SAKATA LA RAY NA WAREMBO LAFIKA PABAYA-MAINDA AMCHANA JOHARI LIVE BILA CHENGA-HATARII

Hapo majuzi kupitia mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Mainda aliamua kuvunja ukimya baada ya kuamua kuwachana live ‘wabaya’ waka Chuchu hans, na Johari kuhusu sakata linaloendelea la wao kumgombania mwigizaji Vicent kigosi ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa mrembo huyo. Bila kupoteza muda soma hapo chini alivyofunguka mwanadada huyu…

"...Hizi salamu zako Johari, ni hivi naomba usinitaje kwenye huo upumbavu wenu, Huyo mwanaume mnae mzungumzia mimi kwangu namuona mtu wa kawaida tu ndio maana nikatupa kule. Nadhani umenipata alafu sitaki kumpandisha mtu jina sawa?. Ni hivi mimi si mpinzani wako, nadhani mpinzani wako unamjua mliopiganana (Sakata la Johari na Chuchu hans kupigana)  mkataka kutoana roho kisa shingo ya kuku mlivyokuwa wajinga na malimbukeni wa mapenzi wanaume hapawiganiwi. Nimewakalia kimya naona wewe mwenye kilanga umejitoa kimasomaso ukaenda kiu ukasema Mainda amebip wewe unataka kumpigia, ni hivi usiniweke kwenye upumbavu wenu, mimi huyo mwanaume wenu kwangu ni kuku kama kumtafuna nimemtafuna mpaka mifupa alafu nikatupa kwenye shimo la taka, sasa nyiyni mbwa koko mlio kosa wafugaji ndio mnaruka ovyo hamjui mle nini, pumbavu kabisa wewe na mke mwenzio sindio amkauki kunisema me mgonjwa, sasa kama me mgonjwa huyo bwana wenu ni hivi wewe mwenye shape kama ubao usiejielewa nakushauri achaha na mimi nenda sinza…..(Itaendelea)

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yess kweli wapumbavu pengine si makosa yao labda upeo mdogo wa ufahamu cause kinachonishangaza au kujiuliza uyo ray wanaomgombania ni wa kawaida tuu and for me he is just nothing + Zero boy..Soo girls wake up na mkue akili pia

    ReplyDelete
  2. Na nyie huo umalaya wenu endeleeni lakini ipo siku yatawatokea puani. nyambafu

    ReplyDelete
  3. Haahaa nimekupenda bureeee mainda mbona aihuuuusu washamba tuhao upeowao mdogo huyo ray hanalolotenae tupakuleee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hureeeeee Hayo ndio maneno Mainda.Huyu Rey ni nani mpaka awachanganye?go go go dada usigeuke nyuma.Johari ni mahaba ni ue.Ray hata hampendi kabisa kutwa Johari kumng'ang'ania Rey wakati hana hata muda nae.Ray anamuumbuaga Johari mbele yetu sisi bongo movie tunaishia kuncheka tu Johari

      Delete
  4. Mabwege 2 Hamna Lolote Pumba 2.

    ReplyDelete
  5. Hahahaaa!! Andunje nimependa maconfidence yako...napenda wasichana wenye kujitambua kama ww, na kina wema wangekuwa kama ww Tanzania bila ukimwi ingewezekana..hahahhaa

    ReplyDelete
  6. Hahahaha jamani wanawake wa bongo movie acheni ujinga wakupigania wanaume! Mambo hayo yamepita na wakati

    ReplyDelete
  7. nyie tombweni na rayc mpka vcmi ving'oke naww mainda roho yko inauma mwenzako kapata mzungu

    ReplyDelete
  8. Ujinga mtupu pumbavu zenu

    ReplyDelete
  9. Virusi vimepanda kichwani. Kama wanasema una kirusi basi mmeambukizana wote

    ReplyDelete
  10. mi naona mainda kama amepaniki hivi!

    ReplyDelete
  11. Asante Dada hiyo na iwe fundisho kwa wanawake waciojiuliza kwanini mwenzangu ashindwe mimi niende? maana wachana wengi akijua umeachana na m2 halafu akwanahuyo kijibwana anaona fahli,lazima tujue ukweli hakuna kizuri kinachotupwa mara zote tunatupa vilivyooza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapenzi Jamani mi Rey hata anionge million kadhaa simpi nyapu sijui namuonaonake,Wala hajanigusa kumoyo.

      Delete
  12. wamemchokoza wenyewe ruth suka

    ReplyDelete
  13. Ray watu wengi wanasema una ngoma Ebu kapime Kama ni uongo watu waumbuke,wanasema dokii na mainda ulikuwa nao wakakupa gift.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad