HIZI NDIO HABARI NJEMA KUHUSU TOZO YA KODI KWA LINE ZA SIMU KUTOKA KWA JANUARY MAKAMBA

Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alivyotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia hili suala.
Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri  kuhusu kodi hii.
Kupita ukurasa wake wa facebook alipost “Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax). Asante Mheshimiwa Rais.”.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana lolote huyo

    ReplyDelete
  2. Jamani wanadamu wanapenda kuhukumu, usihukumu usije ukahukumiwa. Tena wanaopenda kuhukumu wengi hawawezi hata uongozi wa nyumbani mwao au hata kujiongoza wenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watanzania wengi ndivyo walivyo...hawana shukrani kws kidogo...mimi nilikuwa siwek vocha...mpaka nitake kujiunga naogopa kukatwa...so kwa jambo hilo twashukuru. Mdau mwenzangu tuwaelimishe hawa..
      (Mimi si ccm maana hamkawii kumwaga matusi)

      Delete
  3. Rais amesikia kilio cha wananch saf sana Kikwete

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad