MAANDALIZI YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDERA YANAENDELEA
6
December 10, 2013
Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo
Tags
Eehhh jamani.eti mandera
ReplyDeleteMhhhhhh ndugu yangu ulimi hauna mfupaaaaa
ReplyDeleteMandera?
ReplyDeleteKwan hamjaelewa?
ReplyDeletekma huna la kuandika hata ukinyamaza ni busara.
Ni kwel cyo lazima ucomment,ulimi hauna mfupa.
ReplyDeleteNyie ni wapumbavu ndio maan wakenya wanatucheka huyo kakosea muambie kakosea ili ajirekebishe
ReplyDelete