Mapenzi ni kitu kingine kabisa chali yangu usisikia mtu kaji Ufosaroo aka kujiua na Bastola ukadhani ni uchizi tu ..hiyo tunaita ni dhuluma ya penzi...Inauma sana jamani..
Unakuta upo mapenzini na Binti unampenda kupindukia na yeye unaona anakupenda unamfanyia kila kitu unamtoa katika hali fulani na kumpeleka katika daraja fulani kwa mfano unamsomesha mpaka anapata degree ukitegemea labda akimaliza mtaoana na kusaidiana maisha lakini pindi anapomaliza tu na kupata kazi nzuri anaanza kukuonyesha madharau na kuanza kutoka na watu wengine ,,wewe unakuwa Fala tu tena Boyaaa la kutupwa ....Embu niambie hapo utachukua hatua gani?
Hapo una jinsi unamtia gun tu maana ata akiendelea kuwepo unakuwa unaumia tu bora ummalize tu
ReplyDeletemapenzi sio mali sio magauni uliyonunua, mtenganisha kati ya mapenzi na matunzo mapenzi hayapimwi na matunzo uliyompa mwanamke mapenzi ni makubaliano baina ya mioyo miwili hata umpe mwanamke nyumba na gari kama roho yako haijitoi kimapenzi kwake unajisumbua kaka tena mko wengi wa dezaini hii utasikia ninampa kila kitu anachotaka kaka anachotaka mwanamke ni wewe tu hakuna jingine hivi hao wakijijini mnasikia wanaishi miaka 50 ya ndoa mpaka wanazikana kwenye nyumba za udongo mnafikiri kwa nini waliishi miaka yote hiyo ni mapenzi na makubaliano acheni zenu za joto hasira
Deletebibi zetu hawakuwa na tabia ya kuwatapeli babu zetu visent vyao kwa gia ya mapenzi kama mnavofanya ninyi ck hizi,inaonekana na wewe una hako katabia,kama mwanaume hujamenda kwanini ule hela zake? Nakulipua tu.
Deletemimi nikimwona mwanaume anamsomesha mwanamke hua naksirika sana maana huwa naami kilio kinakuja badae dawa yao ni kuwalipua tu
ReplyDeleteunamsomesha wewe baba yake? hapo ndio wanaume mnajiingiza kwenye majukumu yasiyowahusu halafu mnalalamika nini? kumsomesha mtu sio kipimo cha mapenzi hicho ni kipimo cha utu wa binadamu muwe mnatofautisha penzi na msaada hata wamarekani wanatupa msaada lakini hawajalalamika kutuoa
Deleteunajua kitu kinacho mwumiza zaidi mwanaume anakuwa amwedhulumiwa vitu 2,amedhulumiwa pesa na penzi,ila dada zetu wanadhulumiwa kitu kimoja tu,penzi,,,kwaiyo mwanaume ni rahis kumlipua
ReplyDeleteukishamlipua unapata faida gani? utaishia kuozea kaburini au jela faida iko wapi? kama mtu hakutaki lala mbele inauma kwa muda wa miezi baadae unapata mwingine unasahau yule unadunda na maisha yako mapenzi sio vita ya Afganistani nyie wanaume mbona akili zenu finyu? ndio maana hata taifa haliendelei kisa wanaume wako busy kuwaza kulipua mwanamke kwa bunduki igeni mfano wa wenzenu nchi zilizoendelea maendeleo ya nchi yako mbele wanaume wako busy kufanya kazi nyie mmekalia ulalamishi tu mngekua na pesa kama za wazungu nyie ingekuaje
DeleteLaana za utapeli ndio zinawasambua angalau wewe ni muelewa
DeleteMPAKA UMSOMESHE DEMU AMBAE SI MKEO KWENU HUNA WATU WA KUWASOMESHA AU NDO KUTAFUTA MISIFA AU UNAJIPA U LOAN BOARD USIOKUA NAO? SERIKALI YENYEWE ELIMU YA JUU HAITOI BURE WEWE UNAJIFANYA MSAMALIA KWA MADEMU WA KIAFRIKA HASA WABONGO, MADEMU WA HIVYO DAWA YAO KUWATIA VILEMA VYA MAISHA TENA KIMYA KIMYA.
ReplyDeleteWanawake wa bukutatu tatu wapo sana kwanini kuwekeza kwa mwanamke halafu baadae akuletee karaha
DeleteJamani tambueni mapenzi yalikua zaman ila sasa hivi mapenzi ni sanaa wenye mapenzi ya kweli ni wachache sasa sisi wanaume tukilitambua hilo haina haja ya kusomesha kama hela inakuwasha vituo vinavyolea watoto wanaoishi katika mazingila magumu wako wengi katoe upate swawab. Na kwa upande wa pili wanaume tumetofautiana ujasili kwa wanawake zetu kuna wanaume wengine akipata demu hawezi kukataa hata ambiwe chochote na demu yeye atafanya hata kama kina madhara so hiyo ni tabia ya mtu, huo unakua ni udhaifu aliozaliwa nao kwa hiyo mtu kama huyu akipata mwanamke anaweza akamsomesha akamgaramia sio kwaridhaa yake ila kwa sababu ni mdhaifu hatuwezi kumcheka ila tuwape pole
ReplyDeleteUdongo na chuma haviwezi kushikamana kamwe. Lazima ukivishakamanisha vitaachia.
ReplyDeleteWewe ulioandika hii mada ni ndugu au rafiki yake GABBY. Hapo ulipo unajua gabby hana hela yakumsomesha mwanamke. Unatambua vizuri sana kwamba x alikua anajisomesha. Gabby alivio jaribu kujiuwa mara 2 tatizo ilikua nini? Mwanza yote inasema ukweli kwamba hela za laana alizozitapeli ndio zimemaliza chezea hela ya laana wewe. Unatambua sana hapo juu kwamba kafa na madeni. Gabby wenu alikua chizi hasa kama hana hata senti mfukoni. Hebu semeni ukweli mwanza yote kwanini wanawake wanamuokopa? Wanashangaa sana watu mnavio danganyika kwamba kasomesha mwanamke hana ubavu wakusomesha yule. Mbona alisema gari la marehemu lake kamhonga x. Mtasemaje hapo yani bado hamjapata picha tu
ReplyDeleteInaumiza sana kwamba kutaka kujiuwa akatafuta kasababu na kuuwa watu wasio na hatia hata angemuuwa x alikua hana hatia. Alimuacha na kumsisitia kwamba aende merembe kutokana na ukatili wake na ukichaa wake. FAMILIA YAKE INATAMBUA SANA HILO. Kama aliweza kumpiga x mbele ya baba na mama na wakanyamaza hiyo inakufundisha nini? Kama watu wanaviosema hela za laana zimemaliza. Imagine utapeli 150 m alafu hujafanya kitu chochote lazima uwe chizi. Alaf udanganye watu nimesomesha. Nimehonga ngari. WAPI WEWE. Go to helll.
ReplyDeleteMsiojua ukweli ndio mnashadidia ujinga. Kawaulizeni majirani zake gabby alikua mtu wa aina gani watawaambia. Ila mnajaribu kumchafulia x tu na aibu ina wasuta
ReplyDeletedawa ni kuua tu
ReplyDelete