INADAIWA WAYNE ROONEY AMEPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE BANDIA

Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana


Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kupandikizwa nywele bandia kwenye kipara chake,hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia ya mchezaji huyo.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MANENO YA UWONGO HAYO

    ReplyDelete
  2. nywere zioteshwe kipala cha juu kufa kife kipala cha chini si majanga hayo aje huku tanga tumuanzishiye dozi ya mkuyati huwo ugogolo wa ndowa utakishwa

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu kama hicho naonaumeiishiwa cha kuposty

    ReplyDelete
  4. Acha umbulura na huyo mtoto wa pili walimpataje

    ReplyDelete
  5. nilikuwa naipenda sana hii blog, lakini sasa inaelekea na wewe admin ni mburura kwani siku za hivi karibuni unapost vitu vya kijinga na visivyo na source. kuwa makini la sivyo utapoteza viewers.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sema utapoteza readers sio viewers kwani hii ni TV? inawezekana ikawa ni side effect ya dawa alizopewa mnakataa nn? na source ni KTN Kenya . kupata mtoto haimaanishi una nguvu za kiume zilizosawa

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad