Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke


1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. linaukweli ndani wala hujakosea

    ReplyDelete
  2. We jamaa farasi kweli alikudanganya nani kuwa kufanya kazi benk ndo kuwa na pesa?TECNO ni aina ya simu tu

    ReplyDelete
  3. ni kweli pasipo shaka kipengele no 2 kinakuhusu wewe mwenyew kwa maelezo yako

    ReplyDelete
  4. We mshamba wa shamban kweli!..hvi unadhan wote wanaofanya kaz benk hawa2mii tecno? Na kaa ukijua kuna tecno mpaka ya lak8, ama unaidharau kwa kuwa made in china, acha hzo. Hali kadhalika hata sumsung ni kulingana na ubora wake na wala c tecno....acha ushamba.

    ReplyDelete
  5. Wewe boya kweli kama hauna uwezo wa kununua c utulie sasa kwa taarifa yako hakuna cmu bora kama techno

    ReplyDelete
  6. Wa tz bhana? Sasa mmetoka kwenye mada mnaingilia simu. Au imewagusa kusema techno? Techno wenyewe ndo wamejishusha maana zipo hadi za buku.

    ReplyDelete
  7. Mada imetulia na ni kweli kabisa. Utakuta men anakuona within a min anaomba simu ukisita tu kidg anaanza kushusha mistari na hasa hiyo ya kuponda x zao dah! Balaa. Utackia ooh mchafu, ooh, nilimfumalia kumbe yy ndo macho juu... madem washashtuka

    ReplyDelete
  8. Bado kuna mifala pale demu mwenzao anapopondwa kwao hujiskia rahaa na kutamba najua udhaifu waflan hadi kaachwa!!mademu wengine waajabu tu hawajui kama hiyo ni njia moja wapo ya wanaume dhaifu na macho juu juu kutongozea,na akimaliza shida zake kwako nae ataenda kukuponda kwa mwingine.Mxiuuuuu

    ReplyDelete
  9. mambo mengine sio, ni hovyo kabisa, kama kuzungumzia demu, kama kutongoza, iwe hivyo tu ila isiwe tena kupakaziana kuhusu aina ya accessories mtu alokuwa nayo,kama demu kakupenda hata uwe hauna simu au hata uvae gunia.

    Mapenzi ni mapenzi tu na sio vinginevyo, ni bora ulipompakazia, big up sana

    ReplyDelete
  10. Hiv we admin bataa nn? nani kasema sim na uWezo katika kutongoza vinaendana? na na ni kakwambia eti techno sim ya kawaida , hujui uliza Acha ujinga,
    kama domo zege we zege Tu Hata ukipewa sim Kali kuliko zote still utablow Tu, tena ynaweza kuiangusha kwa uking'ang'a wako, kenge type

    ReplyDelete
  11. of cuz kama domo zege zege tu hata uwe na cm kali kuliko zote duniani haina maana kwanza nani kakwambia demu anapenda simu? We Admin fala!

    ReplyDelete
  12. Mnaotumia tecno mbona mmepanic?

    ReplyDelete
  13. Haaaa imekaa vizuri, lakini umeharibu hapo kwenye..utampata kila umtakaye...hakuna kitu kama hicho.

    ReplyDelete
  14. Mimi sitongozi wanawake wananitongoza wenyewe,wakati mwingine ata wanaume wananitongoza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad