IRENE UWOYA AFUNGUKA "WANAOANDIKA UJINGA WANIKWAZE,KAMA HUNIPENDI U BETTER F**K OFF"

Hapo jana mwanadada Irene uwoya aligeuka mada ya mtandao mmoja maarufu wa kijamii baada ya kuweka picha ya mwigizaji wa marekani Vin Diesel ikiwa na maneno ya “R.I.P – Bwana ametoa na bwana ametwaa” kwa jamaa huyo kuwa amefariki kitu ambacho sio kweli na ndipo mashabiki walipoanza kumshambulia mwanadada huyo kuwa awe anafanya research na sio kupost vitu ambavyo havielewi il mradi amepost.


Chanzo nini?

Hivi majuzi wapenzi wa filamu walipata na msiba wa mwigizaji wa maarufu wa filamu ya fast and furious Paul Walker aliyefariki kwa ajali ya gari huko nchini marekani. Mwigizaji huyu alikuwa karibu sana na mwigizaji Vin Diesel ambaye aIrene uwoya aliweka picha yake kuwa amekufa na ndipo mashabiki walipomvaa kuwa aliyekufa ni Paul hivyo atumie google kufanya uchunguzi na sio kuandika mambo amabyo hayajui kama tunavyomnukuu shabiki mmoja akimchana live Irene
Clarah: JAMAN IMENBIDI NIPOST HII KITU COZ NLISHTUKA KWANZA LOH !! @ireanuwoyaonepiceintown (Jina analotumia irene kwenye mtandao huo wa kijamii)  HUYU KAKA ANAITWA VAN DIESEL NI ACTOR MKUBWA TU .HAJAFA JAMAN MAANA UMENISHTUSHA KUMPOST NA KUMWISH BWANA AMETOA NA BWANA KATWAA .JAMAN KUNA GOOGLE IMERAHISISHA MAMBO YOTE UNGEGOOGLE JINA LA PAUL WALKER SIDHAN KAMA UNGEKOSA.JAMAN TUWE MAKINI NA HIZI TAARIFA MAANA WENGNE TUNAPRESSURE.ILIBIDI NIANGALIE NEWS YOUTUBE KAMA KWELI HUYU KAFA NA KAFAJE KUMBE MWENZETU PICHA GONGANA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"""""""!!!!!!!!! @vandiesel MAY GOD GIVE U LONG YEARS TO LIVE MAANA KUNA MASNURA HUMU

Irene ajibu

Baada ya comment za mashabiki hao kuwa nyingi ndipo Irene alioamua kuitoa picha hiyo na baadaye kuwapa makavu wote waliomponda kwa kuandika ujumbe huu…
Irene uwoya: Hiii msg nikwawale wapumbavu wanao andika ujinga ili wanikwaze....maana kuna mijitu haijui nimeandika vile coz yule nimtu wake wakaribu na ninampenda ndomana nime post....ila ile mijitu isio na akili inavamia tuuu....kwanza kama unaona unipend na unikubali u better f#k off...sihitaji mijitu miswahili humu...nataka watu wenye upeo na adabu....nadhan mnajijua na mme nisoma....mi siogop mtuuu....nakama itakuuma kunywa sumu ufe

Mashabiki wagoma kumuelewa, wazidi kumpa makavu zaidi

ROGER: Kubali tu ulikosea mama yaishe.... maana mi naweza nikakuambia Irene R.I.P... kisa Kanumba Kafa... kuwa mtu wa Karibu haimaanishi ndo umwambie yeye arest in peace na kuweka picha yake kabisa

Levyl: Sasa kwann kaitoa c angeaacha kama yuko ryte

MrslucaS: Umebugi kubali tuu pyeee

Dorryjacob:  Swry hakuna anayekuchukia tatizo ulikosea na binadamu hukose..ww ulipost hyo pic ukijua ni paul kumbe ni vian so mbona rahic tu, ungesema umekose tatizo hutaki kushindwa kumbe kuna watu pia humu pamoja kwamba si masuper star bt nao ni vichwa hawakubali mbona ni simple like dat..na ndio maana umeitoa hyo pic maana na ww umejua umekose! Na pia anamafans zake wanaompenda so hawafurah ulivyomtabiria kifo..pole mummy kama umekwazika

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amevurugwa alafu anajishau kupanic hahahaha pole nobody z perfect unge kubaridi kukosolewa ila tatizo lako too much know yet u know nothing grow up mama krishhhhhhhhh kiruuuuu aka mpanda namia

    ReplyDelete
  2. Kachemsha mtu mwenyewe hakusoma kichwa maji hicho anachojua ni umalaya tu nyoko zakooo

    ReplyDelete
  3. Unajuwa wa bongo wengi nimabuly! Wanaweza kumbuli mtu mpaka ukachanganyikiwa...lol
    Pole sana Irene, umesha jielezea inatosha. Hahaha

    ReplyDelete
  4. Wanakuonea wivu kwan wabongo ndo walivyo

    ReplyDelete
  5. Nani anamwonea wivu we anonymous hapo juu?akikosea asiambiwe ukweli?

    ReplyDelete
  6. Hmmm jamani sasa hapo kuna cha wivu kweli? Au neno wivu lina maana nyingine?

    ReplyDelete
  7. Halafu huyu dada hata shule ya msingi alikua hazingatii maandishi? Unasemaje 'unipendi" "unikubali"!!hawa wasanii wetu sijui ndio urembaji huo?

    ReplyDelete
  8. Halafu huyu dada hata shule ya msingi alikua hazingatii maandishi? Unasemaje 'unipendi" "unikubali"!!hawa wasanii wetu sijui ndio urembaji huo?

    ReplyDelete
  9. Unachoniboa ni unavyopenda kuliwa tigo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata akiliwa c yke wataka uliwe wewe 2 kila cku nyoooo!!!manina zko

      Delete
  10. Irene""" una Adabu kbs!! Sikupendi' hv ukiamua kuuza nyanya sokoni si utapata neema? Uliwekwa kinyumba na johari hapa Arusha! Na watu Wa mawe Kama mwezi umepita ukawa unatoa tigo kwa ZAmu!! Ndo maana nasema sikupendi!! Wewe Ni mbwa!!

    ReplyDelete
  11. Hahaaaa eti karudiana na Ndiku huyu dada Malaya tu hafugiki kaz kujiona mjanja hana lolote ndo maana ukambambikizia ndiku mtoto wa dude

    ReplyDelete
  12. I hate you!!! Hv Unao Wazazi???

    ReplyDelete
  13. Lione lilivyokaa kwenye Picha limezoea kutoa Tigo!!! Satan!!

    ReplyDelete
  14. vidudu vimeanza kumla akili dada ye2

    ReplyDelete
  15. Wote mamburula tuuu.weu nyie hamna kaz za kufanya pumbv sn

    ReplyDelete
  16. Heee Jamani camera 360 ukizitumia kupiga picha zinatoka sooo cute,nimewaona kina penny mke wa domo live na shoga zake kina lulu kanumba Hawako Kama vile tunavyoziona picha zao kwenye instagram duuu Asante camera 360 Kwa kutuongezea urembo wa ziada.

    ReplyDelete
  17. acheni ujinga vidudu gani vinavyomla hadi akiri irene c muweke wazi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad