KWA WANAUME TU-UNAPENDA MWANAMKE GANI KATI YA HAWA HAPA CHINI?

Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?

1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?
3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?
4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.

Mimi binafsi napendelea sana No 2. Unajua mwanamke akinipa tabu sana siku ya kuja kumpata ntamthamini zaidi na ndio atakuwa mwepesi kwa mimi kutangaza ndoa kwake. 
Wa aina hii ananipa matumaini ndani ya moyo kwamba anayejaribu kumchukua kwangu naye itabidi apitie tabu niliyopitia mimi.
By Maskni Wa Akili
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli we maskini wa akili kama ujiitavyo.

    ReplyDelete
  2. Mie napenda Maharage ya Mbeya...Maji mara moja hana makuu, huyu No2 na No1 hawana lolote kwanza washatafuta Mapedeshee wakiona market ishakwisha ndio watakuja kwako. lakini Maharage mbeya alipokuona tu akakupenda ..sasa kama hamuamini fanyeni utafiti.

    ReplyDelete
  3. Its all abt love. When u get to knw this hutajua huo upumbavu wako hapo juu

    ReplyDelete
  4. Its all abt love. When u get to knw this hutajua huo upumbavu wako hapo juu

    ReplyDelete
  5. hii nchi itaendelea kweli? wanaume wetu brain mgando mmeganda kwa wanawake tu kmnashinda kuchambua wanawake magazeti yote wanamama mindaoni wanawake wanawake wanatawala maisha yenu mara wanakuma kama bahari mara ukitongoza mara mwanamke hivi nyie wanaume nchi hii hata barabara za kwenda vijijini hakuna ferry lakuvusha watu kwenda kigamboni la mwaka 47 linataka kuua watu nyie vichwa vya samaki habari hamna energy yote mmeipeleka kwenye kuma na mkipewa kuma zenyewe hata kutomba hamuwezi, wazee wa vibamia hebu acheni ujinga kuna topic nyingi za kupeleka nguvu zenu watoto hawasomeshwi shule, wanaume wenzenu wanakula nchi hamuendi kuwatoa baruti macho yanaona kuma tu pumbavu zenu tuondoleeni ujinga hapa kafanyeni kazi za kutumia akili huko kutomba hamuwezi hata kuleta maendeleo ya nchi nako mshindwe?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa kweli umezungumza ukweli mtupu. Mwenye akili ataona.

      Delete
    2. Ameen mdau unapoint sana mintandao imegeuka kitchen party wazungu wenzetu wanaitumia kuongelea mambo ya maana wabongo ni ngono kwa kwenda mbele mapicha ya utupu utayakuta humo waliofumaniwa uzushi mwingi inakera wabongo tubadilike mnatia aibu

      Delete
  6. Hahahaha mdau hapo juu umenifuraisha saaana ndugu yangu, ubarikiwe sana. Yani kutwa kucha wanazungumzia ngono... Hatari sana

    ReplyDelete
  7. Ni kweli watu wanawaza ngono tuu tutaendelea? Kizazi cha ngono c wanawake wala wanaume wote sasa hivi mwanamke hawezi kutulia na mwanaume mmoja na mwanaume hawezi kutulia na mwanamke mmoja tunakwenda wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah!! Inauma sana kwa kweli.

      Delete
  8. Nani anaweza kuthibitisha ama kukanusha hizi tetesi zilizoenea mtaani kwamba Mwigulu Nchemba ameinunua Global Publishers inayochapisha magazeti pendwa ya Ijumaa Weekenda,Risasi nk.nk?

    ReplyDelete
  9. U need prayers Maskini wa Akili na Mgonjwa wa ubingo wewe

    ReplyDelete
  10. Shetani kakutawala wewe

    ReplyDelete
  11. Tukajiliwaze wapi? bia bei juu kila bajeti ya mwaka! nchi ishauzwa hii, viongozi wanawarithisha wanawao, basi sisi wanyonge starehe yetu mbunye, maharage ya mbeya mko juu ijapokuwa munatuua!

    ReplyDelete
  12. kwa mgns kama mm cjaona sifa enye kusumbua mind angu hapo!!!!!! ushenzi mtupu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad