LIVE KUTOKA KIGOMA,DR.SLAA APAMBANA NA MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA


Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata kwenye kwenye Maandamano Makubwa ni hiki wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.
Mods tunaomba postive na Negative Pictures anachokutana nacho Dr.slaa ziruhusiwe hapa Jukwaani,naona watu wamekaa kusifiana tu hapa.Ukweli ni Kwamba Dr.slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma.Picha zingine zitakuja na saambili Usiku ITV,TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr.slaa.

ASANTE

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa lakini chadema haiwezi kupotea

    ReplyDelete
  2. ha ha ipotee mara ngap tena

    ReplyDelete
  3. Mi nilijua tu Waha hawawezi kumuangusha Zito. Slaa mmeshachemka, na sasa angalieni sana msisababishe mauaji kwenye mikutano huenda mkapotea likabaki jina tu.

    ReplyDelete
  4. kwenye ukweli uwongo ujitenga

    ReplyDelete
  5. Sawa chama imara lazima kiwe na viongozi shupavu,ni mpito wa wachache,,jueni peoples power

    ReplyDelete
  6. ni wakati wa kujitathimini mbowe na slaa

    ReplyDelete
  7. MASKINI! NDO BASI TENA, WANATIA HURUMA WAZEE WA MAGWANDA.

    ReplyDelete
  8. Loh siasa Ni mchezo mchafu Chadema imesambaratishwa hivihivi kwa hali hii CCM itatawala miaka mia

    ReplyDelete
  9. wewe slaa tulia huko kgm hawakutaki kwani unachokitafuta huko kigoma nikusababisha maafa2.

    ReplyDelete
  10. Chadema msilete fujo kigoma,then mlete maafa,kuwen makin sana kutafuta kura(kula) kwenu kusilete shida kwa wengne,,,,,,you know,mwl Nyerere once said that,multiparty politics is a tool for division,tokeni kigoma mrudi kwenu

    ReplyDelete
  11. Tuliambiwa kanisani ni chama chetu wakristo na tukiingia madarakani tuwakomeshe waislamu

    ReplyDelete
  12. Slaa kwani umetumwa na nani kuichafua tanzania kwa maslai ya wachache juzi tu umemzalilisha kiongozi wa vijana leo unaenda kwao kuonesha we ni kidume angalia unatumika vibaya watakuponza hao wanaokutumia rudi kanisan mungu anakuitaji huko akukufai pesa ina mwisho itakuponza

    ReplyDelete
  13. chadema itazid kuimarika slaa jembe

    ReplyDelete
    Replies
    1. eti inazid kuimarika,hahahahahahaaaaa nahisi coment zingine zinatumwa na misukule

      Delete
  14. ndio walivyo hao maandamano hawafanyi kilimanjaro wanataka watoto wa wenzao ndio wapigwe mabomu,hawa jamaa makabira sana hawa

    ReplyDelete
  15. aya tuone vijana mavyuoni mnalipiwa wakina wenzangu na mm ukiambiwa m 3 kudadadeki zipo au jeuri tu kama ufisadi umepata nafasi soma nawe uje kuwa fisadi.ww na elimu ya kubaba isha atakupa kazi nan.chadema ni genge la wezi wa kichaga tu.

    ReplyDelete
  16. magwanda huu ni mwanzo tu, mtakiona cha mtema kuni 2015 na ukabila/ukanda ndiyo maana hata marealle alipokwenda UNO kudai uhuru wa kikanda walimtimua na hichi ndiyo mnachokionyesha, lakini tunawangoja tu 2015.

    ReplyDelete
  17. Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chadema mmeishiwa sela we umeibiwa nini bwana kazi kufuata mkumbo tu na 2015 mtaipenda wazee wa miongozo huu mwanzo tu adi kufikia mwezi wa sita mwakani mmebaki washabiki tu ambao ata kujiandikisha kupiga kura hamjaenda uchungu wa mwana anaujua mzazi mama

      Delete
  18. Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

    ReplyDelete
  19. 1. Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui

    ReplyDelete
  20. slaa una kiherehere sana kwani hamna sehemu nyingine za kufanyia ziara mpaka uende kigoma ulikoharibu? ndo unajifanya kidume sana au una sasa ulivyodhalilika ba bado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. safi sana kwa wanakg wote kwa kutomlaki vema slaa, me mwenyewe simuelewielewi

      Delete
  21. kiukweli slaa humuwezi zitto kwa hoja, uwezo aliokuwa nao zitto peke yake ni muunganiko wa nguvu zenu nyote mliobakia chadema na kama hauamini angalia mpaka tunafunga mwaka wafuasi wangapi watakuwa wamemfuata ZITTO JEMBEE!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad