwezi simba tuache visingizio

    ReplyDelete
    Replies
    1. sijui kwa nn hawataki kukubali kuwa simba ni wanaume nashangaa sana watakubali lini sijui, tano bila, tatu tatu, moja moja, tatu moja mtatukubali lini jamaniiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
  5. Yanga haiwezi simba wapi wewe? Yanga usenge walioufanya ni kumsajili kaseja tu! huo ndo uboya wa hali ya juu, kila timu ilimtema, sasa sijui ni kigezo gani kilichotumika kumsajili, sijui ushikajai? na huyo msenge kaseja ni mchawi, akiingia kwenye kila timu lazima acheze yeye kila mechi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtasema mengi sana but still simba wanaume na kamwe hamtatuweza

      Delete
  6. simba mabwege tu, mnapiga kelele kwenye makombe ya mbuzi!! mnaweka timu kambini Zanzibar kwa ajili ya mechi ndogo tu ya bonanza, haya sasa shilingi ngapi mmepata zaidi ya hilo bakuli lenu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. million mia nyau wewe mabwege nyie wachezaji mtunyang'anye na bado kuwafunga tumewafunga, mnasajiri wachezeja kwa majina sisi tunasajiri wachezaji kwa uchezaji wao , mkatae mkubali simba ndo timu

      Delete
  7. bwege wewe milioni mia kakupa nani? mmeambulia milioni moja tu na bakuli lenu la mboga!! hamna hata kombe lolote la maana, ndo makombe yenu hayo!

    ReplyDelete
  8. Kama tuliwafunga alafu tupewe milioni moja hamna akili kweli nyie yanga sawa na huyo mbumbu mwsenzenu manji mpira na manji wapi na wapi saivi mnataka kapombe tutawauzia na singano asipate kuwasumbua mabwege nyiyi mpira sio maneno mpira ule mliooneshwa na kiherehere chenu, hamna lolote kandambili mbovu

    ReplyDelete
  9. pumbafu zenu yanga! ndiyomana tuliwafila mchana kweupe, wawapeleke tena wakina manji bungeni tuone

    ReplyDelete
  10. hamna kitu mabwege tu simba nyie, mnaongea mtafikiri mmechukua worl cup, kumbe bakuli la bonanza tu!!

    ReplyDelete
  11. BONANZA CUPPPPPPP!!!!!

    ReplyDelete
  12. Kaseja kala hela mlarushwa mkubwa kafungwa magoli ya kizembe.

    ReplyDelete
  13. KUKAMAKO ZENU INGEKUWA BONANZA MBONA MNATAKA KUMFUKUZA KOCHA MABWEGE NYIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. kocha wamemfukuza halafu wanasema bonanza, iwe bonanza iwe nn mtani jembe ni simba shwain nyie

      Delete
  14. matusi ya nini kaka? nyie si mmeshinda bonanza, sasa hasira za nini? kocha yule siku nyingi alikuwa atemwe sababu ya timu kutoonyesha kiwango kwa muda mrefu, halafu wachezaji wengi walikuwa hawamkubali, ndiyo maana kila siku yeye na HAMISI DIEGO KIIZA, walikuwa wanalumbana, siyo sababu ya mechi ya kutangaza bia ya KILIMANJARO! hizi mechi haziko kwenye kalenda za FIFA!! sawasawa na mechi za bichi tu!

    ReplyDelete
  15. Watu mbona wagumu kuelewa mshindi wa uwanjani alipata Tsh. 100 millions plus za kutuma sms ambazo yanga walipata Tsh. 98 millions na simba alipata Tsh. 1 million hivyo jumatatu simba walipata Tsh. 101 millions. Muwe na data kabla huja comment siku ile ya mechi cheque za mfano zilitolewa

    ReplyDelete
  16. wewe hujui kitu, samba walipata mil 1 tu, mshamba wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad