Kupitia kwenye instagram Desemba 6 amepost picha ambayo ikionesha amenusurika kuumia baada ya kuondoa gari lake kwa kasi na kupelekea kugonga tanki la maji na kusababishaa ajali.
Huu ndio ujumbe wake 'dah kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando maana kila cku nasisitiza upendo na chuki zisizokua na sababu.hvii leo ni bthday yangu lakn nilikua nauvaa ukuta wakat nasogeza gar ioshwe tayar kwa maandaliz .wakat nakanyaga brk kumbe nakanyaga mafuta maskn ya mungu nimebomoa matnk ya maji yote nimepasua mabomba yote nimegonga gar nyingne but yote nikumshukuru mungu kwakua sijaumia ila prsh ilishuka kidogo but now npo ok.asante mwenyezi mungu,mungu wa wote,kimbilio la wote na wewe ndo kimbilio langu.niombeeni maskn'Aliandika Wolper
So what? ovyooooooo
ReplyDeletehizi leseni za juu ya friji nazo zina matatizo
Deletemh.shosti nawewe wamjua Mungu? kweli Mungu kimbilio la wenye shida.mnapokula raha Mungu kando.yakiwakuta ya kuwakuta ndo Mungu nyingiiiiiiiii. OLE WA KIZAZI HICHI
ReplyDeletemh.shosti nawewe wamjua Mungu? kweli Mungu kimbilio la wenye shida.mnapokula raha Mungu kando.yakiwakuta ya kuwakuta ndo Mungu nyingiiiiiiiii. OLE WA KIZAZI HICHI
ReplyDeleteLaana ya kumtelekeza dallas, baada ya kufulia imeanza kukutafuna....., malaya weww
ReplyDeleteHuyu dada kaandika ni zero aisee bitch go back to school Acha umalaya msichana akili Huna kabisa wewe wadau mtu msomi hawezi kaandika hivyo Eeeeeh aibu
ReplyDeleteMdau hapo juu nakusapoti kabisa, yaani lugha yake ya kiswahili unashindwa kuandika vitu vinavyoeleweka yaani ni tabu tupu.
ReplyDelete