Katika mwaka wa 1962 Nelson Mandela aliondoka Afrika kusini kisirisiri na kwa muda wa miezi saba alikuwa akitembelea mataifa mengi ya bara la Afrika.
Chama cha African National Congress, ambacho kilikuwa ndio kimepigwa marufuku na utawala wa ubaguzi, kilikuwa kimeanzisha mapambano ya kijeshi kupitia jeshi lake la Umkhonto we Sizwe.
Kazi ya mandela ilikuwa ni kutafuta uungwaji mkono wa hali na mali kutoka mataifa mengine ya Afrika na pia kutafuta mataifa yaliyo tayari kuwapa mafunzo ya kijeshi makurutu wake akiwemo yeye mwenyewe.
Alipata mafunzo ya kijeshi nchini Morocco, kutoka kwa wanajeshi wa Algeria waliokuwa wanatumia ardhi ya Morocco kama kituo chao kupigana dhidi ya utawala wa kikoloni wa Ufaransa.Mafunzo mengine yalifanyika Ethiopia.
Katika kuangalia safari ya maisha ya Nelson Mandela zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania katika familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu .
John Solombi aliitembelea familia hiyo iliopo Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania na kutuandalia taarifa ifuatayo.
SIKILIZA HAPA:
IMEGUNDULIKA: KABLA NELSON MANDELA HAJAFUNGWA JELA ALIISHI TANZANIA HUKO MOSHI-SIKILIZA HAPA
20
December 10, 2013
watanzania mshaanza kujipaisha! hzo habr zilikuwa wp ckuzote?
ReplyDeleteWE ULITAKAJE? WASISEME KAMA KWELI? WABONGO HAMNA UELEWA KILA KITU MNABISHA
Deletehivi kumamake wasenge nyie hamuwezi kumuongelea mtu akiwa hai mpaka msubilie afe ndo mnaanza ooh marehemu alikuwa mtu wa watu! mpenda msikitini/kanisani!! huo ni unafiki na ukafiri ulio kithr nguluwe nyie au kuna mtu kauliza ujio mandela bongo? kafirweni malaya nyie mshatuchosha na wewe anonymous wa pili ni shoga kuma wewe
ReplyDeletemi mwenyewe nashangaa leo ndo tunasikia sifa kibao za mandela hii inakera mtu mpaka afe ndo anasifiwa
DeleteWABONGO NI WAJINGA SANA….SIKU ZOOOOTE HIZI MLIKAA KIMYAAA…KAKATA ROHO TU….SASA ETI " OOH ALIWAHI KUISHI MOSHI " INGEKUA NI VIZURI MNGETOA HII HABARI WAKATI YUKO HAI ILI AULIZWE NA ASEME MWENYEWE…MSITUDANGANYE ……MSONYOOOOO!!!
ReplyDeleteSTUPID PEOPLE….
umeoona ee huu ndo utamaduni wa waafrika hata alipokufa gadafi tulisikia hivyohivyo mengi mpaka msikiti alijenga tz, sasa hizi hadith na historia kwa nn msitupe mtu akiwa hai na inakura rahisi kwenda kumuuliza na akatujibu tukapata kitu asili shwain nyie kumbe hadi kiatu aliacha bongo jamani mnakera mpaka marehemu akifa ndo mzuri why akiwa mzima mko kimya
DeleteNi kweli aliishi Moshi sehemu inaitwa rau kwa Mzee mmoja anaitwa Mzee Musa Nyari Marabaa
ReplyDeleteWe anonymous wa tatu hapo juu hatujaja umu kutukanana kuweni msitaarabu Kama wewe unaona kutukana fan nenda katukane kuku wako nyumbani ili wafurahi
ReplyDeletemi nashangaa walinyamaza a haya mambo asee sikuwahi kufahamu kama mandela alishawahi kuja Tanzania tena katika mikakati ya waafrika kujikomboa yani sasa ndo unasikia mengi kuwa mandela alikuwa rafiki mkubwa wa tanzania mbona hatukuwahi kuyasikia haya mpaka mweyewe anakufa
ReplyDeleteMandela aliwahi kuja tanzania ni kweli ila sio MOSHI NI MBEYA KWA KUPITIA TUNDUMA HABARI NDIO HIYO
ReplyDeleteKWIKWIKWI, HABARI IFUATAYO TUTASIKIA MWANAMKE MTANZANIA KAJITOKEZA AKIDAI KUZAA NA MANDELA! KWIKWIKWI
ReplyDeleteHahahahahaaaaa! umenivunja mbavu, eti alizaa na Mandela, du!nouma kweli
DeleteNa watajitokeza na watoto na wajukuu kabisa! loh watanzania kwa kushabikia wafu!!!!
ReplyDeletenaitwa juma niko mtwara eti naambiwa nafanana na mandela atakuwa babu yangu huyu mzee
ReplyDeleteusilete swaga za kilokole humu we anonymous wa nane toka juu watu washachoshwa na unafiki!
ReplyDeleter.i.p madiba
ReplyDeleteHahahaha napita tu mie
ReplyDeleteHii habari niliwahi isoma mda mrefu sana kwenye gazeti moja hivi
ReplyDeleteHuyu bibi utakuta kaja mtu enzi hizo anamfananisha na mandela
ReplyDeleteC mchezo
ReplyDelete