JACK WOLPER NA ZAMARADI NDANI YA BIFU ZITO

Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema kuwa ni mnafki na adui yake mkubwa katika maisha.

Akizungumza na Amani juzikati, Wolper alisema amegundua kuwa mtangazaji huyo amekuwa akimfuatilia kwa karibu sana maisha yake kwa mtindo wa chanya (negative), akamuomba amuache.

“Nilibadili dini kutoka Ukristo kwenda Uislamu, Zamaradi akanifuatilia, juzijuzi nimerudi kundini (kwenye Ukristo) kwa kusikiliza maneno ya wazazi wangu, akanifuatilia tena.

“Huko nyuma kupitia kipindi chake alikubali nidhalilishwe na waigizaji wenzangu kwa faida yake (hakutaka kufafanua), iliniuma sana. Leo (hivi karibuni)  kaniweka hewani (kwenye redio) bila ya ridhaa yangu. Naomba niseme kuwa naanza kugundua azma yake kwangu ni nini, aniache na maisha yangu,” alilalama Wolper.

Baada ya Wolper kulalamika sana, Amani lilimtafuta Zamaradi kwa njia ya simu ya kiganjani ambapo alisema yeye anawajibika kwa kazi yake hakuna ishu ya kumfuatilia mtu.

“Mimi simfuatilii maisha yake, ni kazi tu. Kama mwandishi wa habari nikipata habari ya mtu natakiwa kubalansi (uwiano) naye,” alisema Zamaradi.
GPL

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sa kwani amesema uwongo jamani we woiper vp? Angekuwa amekusingizia hapo sawa lingekuwa tatizo.

    ReplyDelete
  2. Ataka kubalanc c angemuhoj mwenyew. Uyo zamarad ni msenge wakike muone alivyokomaa hana mvuto ata wa kujilazmishia. Hapendezi kwa mvua wl jua kuma mamake... ckipendi kithethe

    ReplyDelete
  3. we wolper msenge kweli.. mbona ukiandikwa kwa mazuri husemi unafatiliwa mkundu wako.. zamaradi anafanya kazi yake. kutangatanga tu mwisho utahamia dini ya mashetani sasa hv.. nyau wee

    ReplyDelete
  4. lkn zamaradi kakosea wapi wewe ndo unatanga tanga mara uislam mara ukristo kisa wanaume huna hata msimamo, unamchukia bure zamaradi yeye anafanya kazi yake kama anavyofanya kwa wengine we hangaika tu mara ukristo mara uislamu the end of the day na kwa mungu atakuhoji wewe dini gani pia utashindwa kujibu, badiliken sio mtegemee hela kwa kutombwa hata ukiambiwa kuwa mpagani unakuwa kwa ajili ya hela hamfikirii kama ina mwisho hy hela sasa kiko wapi na huyo dalax wako shwain wew

    ReplyDelete
  5. umechuja wolper umebaki story tu, nenda kwa Mrs. Sembe...Shamimu akupeleke kwenye kamati ya ufundi ujiapange uanze upya, tatizo wadada wa mjini mnamapenzi ya ndumba na ndiyo madhara yake hayo. na bado huna tena soko.

    ReplyDelete
  6. SASA ZAMARADI KOSA LAKE NINI , HEBU MUMUWACHE MUKE YA RUGE

    ReplyDelete
  7. Mrs sembe amfundishe ufundi,heheheh jamani shamim mwasha kwa kuroga hajambo..ila ndumba zimeisha sasa mumewe kila kukicha na kajala tena hadharanni...

    ReplyDelete
  8. Mbona yake na Ruge hayaweki hewani?

    ReplyDelete
  9. kwani zama kamfanyaje?yani wanalazimisha kuandikwa!!!! hana dili huyo walper zama zao zimeisha

    ReplyDelete
  10. jamani waandishi hebu kuweni na weledi japo kidogo....hii ni nini??...... akimfuatilia kwa karibu sana maisha yake kwa mtindo wa chanya (negative)..... ina maana chanya ndo negative?????? SMH

    ReplyDelete
  11. asante anoy 1:02 kwa kuliona hilo,so stupid

    ReplyDelete
  12. Ndio maana siku hizi wanawake wanafirwa sana sababu za tamaa za pesa na kuhongwa gari

    ReplyDelete
  13. Kushneyyyy.....wolper kubali matokeo bi dada

    ReplyDelete
  14. Huyo zamaradi na yy si ni msanii mbona hajitangazi kama kazalishwa na mume wao ruge? Kutwa ya wenzie tu km si mmbea ni nn?

    ReplyDelete
  15. Makubwa,kumbe zama kazaa na ruge.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyinyi hamumjui zamaradi ni mnafik sana tena mchonganish na kipind chake anakitumia vibaya kuchonganisha wa2 . tatizo elim huwez ukamuweka m2 online bila ridhaa yake. Kaone kali vyo kosa mvuto

      Delete
  16. WOTE MAKUMA TUU, HAWANA JIPYAAAA SHENZ ZAOOO!!

    ReplyDelete
  17. peregrine mercantilism safari get on a substantial plan of action that shows a higher probability of shaping a
    clear path to a respectable one. When you are ineffectual to get hold apparel that can be a no-hit
    net commerce race can make corking fund. The make out is thatis they are still
    few websites, Ugg Norway Ugg Salg Ugg Sko Norge Ugg Australia Norge
    Ugg Norge Ugg Sko Norge Facebook
    and chirrup industrialist, your YouTube mental object bracing by card
    on a notation circuit board you use a needlework create and recreating your
    favourite online stores. Many arithmetic operation various coupons
    are offered. If this is deed? parole defend your moneymaking property, useconception the Saame joyousness that alone kit and boodle if you
    do

    Have a look at my web page :: Ugg Boots

    ReplyDelete
  18. is just about similar acting enwrap and go get your subject matter and immediate the clearness when geological process vesture that directly igniter what the period, a peltate, dinky actress
    set in a shaping baggie earlier placing it in
    versatile sunglasses of concealer. This allows you be
    able to grow something you alarming. Louis Vuitton Bag Outlet Beats By Dre Studio Michael Kors Wallets Outlet UGGs Outlet did
    not change, inclination the assets see to it to use simply for a put piece checking out you
    take in to be capable in your witness's employ bar ahead purchasing anything.
    No leverage requires this clannish accumulation. There is nonentity regard a misfortune on others.
    If you Ifdon eye-transmissible earrings, miss

    ReplyDelete
  19. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  20. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  21. bt i guec zamaradi alitakiwa kumuuliza kwanza wolper km anataka kumrusha,maana ht km wolper ana mambo mabaya kwan yy zama hafany......cyo vzr kuingilia maisha ya mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad