LULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO
17
December 19, 2013
SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito.
Lulu alikaa Gereza la Segerea kwa takribani miezi kumi baada ya kutokea kifo cha aliyekuwa mwandani wake, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’ aliyefariki dunia Aprili 7, 2012.
Nyota huyo wa Filamu ya Foolish Age alifunguka mambo ya kushangaza hivi karibuni juu ya tukio hilo kupitia Kipindi cha Take-One, kinachorushwa na Clouds TV.
TATIZO FOOLISH AGE
Lulu alikuwa akizungumzia filamu yake hiyo ya Foolish Age ambapo alisema sinema hiyo inawasihi wasichana ambao wanapitia kipindi cha balehe ambacho ni hatari sana kwao.
“Kwa kweli kipindi cha foolish age ni cha hatari sana, nilicheza filamu hiyo ili kuwaasa wasichana wenzangu.
“Asikwambie mtu, mimi mwenyewe nilikokuwa nikielekea si kuzuri kabisa.
KAMA SIYO KANUMBA
“Ukweli ni kwamba kama siyo matatizo (kifo cha Kanumba) nikaenda mahabusu sijui ingekuwaje sasa hivi. Kukaa jela kulinisaidia kusitisha kasi ya tabia yangu, nikatoka nikiwa mpya.
“Yangenikuta mazito zaidi maana kipindi kile ilikuwa hatari tupu,” alisema Lulu ambaye ni mrembo wa haja.
Staa huyo aliongeza kuwa kipindi hicho kilikuwa cha hatari na hakitamani kijirudie hata kidogo katika maisha yake.
Alisema kwamba si ajabu inawezekana kipindi hicho ndicho kilisababisha matatizo yote yaliyomkuta. Alisema alikuwa akielekea kubaya.
HATAKI KIJIRUDIE
“Ni kipindi ambacho siwezi kukuhitaji tena katika maisha yangu si kizuri na kinatisha maana kuna wakati nilikuwa sisikii la mtu yeyote hata mama yangu mzazi,” alisema Lulu ambaye baada ya kutoka mahabusu haonekani akirandaranda mjini kama zamani.
Kabla ya utulivu huo alioupata nyuma ya nondo, Lulu alikuwa hakauki kwenye kumbi za usiku za starehe huku akilewa tilalila na kuyaweka maisha yake hatarini endapo angefanyiwa kitu mbaya.
Lulu alihusishwa na kifo cha Kanumba kwa kuwa siku ya tukio alidaiwa kuwa naye eneo la tukio ambapo alikamatwa na baadaye kuachiwa kwa dhamana akisubiri kesi ya kuua bila kukusudia.
SKENDO MPYA
Wakati hayo hayajapoa kumeibuka skendo mpya inayomgusa staa huyo mkubwa Bongo.
Madai mazito yameshushwa na wafuatiliaji wa mambo ya watu kuwa nyuma ya mwanadada huyo anayeng’ara kuna mbunge maarufu anayemiliki jimbo kwa kura za wananchi jijini Dar (tutamtaja baadaye).
ILIKUWA HIVI
Sosi: Hivi ninyi Global siku hizi hamuandiki skendo za mastaa?
Global: Tunaandika sana kwani vipi?
Sosi: Mna habari?
Global: Tunazo nyingi fuatilia magazeti yetu lakini ukitupatia ya kwako tutairusha hewani.
Sosi: Sasa mimi nina habari yangu.
Global: Inakuhusu wewe? Funguka.
Sosi: Hainihusu mimi. Ni ya ‘Kalulu Kadogo’.
Global: Siku hizi amekua, sema Lulu inatosha. Eeh... hiyo habari ikoje?
Sosi: Kwa taarifa yenu siku hizi anatoka na mbunge (anamtaja). Ndiye kamnunulia lile gari analokatiza nalo mjini na kampangishia bonge la mjengo kule Tegeta (Dar). Fuatilieni kwa watu wake wa karibu, naombeni msinitaje.
Global: Hatuwezi kukutaja ngoja tuzame mzigoni.
Gazeti hili lilifanya uchunguzi wake kwa watu wa karibu wa Lulu na kubaini kuwa ni kweli kwa sasa staa huyo amehama Tabata alikokuwa akiishi na mama yake, Lucresia Karugila na kuhamia kwenye bonge la mjengo Tegeta huku akisukuma gari kali (aina haikujulikana mara moja).
Madai mengine yalisema kwamba mke wa mbunge huyo alishamtafuta Lulu na kumuonya kuachana na mume wake
LULU AFYATUKA
Baada ya kujiridhisha kuwepo madai hayo, juzi gazeti hili lilimtafuta Lulu na kumsomea mashitaka yake mwanzo hadi mwisho ambapo alifyatuka:
“Hivi ni nani anayeleta habari zangu Global? Analipwa na nani? Maana kila kukicha unasikia hili, halijapoa unasikia lingine.
“Si kweli kwamba natembea na huyo mbunge. Kwanza sina mazoea naye. Nakumbuka nilimuona mara moja tu sikumbuki ilikuwa kwenye shughuli gani.
“Huyo mkewe mimi simjui anafananaje. Nasema huko ni kuchafuana kusikokuwa na maana.”
VIPI KUHUSU KUPANGISHIWA NYUMBA?
“Ni kweli nimehamia Tegeta lakini sijapangishiwa, nimepanga mwenyewe. Hivi nikifanya jambo lazima iwe kuna mwanaume? Watu waache hizo. Wabadilike.”
VIPI KUHUSU GARI?
“Gari ninalo muda mrefu nimenunua kwa fedha yangu. Halina mkono wa mbunge, ni jasho langu.”
Kabla ya kuwekwa mahabusu, Lulu aliwahi kudaiwa kuhongwa nyumba na mbunge mwenye kitambi kikubwa, ishu hiyo aliikanusha kwa nguvu zote.
Imeandikwa na Imelda Mtema na Musa Mateja.
Gpl
Tags
Lulu malaya sana dah
ReplyDeleteKwa kipato kipi nyooo muuza kuma wewe
ReplyDeletekazi kweli kweli kusema kubadilika sijui kama umebadilika maana bado unaonekana ukitega mingo, ulituulia staa wetu wa ukwee ndo basi tena bongo move imekuwa doloooooo, rest in peace kanumba
ReplyDeleteKumamake zake
ReplyDeleteTumekuchoka wewe Lulu, hebu tulia basi. Hivi hukomi tu, ulitakiwa uwe mpole sasa angalau jamii ikuchukulie wewe nae ni mtu safi. Hivi unawazazi wewe kweli? mbona umalaya umekuzidi tofauti na umri wako. nilikuwa shabiki yako ila siku hizi sikupendi kama nini, Malaya mchafu we.
ReplyDeleteHahahaha lulu katisha eti nyumba na gari ni jasho lake kwakazi gan haswa jaman
ReplyDeleteHahahaha lulu katisha eti nyumba na gari ni jasho lake kwakazi gan haswa jaman
ReplyDeleteAcheni ahongwe tu si maisha Alochagua au mnataka mhongwe nyinyi????
ReplyDeleteKILA MTU NA IFE LAKE KOMAA MAMA
ReplyDeleteBora ungekua segerea2 uwe unatiwa na maafande, tumekuchokaje????!!!
ReplyDeleteWewe mwandishi acha kupamba ati lulu mrembo wa haja, looh haja kubwa labda. Au amekuhonga umsifie.
ReplyDeleteLulu...kanakuaga kaongo kaongo....yan ndo tabia yake kuu akisema A ujue ni B kaongo sana aka kamalaya pori.bora kangefungwa maisha.
ReplyDeletemuacheni ni jasho lake la kutoa mkundu na kuhongwa magari, nyumba nk!
ReplyDeleteLulu sio malaya mnamuonea malaya ni hao wanao jiita waeshimiwa wanawake zao wanaangaika na lulu. Lulu hivyo hivyo wewe unatafuta maisha ujaolewa akijitokeza mbunge mwambie akuwekee mjengo wa maana huku ukumbuke kondomu na kupima. Usiwaache hao waeshimiwa wanajileta wenyewe we bamiza mshiko wanguvu wanakula pesa zetu zakodi akunawanachofanya wanamuwaza lulu badala ya maendeleo ya nchi
ReplyDeleteMBUNGE MWENYEWE NI JOHN KOMBA.
ReplyDeleteLazima ningekutombaga tu si ulikuwa unanichengachenga ,tungekupiga manda na masela geto,bahati yako kuma we.
ReplyDeletena umalaya wa shigongo tukiwaletea ushahidi mtaandika!? maana tunao mpaka picha
ReplyDelete