Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?
Mwenye dondoo atuwekee plz!
HIVI DOCTOR ULIMBOKA YUPO WAPI? KAAMUA KUNYAMAZA AMA KANYAMAZISHWA?
4
December 10, 2013
Tags
Kanyamazishwa ,we kule msituni unajua alichofanyiwa?
ReplyDeleteNilimuona njombe kwa mara ya mwisho alikuwa anafanya utafiti kuhusu mambo ya ukimwi na watoto.kwa dalili za haraka haraka atakuwa kanyamazishwa maana alikuwa na timu ya watu waliojaa siasa za wale watu wa kijani.
ReplyDeleteKajaa tele kwa wazazi wake dar, kimsingi hakuwa mwanamapinduzi kama wengi tulivyoamini , alikuwa mganga njaa tu. Kapewa kitu kidogo amekaa kimyaaa, hakuna kesi wala kutetea madoctor. Serikali ina mkono mrefu na mpana bwana yataka moyo wa kina Mandela, Luther King, Castro nk kukataa fuba. Hamuulizi Kibanda yuko wapi pia?
ReplyDeleteYupo njoo kawe utamuona anakunywa viroba na mabebs wa ukweli. alikuwa mchumia tumbo fulani steve mzeevwa calabash.
ReplyDelete