KAJALA AKWEPA TENA GEREZA AREJEA URAIANI

Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Chanzo GPL

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani camera 360 ni mtambo ukiitumia ukatundika picha instagram unatokeleza Kama malaika,kuna siku nimewaona lulu jela jela na penny domo platinum yani ni wakawaidaaaa,nikajiuliza hawa ndio wanatundikaga Mapicha instagram sura nzuri nyororo,kumbeee sivyo ni camera 360,Duuuu nami nitaitafuta camera 360.

    ReplyDelete
  2. We ulikuwa hujui?mi Nafanya kazi na penny picha anazotundika instagram na penny tunayefanya nae kaziumu ni vitu viwili tofauti hayo Ndo Mambo ya camera 360.

    ReplyDelete
  3. Maza sembe hata kuacha hivi hivi mdada.

    ReplyDelete
  4. Mbona mnamshupalia anatembea nae?mlishikia mguu wakati mboo unapenya?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msimpomze dada wa watu akafanyiwa ushirikina buree maana Yule dada hanaga Mungu.

      Delete
    2. Chezea Abdul Nsembo aka Mr Sembe!Kundi zima lakina Shamim linamcheka Shamim kwa kuolewa na muuza unga maarufu.Tamaa hizi janani!Shamim ulikuwa unamaisha yako mazuri ns ulikuwa my role mode na ulikuwa ni public figure sijui tamaa ipi hiyo mpaka ukang'ang'ania kuolewa na serengeti boy anayetafuta maisha kwa short cut kszi kuwabebesha unga watoto wa wenzenu .Pole sana Shamim huyo kume ni wa wote wasichana wa mjini.

      Delete
    3. Maskin Shamim huna hata nuru tena.Unaonekana kabisa ni mtu mwenye mawazo mengi.Unajuta kweli sema ndio unajikaza kisabuni.

      Delete
    4. Maskin Shamim huna hata nuru tena.Unaonekana kabisa ni mtu mwenye mawazo mengi.Unajuta kweli sema ndio unajikaza kisabuni.

      Delete
  5. ndo raha ya kua anonymous unafunguka unavotaka haya jaman wengne bdo tupo shimoni huyo shamim ni shamim the blogger?tupeni tupeni jaman kizuri mpe na mwenzio aleeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. na ndo ana mimba sasa mtajibeba

      Delete
    2. Ndio Shamim ze blogger yaani watu tunaomjua tunaumia mpaka basi.Shamim ulikuwa na jina kubwa ktk jamii na ulikuwa unaheshimika.Sasa hivi umepoteza mwelekeo wako wote.Wauza unga sio watu mama ipo siku vijana anaiwatumis watakamatwa na watamtaja mumeo
      KWANZA ABDUL HATA HAMUENDANI HATA KIDOGO.MDOGO KWAKO,KIJANA SANA,HANA DIRA YOTOTE ZAIDI YA UMISHEN TOWN TU.POLE SANA SHAMIM SHOGA ZAKO WANAKUSEMA VIBAYA MNO MNO MNO MNO.

      Delete
  6. Jaman shamimu alikiuwa anamaisha mazur na mme wake mwasha mwanaume alikuwa anakupenda,anakujali na kukueshimu jamani sisi wanawake bwana kama vipofu vile ukapenda ela sana kuliko utu haya sembe anakutesa anakuchanganya na wanawake wa mjini wakina kajala haya rudi kwa mganga wako ukamroge tena mwambie ile dawa uliyonipa aijafanya kaz nahivi unamimba lmao

    ReplyDelete
  7. Hahaha kajala kula raha mama maisha yenyewe mafupi mrs sembe awezi mroga kajala wewe kajala yupo gado ww waganga wote anawajua haha mapenzi ya kulogana bwana wanaume wanashida mtarogwa nyie mpaka mkome tulieni na wake zenu mkifilisika mnaludi kwawake zenu lol

    ReplyDelete
  8. shamimu we hapo chuna hela tu hapo mume huna, mi nakuaminia maana ni mjasiliamali mzuri tengeneza maisha yako, kama jela hataenda yeye na unga wake, mbona kajala anatesa uraiani mumewe yupo jela, changamsha akili achana kuonyeshana kuvaa vizuri siju magari, nunua maviwanja na kuvijenga ndio mpango mzima.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad